How I Met My Wife

How I Met My Wife

2nd Of Nzi Chuma

Basi asubuhi kulipokucha ambayo ilikuwa ni siku ya Jumamosi mimi nikaingia ubungo Chap, na kupanda zangu basi moja kwa moja hadi Moro. Niliyekuwa nikitamani zaidi kukutana nae wa kwanza alikuwa Nai, kusema ukweli Nai alinivutia sana ongea yake, na tabia zake za kutokuwa msumbufu. Niliamini kuwa yeye ndo mwanamke bora zaidi kwangu kuliko Sophy. Basi nlifika msamvu mida kama ya saa 5 hivi. Nikatoka nje ya Stendi na kuulizia sehemu nzuri pale Msamvu ambayo naweza kukaa na kunywa soda. Nikaelekezwa mgahawa mmoja ambao ulikuwa pembeni ya ule uzio wa ile stendi ya Moro, nikaenda pale na kukaa huku nikiagiza soda. Wakati huu nikiendelea kufanya mawasiliano na Nai ambaye aliniambia kuwa yuko njiani anakuja. Sikuwahi kumuona Nai kabla (kumbuka ni mwaka ambao hata whtsap ilikuwa bado kdg, Fb nadhani pia ilikuwa haijawa maarufu. Kwahyo hamu yangu kubwa ilikuwa kumuona Nai. Nilisubr pale kwa dakika kama ishirini hivi.. Hatimaye Nai alinipigia simu na kuniuliza niko Msamvu upande gani, nikamuelekeza upande nilipo, nilikuwa nimevaa shati jeupe lenye mistari myekundu na myeusi kwa mbali na jeans yang moja ya blue. Niliwaona watu wawili waliovalia baibui nyeusi wakija upande ule nilioelekeza, nikahisi ndo wenyewe hawa.. Lakini nani ni Nai pale kati yao? Sikuweza kujua. Walipofika nilinyanyuka na kuwahug..na walirespond vizuri tu. Kipindi hiki nilikuwa napuliza pafyum moja hivi kuna mwanafnz wng mmoja wa kiarab aliniletea na kunambia just nimpe elf 30, hii pafyum ilikuwa noma sana. Hii kitu ni ya waarabu wenywe kabisa, nilikuwa nikikaa na mtu lazma aseme neno kuhusu hii kitu, na nikikukumbatia kama vile manaake ni kwamba harufu hiyo utaishi nayo siku nzma. Nikawakaribisha pale nilipokuwa nimekaa na kuanza kupata nao soda huku tukifahamiana vizuri. Wote walikuwa warembo, mmoja mwembamba sana mrefu ana lipsi flan amaizing na jicho la kurembua. Mwengine alikuwa mfupi kidogo mwembamba nae, macho yake hayakuvutia sana kama ya yule mwenzie. Yule mfupi akajitambulisha kama Nai, na yeye ndo akanitambulisha yule mref akasema anaitwa Arafa. Lakini muda mwingi alikuwa akiongea yule mfupi na ndiye aliyeonekana mchangamfu kuliko yule Arafa. Kwahyo yule Arafa akawa hajaongea neno lolote tangu amefika pale zaidi ya salamu tu. Mara nyingi walikuwa wakitazamana na kucheka. Mimi nikalazmisha yule Arafa aongee, ndipo alipoongea kidogo na kutambua kuwa alikuwa ndio Nai mwenywe.. Kutokana na kuongea nae sana kwenye simu, sauti yake nlishaijua vilivyo..
Kwanini sasa mmenidanganya?? Niliwauliza na kujitetea kuwa walitaka wajue kama kweli namfaham mtu wangu or not. Kwakweli tulipata moment nzr sana pale ya kucheka na kufurahi pamoja,. Lakini mazingira yalivyokuwa ni kama vile nilichokuwa nakiwaza kisingewezekana hivi.. Nilitamani kumpata Nai walau kwa nusu saa nikasuuze rungu, lakini yule mwenzake ambaye nilikuja kujua baadae kuwa ni dadaake mtoto wa baba mkubwa alikuwa amebana pale na wala hakumpa nafasi ya faragha. Mpaka baadae ambapo waliaga na kuondoka. Wakati nawasindikiza ndipo yule dadaake akanipa mwanya wa kuongea na Nai huku yeye akitangulia mbele akituacha sisi nyuma tukija mdogo mdogo. Nliitumia hiyo nafasi kumshawishi Nai walau abaki na mimi kdg lakn akasema hlo jambo haliwezekani. Kwa sabab kwao ni geti kali sana, ilimlazmu yy kutoka Kwa chambo kwenda mpaka Masika ili aweze kuja kuonana na mimi. Kama asingekwenda Masika kumchukua Arafa manake asingeweza kuja ple. Kiufupi ni kuwa kule nymbn anaruhusiwa tu kutoka endapo atasema anakwenda Masika, ambapo baada ya muda mama yake ni lazma apige simu Masika na kuulizia kama amefika or not. Haya mambo ya watt wa geti kali nikaona ishakuwa jau. Nguvu zikaniishia pale ingawa nilifurahi kuonana na Nai kwa mara ya kwanza na alikuwa mrembo kama "schema" yangu ilivyokuwa ikinituma. Nikawasindikiza na wakatokomea mimi nikarudi pale nilipokuwa na kuulizia gest ya karibu ili niweze kupumzika.
Uzuri wa Msamvu gest ni nyingi sana inategemea na bajet yako tu. Nikapata moja ambayo room ilikuwa 15k lakn ni standard nzr saana. Nikaweka kibegi changu katika kabati na kujitupa kitandani. Nikaanza sasa kufanya mawasiliano na Sophy.. Sikutaka nitoke mtupu, muda huu ilikua inakarbia saa 9 jioni. Nikawasiliana na Sophy kumweleza kuwa nimefika Moro na ajue kabisa nimekuja kwa ajili yake. Kutokana na maongezi yangu na Sophy nilikuwa na uhakika kuwa ni lazma angetokea na kupata mtu wa kulala nae hadi kesho yake ambapo ningeondoka. Sophy alirespond vzr sana tu, ila aliniambia ni kwann nisingemjuza mapema sana kuwa nahitaji kulala nae ili ajue yy anajipanga vipi.. Ukweli ni kuwa mimi sikutaka kugonganisha hawa watu wawili ndo maana nikamuweka pending kwanza Sophy. Ila alinilaumu sana, akanambia kuwa atafanya awezalo aweze kufika. Mimi sikuwa mwenyeji wa Moro kwa muda ule, lakini Sophy aliniambia kuwa anakaa Mzumbe, alidai kuwa sio mbali sana na mjini lakini pana kijiurefu kidogo. Nilikaa pale gest nikimsubiri Sophy huku nikiendelea kuwasiliana nae, lakini muda ulizidi kwenda. Hadi ikafika jioni saa 12 Sophy aliendelea kunitia moyo kuwa atakuja, hatimaye giza likaingia na usiku ukazidi, Sophy akawa hapatikani na wala hakutokea. Nikalala pale gest peke yangu nikiendelea kuchat na Nai usiku mzima mpaka Nai alipopitiwa na usingizi nami nikalala..

Ngoja nipate break kwanza kdg ... Ntaandika tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3rd Of Nzi Chuma

Niliamka asubuhi, nikaingia bafuni na kuoga. Kisha nikashika simu yangu na kuanza kumtafuta Sophy, alipokea na kuniomba radhi kwa yaliyotokea jana yake na kuniambia kuwa yuko njiani anakuja. Ilibidi niwe mpole, sikubishana nae hata kidogo maana hamu ya kumkaza Sophy ilishakuwa juu. Nilimsubiri mpaka saa 2:30 asubuhi ambapo aliniambia ameshafika mjini na sasa anapanda daladala ya kuja Msamvu. Niliendelea kusubiri mpaka aliponipigia simu na kuniuliza nipo Msamvu sehemu gani ndipo nilipotoka na kwenda kumpokea. Tofauti na Nai, Sophy yeye alikuwa amejazia kidogo, mwenye muonekano wa kuvutia zaidi. Mchangamfu na mjanja mjanja sana, lips zake ni zile za kunyonya kabisa, tako la wastani na shepu ya aina ya kupigiwa mfano kabisa. Nilionana na Sophy lakini uchangamfu wake ni kama ambaye tunaonana kila siku kumbe ndo siku ya kwanza. Alitupia sketi flani fupi iliyoishia magotini, na kiblauz mchwara flani hivi ambacho kiliruhusu uyaone moja kwa moja matiti yake ambayo yalisimama dede kabisa ambayo yalimfanya Sophy asiwe na time na sidiria. Nilimuongoza Sophy moja kwa moja mpaka chumbani pale gest, wala hakuwa na aibu zile za akina Nai. Baada ya kufunga mlango tu nikamkumbatia, nilitaka nikimbizane na muda kidogo kwa sababu ilishagonga saa 3 (na kama mjuavyo muda wa kukabidhi chumba ni saa 4 asubuhi), sikutaka kupata hasara mara mbili kwa sbabu ilikuwa ni Jumapili na kesho yake nilihitajika kazini, kwahy ilikuwa ni lazima siku hii nilale Tanga. Wakati nimemkumbatia Sophy nikamshika kiuno chake laini vibaya sana, nikamuona amejinasua na akapiga goti pale niliposimama akafungua mkanda wa suruali yangu na kuitoa mashine na kuidumbukiza mdomoni, mimi nilibaki namuangalia tu kwa kumshangaa. Sophy alichangamka kuliko kawaida, alijua nini nataka wala hakuwa na hiyana. Alifyonza mashine kwa muda mfupi tu wachina hao.. Uraru wa kukaa boarding miaka yte bila kupiga mashine nadhani ulichangia. Nikakitoa kile kisketi chake na kuikuta pichu ambayo niliivuta chini wakati yeye mwenywe akimalizia kile kiblauz. Nikamlaza chali pale kitandani na kuanza kutalii sehemu mbalimbali za mwili wake. Nilipofika shingoni nikasikia akipiga kelele za ajabu sana, sikutegemea.. Nikasema ngoja nijaribu kutia ulimi maskioni, huko ndo ilikuwa balaa, Sophy alionionesha wazi kuwa udhaifu wake hasa uko hapo.. Nikatia ulimi na chuchu zake nyeusi zilizosimama kwenye maziwa yenye rangi ya maji ya kunde, nilimsikia akigumia tu.. Nikampenyeza mheshimiwa na kuanza kumgegeda Sophy, alikuwa na kijijoto kizuri sana, nilianza nae kifo cha mende, baadae nikapiga mbuzi kagoma kwenda, kisha nikamgonga moja iitwayo 'lazima alale' kabla ya kumtoa pale kitandani na kumshikisha meza ya mle chumbani. Hatimaye wachina hao wamekuja na Corona yao.. Nikamwaga ndani ya pango la Sophy ambaye alionekana tu ni mzoefu wa muda mrefu wa habari hizi. Yeye wala hakushtuka, lakini mimi baada ya pale nilijihisi mjinga sana, mtu simjui hanijui, sijampima, nimemuamini na kumwaga ndani, na je akipata mimba itakuaje? Nilitizama saa na kukuta ni saa 5:03 asubuhi. Kwahy mpango wangu wa kuwahi kabla ya saa 4 ukawa umeishia hapo, natakiwa nilipie 15k nyingine.. Sikumwambia chochote Sophy, nikambeba na kuingia nae bafuni kumuogesha. Siku ile tulipiga mechi na Sophy mpaka saa 9 jioni ambapo aliniomba kurudi nyumbani, nami ndo nikashtuka kumbe natakiwa kurudi Tanga siku hiyo. Baada ya kuoga nikabeba kibegi changu mgongoni tukatoka na Sophy, pale reception nikakutana na jamaa ambaye siye aliyekuwepo jana usiku na asubuhi ya leo, nikajaribu kumpiga sound nimpe japo buku tano badala ya 15k akagoma, nikaona sio mbaya, nikachomoa 15k nikamkabidhi na kusepa. Nikatoka na Sophy mpaka stendi pale msamvu, nimamshikisha 20k Sophy, nikamuambia arudi home tutawasiliana. Mimi nikapanda gari zinazoenda Dar (gari za Tanga moja kwa moja mwisho ni saa 6). Nikashuka Chalinze na kupata gari linalotoka Dar kupitia Chalinze (kipindi hiki njia ya bagamoyo ilikuwa bado). Nilifika Tanga yapata saa 6 usiku.

Itaendelea.. Utamu utaendelea kukolea taratibu sana kadri tunavyoenda, nadhani tutapata mengi ya kujifunza, maana haya maisha wengine tumepitia mambo magumu sana.

I will be here bro....nipate la kujifunza! uandishi mzuri

Salute nzi chuma.. i gues apo wife atakua sophy. Ila itafika kipindi utakua unapiga 3some km mnyama kiga[emoji1787]. Incase u dont know

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The story is good aise ila kwa mawazo yangu najua Nora iliokuwa inamuendesha ni Mimba na akijifungua amini vitu vitakuwa tofauti huenda kashajifungua. she loves you and she will always thrust me. Ila final najua wife atakuwa Norah najua

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah! hata Mimi naamini hivyo mkuu, maana mimba ndo ishawaunganisha... mwisho wa siku itabidi wasameheane tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4th of Nzi Chuma

Naomba niwarudishe nyuma kidogo..
Wakati niko form 2 nilijitahidi kuanza mapenzi lakini yalinikataa. Mtu aliyeonesha kunipenda baadae ni kama alinigeuka hivi, nikaona solution ni kuconcentrate kwenye masomo na kuachana kabisa na habari hizi. Kweli nilimudu hadi nilipofika form 4 ndipo likaja jaribio jengine la mapenzi ambalo hili nilishindwa kuchomoka. Wakati tupo form 4 tulipewa nyumba na Mzee mmoja ambaye alikuwa baba wa rafiki yetu tuliyesoma nae (RIP mzee Chalamila) huyu mzee alikuwa na moyo wa kipekee saana, aliamua kutoa moja ya nyumba zake ambazo zilikuwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi na kutupatia tusome mwaka mzima ili tutafute matokeo kwa heshima tu ya kusoma na mwanawe.. Licha ya kuwa jamaa mwenye baba yake wala hakuwa na muda huo, lakini sisi wengne ambao tulikuwa watu 7 tulifaidika sana na ofa ile. Kwahy tukahama majumbani kwetu na hapo ndipo yakawa makazi yetu, kazi ikiwa moja tu baada ya kurudi shule ni kupumzika na kusoma, kupika na kusoma tena.. Mzee alikuwa akija kututembelea kila weekend na kutuletea unga na dagaa..alitujali na kututia moyo sana, hii ilituongezea sana nguv na kujicommit wenyew kusoma kwa do or die na kweli Mungu alifanikisha sote tulifaulu kuendelea advance. Wakati tupo pale, mtoto mmoja wa yule mzee ambaye sisi alikuwa kama kaka yetu (maana ni kaka wa huyo rafiki yetu), alikuwa anakuja mara kwa mara nae kututembelea. Yy alikuwa hana shida na chochote zaid ya akija pale anapuliza bangi yake hapo nje barazani na kama ana demu basi alikuja nae humo katika moja ya vile vyumba anamkaza kisha anasepa. Kwetu sisi alikuwa 'mwana' tu, hatukua na shida naye, tulimuona mtu poa sana tu. Siku moja hyu mwana alikuja na demu ambaye alikuwa ameongozana na mdogo wake, wakakaa wakapiga story halaf baadae jamaa akaniita pembeni akaninong'oneza "oyaa nimekuletea demu leo, kazi kwako.. Njoo tuwasindikize", mimi sikubishana. Nikatoka nao tukiwa tumeongozana, sisi tukiwa mbele wao nyuma, huyu dada aliitwa Tatu, alikuwa mweupe mref kdg, ana macho makubwa na lips za kuita, lakini alikuwa modo sana. Hivyo ndo nilivyoweza kuviona kwake kwa sababu alikuwa amevalia baibui...nikapiga nae story mbili tatu wakati tunawasindikiza, nikajua kuwa anasoma shule ya jirani, yy alikuwa fom 3 wakati huu.. Nilimweleza kuhusu pale tulipo, akavutiwa sana na kuahidi kuwa atakua anakuja kupatapata materials na kusoma na kaka zake kadri atakavyokuwa amepata muda. Yeye hakuwa na simu alitumia ya yule dadaaake, na pale ndani wakat huo kulikua na msela mmoja tu aliyekuwa na simu, namba yake ndo tulikuwa tunaitumia sote.. (Mimi nilipata simu baada ya kumaliza fom4). Nikampa namba ya msela ili kama atakua anakuja bas awe anatoa taarifa huko. Zikapita siku mbili hatimaye akatoa taarifa za kuja kusoma akasema ana shida kdg katk Chemistry anahtaji msaada. Akaja na nikamsaidia vzr tu na baadae nkamsindikiza, wakt namsindikiza nikatupia mistar ya kutaka awe mwandani wake, nimevutiwa sana na akili yake na nimeona kama anaweza kuwa hazina nzur ya kuwa mke hapo baadae.. Akanambia atanijibu..
Baada ya muda ukawa ni utaratibu wake kuja pale kusoma na kuondoka. Mpaka hapo tulipofungua ukurasa mpya wa mapenzi ndipo alikuwa akija pale kwa mambo yte mawili, kusoma na kuliwazwa. Nikaanza kumchombeza nianze kula tunda kimasihara lakini ni kama vile hakuwa tayar hvii.. Lakn kadri alivyonizoea, akawa anaonekana kueleweka, hadi siku moja ambapo nilimkaribisha chumbani na akaingia. Nikaona fursa nzr leo ya kula tunda, nikashka shika kiuno wakat tumekaa kitandani pale mara matiti kdg mara napapasa mapaja ili mradi hakuwa akibishana sana lakini hakuwa comfortable.. Baadae nilikuja kugundua kuwa wasela mle ndani walikuwa wanahangaika sana kutupiga chabo.. Pale juu ya mlango bado palikuwa hapajazibwa, palikuwa na ule uwazi unaoachwa katik vyumba hasa vya ndani katika mlango.. Jamaa walikuwa wanaweka viti na kupanda ili watufaidi, yule demu nadhani alishtukia mapema lakn hakusema chochote. Baada ya mm kugundua basi nikaahirisha zoezi na kutoka nae..kilichofuata baada ya hapo ni Tatu kuja kusoma tu na si mengine, tulikubaliana kuwa tutafute muda na sehemu sahihi ya kufanya jambo hilo.. Ingawa shinikizo kubwa lilikuwa kwangu, Tatu yy siku zote alikuwa akiniambia kuwa si muda sahihi kufanya jambo hilo na amekua akiniusia kabisa kuwa sisi kama waislam hatutakiwi kufanya jambo hilo. Mimi nilimuuliza kama ashawahi kufanya hilo jambo or not, jibu lake alisema kuwa tayari amekwishafanya lakini kwa sasa hatamani tena kufanya jambo hilo.. Nikimuuliza kwani huyo uliyefanya nae ana nn na mm nina nn mpka uninyime? Anajibu kuwa nakuona ni mtu sahihi kwangu na kama una malengo sahihi nadhani utasubiri tu. Mimi siku zote niliendelea kumshawishi anipe mzigo hadi siku ya Jumamos moja ambayo Jumatatu yake ilikuwa ndo tarehe ya kuanza mitihani ya kumaliza kidato cha nne.. Tatu alinitafta na kunambia leo ndo siku ambyo nataka tukafanye lile jambo, akiamini kabisa kwa jinsi ninavyopenda masomo na nilivyokuwa na hasira ya kufaulu mitihani ile, nisingekubali.. Lakini alikuwa wrong, nilikuwa nimejiandaa vya kutosha sana, wala sikuogopa mitihani ya taifa. Tukaenda gest moja pale mjini nikashinda na Tatu kuanzia saa 4 asubh hadi saa 10 jioni, nikapiga mzigo licha ya kuwa nilipata tabu kdg, Tatu alionekana hajatumika siku nyingi na pia hajafanya sana hii michezo, huu ndo ukawa mwanzo mpya na Tatu. Nilivyorudi kule geto jamaa zangu walinilaumu sana hiyo siku maana nlipotea bila taarifa yoyte na walikuwa wananitegemea sana kwenye zile discussion za mwisho mwisho. Jamaa nikawaeleza ukweli wa mambo wakasema hawajawahi kuona mtu mwenye roho ngumu kama mimi, yaani wao wanawaza mitihani itakuaje mimi nimeenda kugegeda mtu?!! Ila hawakuwa na wasiwasi na mm kwa sababu walikijua vzr kichwa changu.
Baada ya kumaliza mitihani sasa . ndipo tulipofungulia vzr penzi na Tatu, nikawa napiga nyapu nadhani ni kila baada ya siku mbili au moja. Ila kitu kilichonishangaza kuhusu Tatu ni jinsi alivyokuwa anavimba nyapu kila baada ya tendo, yaani akitoka pale huwa anashindwa hata kukojoa, nyapu inavimba kuanzia nje hadi ndani. Kwahy sometimes tululazmka kusubr mpka siku tatu ndo akae sawa tufanye tena.. Kwakweli sikuwahi kujua hiki ni kitu gani na sijajua mpaka leo hii wakati naandika hii makala (Tatu kama unasoma hapa unisamehe kwa kueleza siri hii). Mahusiano na Tatu yalianza kunoga kiasi ambacho baada ya muda mchache sana nilijikuta niko deep kabisa in love. Nilikuwa nampenda sana Tatu kuliko kawaida, na yy alionesha kunipenda zaidi ya ninavyompenda mimi. Tatu alikuwa fundi wa mapishi, so mara zingine nilimualika nyumbani kwa dadaangu mmoja ambaye alikuwa best yangu sana, anaachiwa jiko na kukitoa chakula tunachotaka. Kwenye hizi bites ndo alikuwa na balaa zito sana alijua hasa kuzitoa. Kwahy kwa kipindi hiki chote cha likizo ndefu ya kusubr matokeo na kupangiwa shule (October to April) nilikuwa nikila gud time na Tatu. Baba alinishirikisha katika biashara zake ili nisikae idle, so ikawa inaniwezesha mimi kupata pesa kdg za kutanua na Tatu. Alipata vizawadi viwili vitatu na vipesa vidogi vidogo vya kiuanafunzi ambavyo vilimtosha sana tu. Nilinogewa na Tatu mpaka nikaamua sasa kumpeleka nyumbn walau na mama nae akamuone, kitu ambacho mzee wng alimind sana ila huwa hana kawaida ya kukuaibisha mbele za watu. Alisubr Tatu aondoke akaniita pembeni na kunieleza jinsi alivyochukizwa na ujio wa Tatu pale nyumbani, akanieleza pia kuhusu anavyotegemea na alivyo na imani kubwa juu yangu katika masomo. Kwakweli mzee aliniambia vtu vingi sana kuhusu masuala ya mahusiano na masomo na hasara ya kukosea sehemu katika maisha kunavyocost. Nilimuelewa sana mzee na nikamuahidi kutorudia hilo jambo na nitawekeza nguvu katika masomo na masuala ya mapenzi kwakweli kabisa hayataniyumbisha (tuseme RIP kwa mzee wng ambaye alifariki mwaka juzi Novemba 2018). Ni kweli mzee aliongea maneno ya busara sana lakini mimi nilijitahd kwenda kwa tahadhari na nilijitahd pia Tatu hafiki tena pale home, lakini mapenz na Tatu yalikuwa hayaachiki. Ile siku Tatu alipokuja nyumbani mama yangu alivutiwa sana na tabia zake (nadhani wamama wana vtu vingi wanavyoangalia). Kwhy mara nyingi mama aliomba nimkutanishe na Tatu sehemu tofaut tofaut.. Tatu sasa akawa amezoeleka kwa watu wengi wakiwemo dada zangu, brothers na mama pia..muda wote huu nilikuwa napiga mzigo bila kinga wala kitu gani na Tatu alikuwa wala hanasi mimba, mpaka akafikia hatua akageneralize kuwa kizazi chake kina shida, kwahy sisi tukawa tunajiachia tu...Hatimaye majibu yalitoka na baadae nikapangiwa shule Kilimanjaro..
Sasa turudi pale mwanzo ambapo baada ya kwenda Moro nilirudi kuendelea kufundisha ile part time kama kawaida wakati huu Tatu alikuwa ameshaanza masomo yake ya Diploma ya Electrical Engineering pale ATC Arusha, yy alipomaliza form 4 alipangiwa moja kwa moja chuo cha ufundi. Bado tuliendelea kuwasiliana na bado tulikuwa wapenzi, ingawa hii kukaa mbalimbali ilichangia kdg mimi kupunguza uaminifu kwake lakini yeye aliamini mimi ndo mume wake sahihi.. Wakati flani mimi nikiendelea kufundisha pale, Tatu alipata kilikizo cha wiki moja kule chuoni, akaja na kama kawaida yetu tukapata kugegedana mara tatu katika ile wiki. Baadae Tatu alirudi chuoni Arusha, ni kama vile penzi letu lilikuwa limefufuka upya hivi..mawasiliano ya calls na msgs yaliimarika sana..ingawa bado niliendelea kuwasiliana pia kwa ukaribu na Sophy pamoja na Nai.. Wiki mbili baada ya Tatu kuondoka pale ndipo aliponipa habari ambayo sikupenda kuisikia, aliniambia kuwa amejihisi tofaut katika mwili wake, na wazo la kwanza alilopata ni kupima mimba na amejikuta positive.. That means ana mimba yangu....

Wakuu kumekucha... Sasa acha tukapmbane, hii story haichelewi, nikipata muda mimi nashusha mpaka tuimalize......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom