How I Met My Wife

How I Met My Wife

1st Of Nzi Chuma

Nami nimetamani sana kushare "how I met my wife" baada ya kuisoma hii ya Kiga, imenisisimua sana. Kama ilivyokua hiyo, utamu unaweza kuchelewa kukolea kidogo, lakini mdogo mdogo tutafika.

Tuanzie mwaka 2007 ambapo niliripoti advance shule moja Kilimanjaro kwenda kusoma PCM baada ya kukamilisha masomo yangu ya Olevel kule Tanga. Kutokana na ucheshi nilionao, uongeaji wangu na ubishi wangu, wengi wa wanafunzi wenzangu waliniambia nimekosea sana kuja kusoma PCM, nilitakiwa kusoma masomo ya arts ambayo wao waliamini yangenitoa zaidi. Upande wangu mimi kilichonivutia kusoma PCM ni kwa sababu naipenda sana hesabu, sana tena na ndo ambayo baadae niliifanyia degree yake na ndo inayoniweka mjini kwa sasa. Mwaka 2008 waliripoti form 5 wapya sisi tukawa rasmi ni kaka sasa maana shule yetu haikuwa na Olevel. Madogo wa form 5 wakanizoea sana haswa wa bwenini kwangu na walipenda sana ucheshi wangu na jinsi ninavyopiga nao story. Siku moja ukazuka ubishi mzito baada ya kuwaambia madogo kuwa mimi ninao uwezo wa kumtongoza demu yeyote kupitia simu ambaye nitapewa namba yake. Wengi walibisha wakidai kwamba haiwezekani, kama vipi nipewe namba. Sote tunajua kuwa simu haziruhusiwi shuleni lakini wakorofi walikuwa nazo na ukizingatia ni shule ya boys tupu tena advance only, hakuna mwalimu alijali sana. Basi kijana mmoja kwa jina la Mzamil yeye akatoa namba akidai kwamba huyu dada yeye alikosea namba na kumpigia. Kwahy akataka nimpigie huyo demu na kumuweka loudspeaker ili bweni zima wasikie ninavyosaundisha, nikapewa na simu ambayo ina salio la kutosha kwa ajili ya kazi hiyo. Nikaipiga ile namba ambayo nakumbuka ilikuwa ikiishia na 999 ikaita sanaa lakini haikupokelewa (kumbuka ulikua ni usiku wa saa 4), bila shaka huyu dada atakuwa alikua amelala. Basi wale jamaa wakaona hiyo sio shida, nipewe namba nyingine ya dada ambaye anaitwa Sophy. Huyu Sophy alikuwa na ukaribu na huyu mtoa namba huko kwao Morogoro, jamaa alidai kuwa ni mtoto wa mjombaake. Nikampigia Sophy na kwa bahati nzuri akapokea.. Haloo.. Hellow Sophy... Nani mwenzangu..? .. Nzi Chuma hapa.. Nambie Nzi Chuma... Nikamwambia mimi nahitaji urafiki mwema na ww dadaangu... Urafiki gani hatujuani...?? Jamaa wakacheka bweni zima baada ya mimi kujibiwa hivyo kitu kilichomfanya Sophy ashtuke na kukata simu. Wengi walinikejeli kwamba sina jipya na wengine waliniambia unaweza. Basi mimi nikaomba namba zote mbili, ile ya Nai inayoishia 999 na ya Sophy nikasave kwenye simu yangu kisha nikajipumzisha.
Wakati nautafuta usingizi, simu ile ya kwanza ambayo niliitumia kupiga namba za Nai ikawa inaita, jamaa mwenye simu alipoona ni Nai ndo mpigaji akaniletea hadi kitandani kwangu, mimi nikashuka na kwenda kuongea nae nyuma ya bweni. Licha ya kuwa Nai hakuwa ananifahamu, lakini alionyesha anapenda sana urafiki, akafurahia maongezi yetu ambayo niliongea nae kwa zaidi ya saa nzima. Kabla ya kukata simu nikamwambia kuwa hii sio namba yangu, simu yangu ilizima tu chaji ndo maana nkatumia namba ile kumtafta, hivyo nitamtext kwenye namba yangu na tutaitumia hiyo namba kuwasiliana. Uzuri wa Nai alikuwa muelewa saaana, alinielewa bila ubishi. Kesho yake tena, Sophy akapiga kwenye ile namba, jamaa akaniletea simu, nikaongea na Sophy ambaye alinieleza vitu vingi sana kuhusu yeye, ikiwemo suala la jana usiku ambapo alikuwa amelewa halafu mimi nikawa namzingua. Nikahisi hapa kwa Sophy nimepotea njia, mimi na pombe wapi na wapi? Sikuwahi kujaribu wala kukaa sehemu wanapokunywa na wakati huo ndo kwanzaa nipo form six basi mtu akitaja mambo ya Pombe sijui nilikuwa namuona vipi..
Siku zikawa zinaenda, sikuacha kuwasiliana na yeyote kati ya Nai wala Sophy, tulichat sana, kuongea sana na simu usiku.. Kuna kipindi ilikuwa inabidi nitumie uongo ili niweze kuongea nao wote wawili. Naweza nikaongea na mmoja kisha nikamwambia ngoja nikasome kwanza kisha nikampigia mwengine. Nai yeye alikuwa mwanamke wa mfano wake (na nikiri kuwa sijawahi kukutana na mwanamke wa sampuli hii maishani mwangu), yeye ukimwambia "wait nitakupigia" hatosumbua mpaka umpigie. Yaani ni mwanamke flan ambaye nahisi amelelewa katika mazingira flan ya kustaajabisha au amejiongeza tu. Kipindi hiki ambacho mimi nipo form six, wote Nai na Sophy walikuwa wapo mtaani tu baada ya kumaliza form 4. Nadhani tulimalza nao form 4 lakn matokeo yao hayakuwa mazuri kuendelea na advance. Sophy yeye alikuw ni mtoto wa mwalimu na Nai alikuwa mtoto wa kigogo flaniz wote Sophy na Nai waliishi Moro.
Siku hazigandi, nikamaliza form six nikarudi nyumbani Tanga, nikaenda shule niliyosoma Olevel kuomba part time (kipindi kile shule zilikuwa na uwezo wa kuajiri) nikapewa part time nikawa nafundisha Physcs & Maths kwa malipo ya sh 150k kwa mwezi mmoja, nikaona sio mbaya nikaendelea kupiga piga hapa kwa sababu kutokea February nimemalza form six mpaka October kwenda chuo ni muda mrefu sana. Nikafundisha pale kwa mwezi mmoja na kupewa cheque yangu ya 150k, kwakuwa mawasiliano yangu na Nai pamoja na Sophy yalikuwa yanaendelea kama kawaida, nikaona sasa ni muda muafaka wa mimi kwenda Moro kuonana na kufahamiana na watu wote hawa wawili. Nikachomoka Ijumaa ya wiki ile jioni kama saa 10 nikapanda basi na kwenda moja kwa moja mpaka Dar, nakumbuka nilifika dar yapata saa 4:30 usiku.. Moja kwa moja hadi Tandale ambapo nilienda kwa dada yangu na kulala hapo ili safari ianze asubuhi ya kuelekea Morogoro.

Wazee nimeona nianze kidooogoo.. Leo sina nguvu sana, ila kuanzia kesho itaendele kwa urefu sanaa..

Tuwe pamoja mpaka tuone nilipataje mke wangu, msichoke kufuatilia wala msikate tamaa mapema, naamini kuna mengi sana ya kujifunza katika story hii...

Sent using Jamii Forums mobile app

tuko pamoja mkuu tunafatilia mwanzo mwisho......wasioamini wapite [emoji1429]
 
How Fisadi Kiwembe got his wife

Kutoka Sumbawanga, miaka kadhaa iliyopita kama nilivyosimuliwa

Jamaa alipata mke bila kutarajia.

Jamaa alikuwa fisadi kiwembe, kisha alijisifu kwa marafiki zake kuwa 'ameshakula madem' kila aina, mabonge, vimbaumbau, wafupi, warefu, weupe, weusi, wazungu, waasia, walemavu wa viungo nk, akawa amebakisha mwanamke albino tu.

Kwa hiyo mawindo yake yakawa ni kwa wanawake wenye ualbino.

Siku ya siku paap, akamuona binti mrembo umri unaokubalika...

Jamaa akaanza kumfuatilia na kumpiga sound nyingi...

Huku na huku baada ya kusotea wiki kadhaa jamaa akakubaliwa..

Kumbe binti albino hajawahi kuduu... Jamaa na ndom zake akaanza mchakato lakini dushe halikupita, ndipo akajuwa kuwa papuchi haijatumika kabisa...

Wakapanga siku nyingine, siku ile muda ulikuwa umeisha. Binti albino alikuwa bado anaishi kwa wazazi wake.

Siku ya ahadi kumbe yule binti alikuwa heat period, naye si mjuzi wa mambo hayo, akapeleka papuchi...

Jamaa alijiandaa kuitoa 'seal' ya albino huku tayari alikuwa ameshajisifia kwa marafiki zake...

Kweli, dushe siku hiyo likafanikiwa kupenya, hakuvaa ndom, kwa mzuka wareno hawakuchelewa...

Jamaa alirudi mtaani akijisifu kutimiza azma yake ya 'kugonga' sampuli nyingi za wanawake...

Baada ya miezi minne jamaa akatajwa na binti kwa wazazi wake kuwa ni muhusika wa ujauzito alionao...

Timu ya wazee wa Kisumbawanga ikaundwa, jamaa akatiwa mkononi, akawekwa kitimoto...

Lakini bahati nzuri alipewa option mbili...

Ya kwanza amuoe ama ya pili akubali kubeba ujauzito huo, akapewa siku saba za kufikiria ili atoe maamuzi...

Jamaa si akapuuzia...

Akasahau (sijui alijisahaulisha!)

Wale wazazi na wazee wa yule binti wala hawakumtafuta wala nini!

Baada ya mwezi yule jamaa tumbo lake likaanza kujaa [emoji1787]

Sumbawanga kiboko! Ni maeneo fulani njia ya kwenda Ziwa Tanganyika lakini ukifika somewhere Mtimbwa (sijui Mtimbwani) 5km kutoka njia kuu Sumbawanga - Mpanda road unachukua njia ya kulia, njia ya vumbi kabla ya kufika somewhere panaitwa Sintali...

Jamaa tumbo lilizidi kuongezeka, akaenda mwenyewe kwa wazazi wa yule binti...

Akaambiwa aende kesho yake...

Kesho mapema yule jamaa alienda pale na rafiki yake mmoja anayemuamini...

Alikuta tayari wazee wa mila wapo, binti yupo na wazazi pia...

Bottom line, ali-opt kumuoa yule bint...

Akaozeshwa kwa mila za Kifipa kwanza... Baadaye sana Kanisani...

Jamaa akapata mke namna hiyo.
___
Good side

Bahati nzuri yule binti alikuwa na upendo sana kwa yule jamaa, hivyo jamaa akajikuta amempenda mazima kikwelii siyo kwa kuigiza kama awali

Bado wanaendelea na maisha na wana watoto kadhaa.
******

James Jason
kwamba mimba ilipatikana binti akiwa period.........?? ila kwa swanga hakuna kinachoshindikana!
 
Kisimma cha busara,asante kwa kujitoa kwako kwetu kutuelimisha mambo muhimu sana ya mahusiano.
Mahusiano mazuri ya mke na mume yanajenga familia bora.
Ukiwa na familia bora utakuwa na taifa imara.
Japo haya siku hizi yamepuuzwa vijana tunapuyanga tu.
Nzi Chuma

(i) Ahsante kwa simulizi yako

Ahsante pia kwa muda wako, nadhani umeona jinsi gani kuandika inavyokula muda.

(ii) Kuna mengi ya kujifunza kwenye simulizi yako yakiwemo:-

>> Umuhimu wa Kijana kuoa pindi akifikia umri ili aepukane na ufisadi, 'uharibifu'...

>> Umuhimu wa kuwa na msimamo na kusimamia unachoamini ili mradi umejiridhisha kuwa upo sahihi...

>> Umuhimu wa kushirikisha watu wenye busara katika mambo...

>> Umuhimu wa kutofanya ngono zembe...

>> Hatari iliyopo kwa kufanya arbotion...

>> Umuhimu wa Mabinti kujichunga hadi siku ya ndoa...

>> Umuhimu wa elimu...

>> Ubaya wa usiri (japo mara nyingine kuna faida)

>> Ubaya wa uongo...

>> Umuhimu wa mitala...

"Matumbo ya uzazi yana wivu" ni msemo ambao bado unathibiti tangia enzi za Sarah na Hajira (wake za Ibrahim baba wa Ismail na Is'haq)

Yani kama mkeo hajapata mtoto (as long as anaona siku zake za hedhi) ukioa na kuzaa kwa mke mwingine, kuna asilimia kubwa ya mkeo mgumba kupata mimba pia...

>> Ubaya wa kukata udugu... (Jitahidi umsamehe Dada, alikuwa yupo sahihi), binadamu tumetofautiana namna ya uwasilishaji...

Mfano mtu akisema, "Nzi Chuma, ndugu zako watakufa wote utakuwa mkiwa..."

Mwingine akisema, "Nzi Chuma, umejaaliwa umri mrefu zaidi kuliko ndugu zako..."

Unaweza kuchukia kauli ya mtu wa kwanza...
__
Msamehe kisha umuombe radhi nduguyo

>> Umuhimu wa kushea 'yaliyokukaba' moyoni kwa unaowaamini, naamini kuanzia sasa umetua mzigo fulani na huenda ikawa sababu ya wewe na dada yako kuunga udugu tena.

>> Umuhimu wa wazazi kuongea na watoto wao kuhusiana na 'afya na mambo ya uzazi'
__

Bila shaka umetumia majina ambayo si halisi ya wahusika.

__

Tunasubiri simulizi za wadau wengine. Na niwashauri kwamba, wote wenye nia ya kuleta simulizi hapa waanze kuandika sasa, taratibu bila kuweka post jukwaani hapa, ili simulizi moja ikiisha ije nyingine tayari ikiwa na episodi kadhaa, kusubiri sana post kipindi hiki cha sintofahamu ya Covid-19 haifai [emoji23]

James Jason

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7th Of Nzi Chuma

Niwaombe radhi kidogo kwa kutotimiza ahadi, nilifanikiwa kusafiri salama, niko Tanga nimekuja kumsalimu mama kidogo...
Ila sasa tuendelee...

As I said earlier kuwa Nai alikuwa kama mwanamke flani hivi wa ndoto zangu..nilijikuta nafall in love kwake mazima, kwa kipindi hiki kifupi tu nikawa tayari nafahamiana na baadhi ya ndugu zake, mdogo wake wa kiume pamoja na dada yake mmoja aitwaye Hafsa... Hafsa yeye alikuwa ni daktari na ameajiriwa serikalini akifanyia kazi Mbeya, nilikuwa nikiwasiliana nae kwa simu tu, na alikuwa mtu mzuri na alinipokea vizuri kama shemeji yake...changamoto kubwa kwangu mimi ambayo siku zote imekua inanicost ni kutotaka kutumia condom, yaani sijui naionaje!! Mara zote nauza mechi..na wala sijawahi kujutia. Baada ya mgegedo ule wa kwanza, Nai akaanza kunogewa sasa, mara kwa mara alikuwa akinitembelea pale chuoni, ilifikia hatua wakati tunazunguka zunguka maeneo ya nyuma ya chuo yenye mapori basi namuinamisha Nai au namshikisha mti napiga mashine..na kwakua Nai alishaonja utamu wa mashine, alikuwa hana usemi, yeye unachomwambia ndicho anachofanya..
As usual, ilipopita miezi miwili tu tangu nianze kumla, Nai akaniambia kuwa hajielewi, anahisi mabadiliko makubwa katika mwili wake..nikamuuliza dalili common za mimba kama kukojoa sana, kusinzia ovyo etc, zote alikuwa nazo. Nikaenda pharmacy na kununua UPT kisha nikamuita Nai geto, akaja na kumwambia akaweke mkojo kwenye chupa ndogo ya maji.. Aliporudi nao nikauweka kiasi kidogo katika kifuniko cha ile chupa.. Nikachovya UPT kidogo na kuiweka kwenye meza...Two minutes later ngoma ikapiga mistar miwili.. Nikamwambia "Una mimba...". Nikamuona anashika kichwa.. Kwangu mimi kwa wakati ule mapenzi yalishanidrive crazy vibaya sana, niliona hakuna shida kabisa kama Nai atazaa, yani sikuona tatizo..lakini Nai ameshika kichwa kwanini? Nilipomhoji vizuri alifunguka kuwa yeye hana tatizo na hiyo mimba, ila changamoto ni bi mkubwa..bimkubwa wake ni kauzu vibaya sana kiasi ambacho kama atajua kuwa Nai ana mimba litakuwa kasheshe zito sana na huenda pia akataka tuitoe.. Hii kitu ilinishangaza kidogo, yaani mamaako kabisa alazimishe kukutoa mimba licha ya madhara yanayopatikana katika hilo jambo? Nai alinijibu kifupi tu " You know nothing about my mom". Sikuweza tena kubishana nae, lakini ni jambo ambalo halikuniingia akilini. Lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda mbele ndipo Nai alijawa na mawazo kuhsu hatma ya ile mimba..hakuona future nzuri kama mama yake atajua.Hapa ndipo nilipopata wazo la kumgongea simu sista yangu mmoja (mtoto wa mjomba) ambaye by that time alikuwa Singida kikazi (yeye ni nurse).. Niliamua kumueleza tatizo langu ikiwa ni katika hali ya kumshirikisha tu ili anipe mawazo mawili matatu juu ya jambo hili..nilitegemea zaidi utu uzima wake na busara zake nyakati hizi..lakini majibu aliyonipa ni zaidi ya heart-break, "sitegemei mtu msomi kama ww upo chuo kikuu hujui matumizi ya condom na namna sahihi ya kuepuka kufanya ngono zembe, yaani mtu mzima kabsa hapo unajit**bea ovyo bila kuwa makini? Unaniangusha mdogo wang, mimi sina cha kukusaidia hapo zaidi ya kukuona fala tu, na utalea mtoto huyo au usipokuwa makini zaidi watakufunga hao pumbaaav". Nilikata simu na sikuongeza neno lolote, nikiri wazi kuwa sasa ni zaidi ya miaka 12 tangu sis anijib hivi sijawahi kupokea simu yake, kumpigia wala kujibu msg zake na najitahidi kumkwepa kila ambapo nitaambiwa yupo, hata kwenye misiba.. Maumvu ya siku ile hayawezi kupona kabisa moyoni mwangu (na sijui ni kwanini). Kama sista unasoma hapa hii ndio sabbu kuu ya mimi kutopokea simu zako, na nadhani itabaki hivyo mpaka nitakapokufa iwe kwa Corona au Ukimwi...
Baada ya kukosa msaada japo wa mawazo kwa sista, niliamua kumalizana tu na Nai, nikamwambia amueleze maza kuhusu kile kibendi..wakati huu kilikuwa kimegonga miezi miwili tayari. Nai alikataa, lakini nilimlazmisha na nikafanikiwa, maza akaambiwa. Akauliza details za mtia mimba vzr, akaomba na namba ya simu.. Hakuonekana kuchukia, akanipigia simu kwa amani kabisa akinitaka niende nyumban kwao muda huo tukajadili kuhus mimba ya Nai..ilikuwa yapata saa 2 na nusu usiku. Nikachkua bodaboda na kwenda hadi nje kwa kina Nai, nikamjuza mama Nai kuwa nimefika...akanambia nisubiri nje, alipotoka alitoka na Nai amemshika mkono akanizungusha mpaka nyuma kabisa ya fensi ya ile nyumba, nyumba ilikuwa na fensi ya ukuta. Akanambia amenileta huku nyuma kwa sababu baba yake Nai ametoka na hajarudi so asije akatukuta ndani au pale nje.. Nai alikuwa kama hatua tatu kutoka pale niliposimama na mazaake, maza akaanza kuniambia kuwa there is no way tunaweza kumruhusu Nai azae nje ya ndoa, haiwezekani..!! Kwahy ni LAZIMA mimba ile itolewe, akanieleza wadhfa wa dingi yake Nai na cheo chake na jinsi alivyo mfano kama kiongozi, na jinsi pia familia nzima inavyoitegemea ile kazi , endapo Nai atagundulika amepata minba huenda ndio ukawa mwisho wa maisha yao maana baba yake atapoteza kazi (natamani kuieleza hii kazi lakini Nai wakati ananipa ruhusa ya kuandika hapa kuna vtu aliniambia nisiviandike kabisa, so naomba mnisamehe). So, the only solution ni abortion, ambayo itaniweka mimi, Nai na mama yake pamoja na familia nzima sehemu salama. Hapo nilikosa pa kukimbilia, kwa sabab mama alikaza kuwa "endapo itatokea baba yake hyu akapoteza kazi, je utaweza kutuhudumia kama familia?". Ingawa pamoja na yote hayo, bado nilimuona yule ndiye mama katili kuliko mama wengi niliowahi kukutana nao.. Mama ananishawishi kutoa mimba mwanawe licha ya madhara yanayoweza kupatikana baada ya hilo tendo?? So ikaamuliwa pale kuwa kesho yake Nai ataruhusiwa mapema sana asubuhi aje geto kwa ajili ya maandalizi ya kutoa mimba. Mimi nikamwambia yule mama kuwa siwezi kushiriki hiyo dhambi ya kutoa mimba, kama kumtoa aende mwenyewe.. Mama aling'aka akidai kuwa kama sikuona dhambi ya zinaa, na ya kutoa mimba niione kama nilivyoiona zinaa tu..kwanza ni dhambi hiyohiyo moja tu maana ni zinaa ndiyo iliyozalisha mimba..nikamuitikia sawa lakini moyoni nikisema kuwa siwezi kumpeleka mimi akatoe mimba, akinifia huko hyu mama hatokuja kukubali kuwa aliniagiza yeye..!!.
Kesho yake asubuhi sana Nai alikuja geto, akanambia kuwa mama yake amemfurusha asubuhi asubuhi aje kwangu ili tutekeleze agizo lake, sisi tukautumia mwanya huo kulana hadi jioni, hakuna ambaye alikuwa tayari kati yetu mimba itolewe...Jioni Nai aliporudi home na maza kugundua kuwa hakuna kilichofanyika, akamind saaana, alivyonipigia simu nikamjibu tu friendly..." Nilishakwambia kuwa siko tayari kwa hilo jambo, mimi siwezi kufanya hivyo..". Mama akakata simu na kuanza kudili na Nai. Attempt yake ya kwanza ni kumchemshia mizizi flani ambayo Nai hakuijua, akawa anamlazimisha anywe, Nai akagoma na kujifungia chumbani. Mama alipoona juhudi zake kama zinaelekea ukingoni, ndipo alipoanza kuwashirikisha dada zake Nai. Mmoja ni yule daktar ambaye nilikuwa nikiwasiliana nae sana, na mwengne alikuwa anasoma chuo Dodoma. Yule ambaye ni daktari mara tu baada ya kupata taarifa kuhusu hali ya Nai, alinipigia simu akinilaumu saaana, yaani alinilaumu hadi nikajiona fala. Alinambia kuwa why kila siku tunawasiliana na sijawahi kumwambia kuwa Nai ana mimba hadi mama amejua? Kama ningemwambia mapema yy angemchukua Nai na kuja kuishi nae Mbeya bila mama kujua kuwa Nai ni mjamzito mpaka angejifungua, baada ya Nai kujifungua mama yake asingethubutu kumuua mtoto.. Hapa ndipo pia akanimegea siri ya yule dada wa chuo kule dodoma alipo pia alikuwa wakati huo ana ujauzito mkubwa tu lakini alikuwa harudi nyumbani mpaka atakapojifungua coz akirudi lazma mama angesumbua sana na kutaka itolewe (mimi nahisi ipo siri nyuma ya huyu mama na hizi mimba lakini sikuweza kuijua hadi leo). Hafsa akanambia kwa sasa tumeshachelewa, so cha kufanya ni Nai kukubali tu ili mimba itolewe, nothing we can do...nilimweleza pia kuwa mama ananitishia kunipeleka polisi endapo sitamshawishi Nai atoe mimba.. Yy akaniambia 'kutoa mimba ni illegal, hawezi kwenda polisi, anakutisha tu.. Ww ongea na Nai vizuri ili akubali tu." Uzuri ni kuwa wote walijua kuwa mtu pekee wa kumfanya Nai aamue kutoa mimba ni mimi tu na mimi sikuwa tayari.. Hafsa pasi na kujua lakini ni kama alinitia nguvu flan hv, nikaona naweza kukaza na mimba isitolewe.. Lakin upande wa Nai mambo yalizid kuwa mabaya pale nyumbani, hakuwa anaishi kwa raha, muda wote vitisho na kuamriwa atoe mimba mpaka siku moja alipoamua kutoroka nyumbani kwao asubuhi kama saa 1 hivi.. Wakati mimi najiandaa kuwahi lectures za asubuhi Nai huyu..kaingia geto na kibegi chake.."nimekuja tuishi pamoja, nimechoka na vitisho, naapa sitorudi tena home tutakaa hapahapa nitakula utakachokula..". Daah..
Haya mapenzi yana nguvu sana kwakweli acheni tu...
Acha niweke pozi kwanza, nitarudi leoleo.. Nitajitahidi hadi kufikia jumamos niwe nimeshamaliza..

Sent using Jamii Forums mobile app

kaka mkubwa ulikuwa jeuri sana....dizaini kama ulikuwa pande za mzumbe hivi
 
"sitegemei mtu msomi kama ww upo chuo kikuu hujui matumizi ya condom na namna sahihi ya kuepuka kufanya ngono zembe, yaani mtu mzima kabsa hapo unajit**bea ovyo bila kuwa makini? Unaniangusha mdogo wang, mimi sina cha kukusaidia hapo zaidi ya kukuona fala tu, na utalea mtoto huyo au usipokuwa makini zaidi watakufunga hao pumbaaav".

Ha ha ha Dada yako sio mtu wa mchezomchezo aisee,

Ila mkuu msamehe huyu dada yako,alichokisema hapo alikwambia ukweli japo alitumia lugha kali,ila ukiangalia hata ungekuwa wewe unaambiwa mdogo wako kampa mtu mimba ni lazima upaniki kwa sababu ulikuwa bado unasoma na hata kaka yake Nai unaona ulipomweleza nae alikulaumu hadi ukajiona fala lakini yeye hujamwekea kinyongo

Kwahio mkuu msamehe dadako mrudishe mahusiano kama zamani usimuwekee kinyongo.

Sent using Jamii Forums mobile app

words mkuu
 
8th Of Nzi Chuma

Nadhani sasa tunaweza kuendelea...

Naamini kutokana na urefu wa story na kwa sababu mimi sio msimuliaji mzuri, itakua nimesahau kuwaambia vitu vingi sana, lakini cha muhimu kwa sasa ni kuwa nilikaa kwenye hostel za chuo miezi mitatu tu, nikapanga nje, so wakati sekeseke la mimba ya Nai linaanza mimi sikuwa tena katika hostel za chuo...
Haya turudi sasa kwa Nai alipokuja geto.
Hii siku nahisi ni moja kati ya siku ngumu kuwahi kukutana nazo, Nai aliniamini kabisa na akahisi kupitia penzi letu lililokuwa moto kipindi hicho, tungeishi tu pamoja...Lakini kwangu mimi hofu ilikuwa kubwa sana, hili nadhani lilinizidi uwezo. Kukaa na Nai hapa ndani tena akiwa ametoroka kwao? Daaah...niliona kabisa siwezi. Vipi kama wataamua kumtafta binti yao halafu mwishoni kabisa wakamkuta geto kwangu? Ingekuaje?. Nai alichukua simu yangu na kuizima, kitu ambacho sikukubaliana nacho kabisa. Nilihisi hiyo ndo ishara kabisa ya kuwajulisha kuwa mimi niko na Nai... Kila nilivyojaribu kumwambia Nai kuwa aiwashe simu yangu, bora ya kwake ndo ikaendelea kubaki off aliniambia kuwa simpendi..kwani wakijua kuwa yeye yuko hapa ndo nini? Nikamwambia sasa lengo lako la kutoroka litakua na maana gani kama utabambwa siku ya pili au leoleo?? Mabishano yalikuwa marefu mpaka tulipozama mapenzini, tukayasahau yootee...nilipata nguvu ya kugegeda as if hatuko katika hatari..tulipomaliza, akili yangu ikarudi upya sasa, nikaichukua simu kinguvu na kuiwasha...sekunde kadhaa tu ikaingia msg iliyoandikwa kwa herufi kubwa.. "NAI NI MTOTO WA WATU SIO MKEO, RUDISHA MTOTO WA WATU KWAO USIJITAFUTIE MATATIZO". Msg kutoka kwa Mama Nai, nikamuonesha Nai hakuonekana kushtuka akanambia tu mjibu mwambie siko na wewe.. Mimi nikaamua kumpigia simu Mama Nai.." Haloo.. Mama nimeona msg yako lakini sijaielewa"... "Wewe usinifanye mimi mjinga, mrudishe Nai haraka" nikaamua kukaza mpaka maza akaamini kabisa kuwa mimi sikuwa na Nai pale geto..Mama Nai akaanza kuniomba ushirikiano wangu kama ninafahamiana na rafiki zake niwasiliane nao tuhakikishe kuwa Nai anarudi nyumbani kabla ya baba yake.. Ni siku hii ndo nilijua ukaribu uliokuwepo kati ya Nai na babaake, kumbe faza alikuwa akirudi nyumbani kitu cha kwanza anamuulizia Nai,yaani hiyo ni kabla hata hajaingia ndani..baada ya simu ya mama Nai ikaingia ya sista Hafsa kutokea Mbeya, naye alinihoji kwa nafasi yake akikata nimweleze ukweli kama Nai niko nae or not, akiniahidi kunilinda..mimi nikamkazia kuwa hatukuwa pamoja na wala sijui Nai alipo, wala hajawasiliana na mimi, mara ya mwisho ikiwa ni jana jioni..akanihoji vimaswali ambavyo vingempa mwangaza labda nimefacilitate Nai kutoroka kwa namna moja ama nyingine, lakini hakuambulia kitu..alipokata yeye nikapata muda wa kujadili na Nai juu ya hatma ya yeye kuendelea kubaki pale, italipa kweli!? Itakua na tija kiasi gani? Nai alikaza kuwa plan zote anazijua yeye na ni lazima ashinde hii vita. Baadae kidgo na kwa mara ya kwanza akapiga simu sista yule wa chuo, akijitambulisha kwa jina na Zai, yeye alikuwa mkali kidogo kuliko wenzie waliotangulia, yeye straight alikuja na command kuwa nimrudishe Nai kwao, ni kama alikuwa na uhakika hivi kuwa Nai yupo pale.. "Mimi mwenyewe nishayaharibu hapa nilipo lakini sikufikia hatua hiyo, kutoroka nyumbani hiyo ni hatua kubwa sana, msisitize Nai asifanye hivyo, arudi nyumbani, kama baba atakuja kulijua hilo atakufa, baba hawezi kuivumilia hiyo hali ya Nai kulala nje ya nyumbani, nakueleza kuwa kama hujui uzito wa hilo jambo mnalofanya na Nai basi ni jambo la hatari sana, haliwezi kuishia hivihivi...". Simu zote zilizopigwa niliweka loudspeaker Nai asikilize, lakini hakuonyeshwa kustuka, hii ya sasa ndo alicheka sana baada ya kukatwa. Mimi nilifikiria hatma yangu na lengo la mimi kuwa pale Moro ni masomo, kama itafika stage nitafukuzwa chuo kisa kumtorosha mtoto wa mtu kwa sababu dhaifu kabisa ya mapenzi nitakua mzembe wa nafsi yangu mwenywe, hapa sasa nikaanza kumbadilikia Nai. Nikaanza kumshawishi awashe simu na awasiliane na ndugu zake, atunge uongo wowote aujuao ili aruhusiwe kurudi nyumbani. Simu ziliendelea kumiminika, wale watu watatu walio sehemu tofauti wakawa kama wanapishana hivi katika simu yangu, akitoka kupiga Hafsa anapiga Zai mara mama Nai, nami niliendelea kuwapa ushirikiano kadri walivyonipigia nikiendelea kumsihi Nai awashe simu awasiliane nao arudi home, ila lilikuwa ni zoezi gumu kwakweli.. Muda flani akapiga simu Mama Nai akiwa analia "Hivi mwanangu, mimi leo unafikiri nitalalaje? Baba yake Nai akirudi hapa itakua kasheshe, naomba unisaidie mwanangu, fanya juu chini Nai apatikane arudi nyumbani..." Hii ilikuwa yapata saa 12 jioni sasa. Simu ya mama yake akiwa analia Nai aliisikia vzr tu, nikamwambia sasa tunaenda kupata laana...hii ni laana...nikamwambia acha mimi niende nikakutane na Mama Nai nimueleze ukweli, siwezi kukubali kuona mama yako analia namna hii kwa sababu ya ujinga wako, siwezi!! Nilimchimba biti Nai huku nikivaa nguo tayari kwa kutoka, nilikuwa sina nia ya dhati ya kwenda huko, lakini niliamini atastuka kwa hili.. Matokeo yake Nai akanigeuzia kibao..."wewe ni mwanaume muoga sana, hujiamini, sikutegemea kama utakuwa hivi, yaani hujiamini kabisa sijui ukoje, mimi nitarudi nyumbani lakini akilini mwangu najua kuwa nina mwanaume muoga asiyejiamini". Niwe mkweli, haya maneno yalipenya sana na kuniumiza, lakini tatizo la Nai aliangalia upande mmoja tu-wa mapenzi, mimi niliangalia pande zote, mapenzi na masomo..nikakubali kubeba lawama kuliko kuja kutia aibu familia, niliamini ni moja kati ya maamuzi magumu kwangu ambayo yatanifanya nisome kwa amani maana ndo kilichonileta Moro.. Nai akawasha simu yake, kigiza kikiwa kinaingia sasa, akampigia sista wake wa Mbeya-Hafsa akamueleza..."nilikwenda kushinda kwa rafiki yangu mitaa ya forest, bahati mbaya umeme haukuwepo na simu ya rafiki yangu pia ilizima kwahy akashindwa kutoa taarifa, kwa sasa baada tu ya kuwasha simu Nzi Chuma amenitafta na kunambia kuwa amepata usumbufu wa hali ya juu kwa sababu yangu, mnanitafuta sana..mimi niko poa ni simu tu ilizima". Dada yake alipomuuliza why hakuaga, alijibu hilo ni kosa na anaomba dada amuombee msamaha kwa mama ili akifika nyumbani asiadhibiwe...sista akaelewa na kumpigia bi mkubwa na kumwambia kuwa Nai asiguswe akifika hapo...dakika moja baadae sista Hafsa akanpigia na kuniambia "Nai kumbe alikuwa kwa rafiki yake Forest huko, amenipigia sasa hivi na nimemwambia arudi nyumbani, pole sana kwa usumbufu".. Nikajua sista amepangwa akapangika.. Mama Nai na sista Zai wao wala hawakunipigia.. Mpaka Nai alipofika home na kunijuza kuwa bi mkubwa amempokea bila kusema neno lolote, nikamtwangia bi mkubwa.. " Vipi mama mmefikia wapi? Mimi niko njiani nakuja huko tupange tunafanyaje".. Bi mkubwa akanambia "pumzika tu amesharudi" na kukata simu.. Huyu bi maza ni mtu kauzu kwelikweli, sijui kama alinielewa au alijua namchezea chezo tu.. At least Nai aliishi japo siku mbili tatu bila usumbufu wa kutakiwa kutoa mimba. Nikapata kiwiki kimoja flani cha likizo pale chuo, nikasepa TA. Huku nyuma nikapata taarifa mpya kuwa kwa sasa sista Hafsa ameungana na mama na sista Zai wote wanataka lazma mimba itolewe..hapa ndipo nilipomshirikisha hili jambo mtu ninayemheshimu kuliko watu wote ndani ya familia, aunt yangu flani hivi mwenye jina la mtoto wangu wa kwanza... Alinisikiliza kwa makini na kuact neutral.. "Sasa hapo kwakuwa familia nzima wamekubaliana kuwa wamtoe mimba, na kwa stage iliyofikia manake hawatakulazimisha wewe ndo ukamtoe wataenda wenyewe, wewe kinachotakiwa kutoka kwako ni kumshawishi tu Nai akubali hilo jambo, mimi naona kama ukubaliane nao, kuna siri nyingine za familia huwezi kuambiwa mwanangu, hao watu wanaweza kukuona unawawekea usiku na wakaamua kukushughulikia kwa njia wanazozijua wao.. Usiendelee kushindana nao..". Maelezi ya aunt ni kama vile yaliniingia hivi.. Ila nikamueleza jinsi Nai atakavyoniona msaliti.. Akaniambia mpigie simu Nai nikusaidie upande huo..nikampigia simu Nai wakasalimiana na kutambuana, kisha aunt akaanza kumpanga.. " Nzi Chuma amenieleza kuhusu hali yako ya mimba na amenieleza pia kuhusu mgogoro wenu, ila naomba nikwambie kuhusu mila na desturi za ukoo wetu, sisi hatuoi mke aliyezaa nje ya ndoa wala mke mwenye mimba, huu ni utaratibu wetu, kwetu sisi ni laana kufanya hivyo. Kwahyo nakuomba ukubaliane na wazazi wako muitoe hiyo mimba, kisha ukishakaa sawa mimi nakuahidi tutatuma watu kukuposa hapo..na nikikata hapa nitakutafuta kwa namba yangu ili tuendelee kuwasiliana mwanangu". Walizungumza kwa muda mrefu hadi Nai akakaa sawa. Lakini baada ya kukata simu akanitumia msg.. "Asante kwa kunisaliti, lakini naendelea kusisitiza kuwa wewe huna msimamo, kesho mimi nitaenda kuitoa mimba lakini Nzi Chuma wewe huna msimamo". Hii sms sikumuonesha kabisa aunt, nilikausha.. Kesho yake Nai aliongozana na mamaake wakaenda kuitoa mimba hospitali flani pale Moro, tumshukuru Mungu alitoka salama na ilimchukua wiki mbili tu kukaa sawa akawa kama awali. Baada tu ya kupona, Nai akaomba tuonane tena..akaja geto nakumbuka that day akiwa na kuku wa kienyeji aliyechinjwa na kutengenezwa na kuwekwa kwenye friji.. Alikuwa anawabeba mara kwa mara akija geto nilikuja kujua baadae sana kama walikuwa wakiwafuga kuku mle ndani kwao..akapika wali na kuku, tukagonga menu kisha akaniambia sasa kuwa amekuja na condom, hataki masihara kabisaa...akaitoa condom na kunivalisha kabisaaa kabla ya kuanza hata kumkiss..hii ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutumia condom, yaani sikuelewa kabisaa.. Nilihisi kama nazingua.. Nilisubiri Nai akiwa amenogewa vilivyo nikachomoa mashine na kuivua condom na kuitupa chini kisha kurudisha mashine ndani, hiki kitendo kilichukua sio zaidi ya sekunde 3 kwahiyo ilikuwa si rahisi kwa Nai aliyenogewa kustukia, hatimayee nikauza mechi tena... Nai wala hakujua kama nimemwaga ndani, ni baadae usiku huko wakati yuko nyumbani kwao ndo akanambia kuwa amesikitika sana kuona nimemmwagia ndani wakati alinipa condom, na hata ilipofika round ya pili na ya tatu alinivalisha mwenyewe..ila nilimwambia Nai ukweli kuwa mimi hayo macondom siyaweziiii, akanambia "ok sawa ila nikipata mimba nyingine this time siitoi hata mfanyeje..". Tuliendelea na utaratibu wetu wa kumla yaani almost ni kila siku, penzi la Nai kwangu lilikuwa sio la mchezo...Mungu sio Mzee Mkumba, Nai akapata mimba nyingine sasaa.

Tumpe break Nai kidogo, tusije tukasahau story ni " how I met my wife".. Nani anafikiria kuwa Nai ndo mke wangu kwa sasa? Kama unafikiria hivyo, acha niendelee upande wa pili kabla sijarudi kwa Nai..

Jioni moja nikiwa pale chuo, alipita mtoto flani mwenye rangi za Kondoa, mrefu kiasi, alikua na sura ya kuvutia, na mwendo wake ulionesha ni mtu wa kazi.. Hakuwa na chura wa maana, lakini nilikuwa interested kumjua. Nikawauliza watu wawili watatu nikafahamu course anayosoma pamoja na room anayolala. Nikaanza kuwinda...siku moja nikakutana nae akiwa anaenda kuchukua msosi Canteen.. "Hellow Zahara, mzima?".. "who told you naitwa Zahara, mimi sio Zahara..." "basi aliyeniambia details zako hakuwa anakujua vizuri".. " Ni nani huyo?" "hata mimi simjui"... Blablaa.. Mpaka nikafanikiwa kumjua sasa kumbe anaitwa Zulfa na nikapata namba yake ya simu, nikaanza kuwasiliana nae..wakati naanza nae mawasiliano ndipo nikagundua Zulfa alikuwa ameniacha miaka minne, ingawa sura yake haikuonesha kama ana umri mkubwa kiasi hicho. Siku moja nikamuita sehemu flani iliyotulia pale chuo na kutaka kumfahamu kiundani, nikaanza kwa kujitambulisha mimi na kujielezea kiufupi, baadae akaanza kunieleza kuhusu yeye...story ya maisha yake ilinistua kidogo.. Pamoja na umri huo, hakuwahi kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote maishani mwake, na wala hakuwa na mpango huo, muda wote huo alikuwa akihangaikia masomo yake tu ikiwemo ku-reseat mitihani ya form 4 mara 2 na kurudia kidato cha pili mara moja. (Wakati huo namfahamu alikuwa na miaka 30). Nilitaka kufahamu nini kilikuwa nyuma ya machungu hayo mpaka akawa hataki mahusiano na mtu yeyote? Akanieleza.. " Mama yangu alikuwa muaminifu sana kwa baba yangu, kiasi ambacho baba hakutakiwa kumtilia shaka mama hata kidogo, walizaa watoto wawili na wakiishi kwa amani sana, baadae baba alipata mwanamke mwengine na kuanza nae mahusiano, akaanza kuiona familia kama mzigo na kuanza kumdharau mama, mama alipitia kipindi kigumu miaka mingi sana mpaka baba alipoamua kumuoa huyo mke mwengine, ndo katika kipindi hiki ambapo mama yangu nae akapata ujauzito wangu, baba akakataa kabisa kuitambua hii mimba akidai kuwa mama atakuwa amechepuka kwa sababu yeye alikuwa hajafanya nae mapenzi muda mrefu sana, juhudi za kuwasuluhisha ziligonga mwamba na kupelekea mama kuachika. So kuanzia mimba yangu mpaka nazaliwa, mama alikuwa anapambana mwenyewe kuhakikisha naishi..na maisha yenyewe ya kijijini huko urangini ilikuwa shida sana.. (Alipofika hapa akaanza kulia). Ikabidi nianze kubembeleza sasa, ila baadae alinyamaza na kuendelea.. Kiufupi aliishia kwa tabu sana, alinyanyaswa sanaa na alishanusurika na matukio kadhaa ya kutisha ikiwemo kubakwa wakati akiishi kwa ndugu. Tangu akiwa mdogo, mama yake alimsisitiza kuwa hupaswi kumuamini mwanaume, hao ni washenzi kupindukia, hawana utu, tengeneza future yako hadi ieleweke ila wanaume wote wako sawa, hata ukiwa na future yako ni lazima baadae watakusumbua tu..!! Kwahyo yeye akatoka na msimamo wake kuwa hahitaji kabisa mwanaume maishani mwake... Kufikia hapa nikawa nishajua sasa naongea na mtu wa aina gani na natakiwa kwenda nae vipi..!! To make it short, niliweza kumshawishi Zulfa tuwe katika mahusiano, na kwakweli kutokana na ugeni wake na umri aliokuwa nao, alizama katika mahusiano mzima mzima. Nashukru Mungu niliweza kumbadilishia mtazamo wake juu ya wanaume na akaonyesha kwa vitendo hasa. Maisha yangu ya chuo yalianza kunyooka kisawa sawa kutokana na Care ya Zulfa, aliniamini kupita maelezo (nakiri wazi kuwa sijawahi kuaminiwa kwa kiwango hiki). Boom likitoka nakabidhiwa kadi na kuambiwa tu "tumia vizuri".. Mimi ndo nikawa mpangaji wa matumizi ya kile kiasi cha boom.. Lakini Zulfa alikuwa mtu wa maono hasa, alikuwa na akili iliyopevuka tayari.. Akanishauri tulime alizeti huko kwao, kwahiyo tukawa tunachukua kiasi kwa ajili ya matumizi yetu, kiasi kingine tukaanza kulima..naam...na pale chuo tukaanzisha vibiashara vidogo vidogo ambavyo yeye ndo alikuwa main supplier..vipafyum vya kike na vihand bag.. Maisha yakawa yanaenda vizuri kabisa, hatukaukiwi..japo nilizitumia pesa nyingi tu kukamuana na Nai..!!.

Naomba nipate break kidogo... Nitarudi baadae baadae hivi, ngoja nikapate Alqasuus...!!

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu kwahiyo huyu zulfa nae ulimkuta bikra ama???

umetupatia story juu juu kuna vitu unatunyima
 
11th of Nzi Chuma..

Nitaandika hii mpaka nifike mwisho..

Mwaka wa tatu wa chuo kwangu ulikuwa na ubusy kidogo, so sikuwa na time sana na mapenzi kiviile, muda mwingi nilikuwa chuo, nikirudi usiku sanaa geto nimechoka, naweka simu silent nalala. Nai alikuwa mwanamke mwelewa sana, hakusumbua, shida niliipata hapa kwa single mama, akiwa yupo pale usiku anapiga simu mpaka unajuta yaani..mpaka sometimes nikawa nazima simu..yeye muda wote anataka mapenzi tu!! Mwezi mmoja kabla ya UE huyu single mother nae akapata mimba yangu. Alifurahi sana, alinambia kumbe alihangaika muda mrefu sana kupata mimba nyingine, lakini mimi nimemuwezea. Kwangu sikuona shida, nilijua kwa sababu anafanya kazi na ametafuta mtoto kwa muda mrefu, atazaa tu na atalea.. Lakini haikuwa hivyo. Nilivyoondoka tu pale Moro baada ya kumaliza UE, wiki mbili tu nyuma akaniambia imeharibika, nikajua atakua ameshaitoa.

Niliendelea kuwasiliana na Nai na pia niliendelea kuhudumia mtoto kwa Sophy!. Sikukaa sana kitaa nikapata kazi katika mradi flani ambao walikuwa wanatulipa vizuri, hapo nikaamua kujitegemea rasmi na kuanza mipango ya kuanzisha family.. Moyoni mwangu aliishi Nai tu. Niliamini nitamuoa tu one day.. Baada ya kufanya kazi kwa miezi sita hapa jijini nikawa niko vizuri sana. Nikarudi home na kuwaeleza mikakati yangu juu ya kuanzisha familia, nikawaeleza kuhusu Nai na yote yaliyotokea. Vidume vikajitokeza kunisaidia, nikavipa map vikafika kuonana na wazazi wake Nai..naam mtu mzima dawa, hawakutoka patupu..nikapata mrejesho wa kulipa mahari, nikalipa na kumuoa Nai, mtu niliyempenda zaidi maishani mwangu..!!. Lakini Nai hakuwa na raha na ndoa yetu, alikuwa anajua kuwa hawezi kupata mtoto. Lakini mimi nilimpa moyo kwa kumwambia kuwa ni bora nimekuwa mimi ambaye ndio msababishaji wa yote haya ndiye niliyekuoa kuliko angekua mtu mwengine, angekunyanyasa sana.. Nilijitahidi kufanya kila niwezalo Nai awe na furaha katika ndoa, lakini sidhani kama nilifanikiwa kwa 100%.

Muda flani akaanza kunilazimisha nioe mwanamke mwengine ili nipate mtoto (hapa tulishakaa miaka miwili katika ndoa). Alihisi sina amani. Lakini mimi nilikomaa nae, kila daktari mtaalam wa Gynecology niliyemsikia nilionana nae, dawa nyingi zikitumika lakini bado hatukufanikiwa. Mwisho nikamweleza ukweli Nai kuhusu Sophy, akaniambia niwasiliane na Sophy ili Abdul aje hapa atufariji.. Nikawasiliana na Sophy, nikamueleza mpango wangu, hapo ndipo Sophy aliponibadilikia na kunieleza kuwa yule mtoto hakuwa wangu kabisa, ni kuwa tu baba yake hajiwezi kiuchumi ndo maana akanibambikia, na ndo maana kipindi cha ujauzito hakunishirikisha..lakini baada ya mtoto kuzaliwa wakahisi atakosa huduma muhimu ndo maana wakanibambikia. Hapo hamu ikaniishia, sikutaka kuujua undani sana wa huyo mtoto nikaamua kupotezea.. Nikaconcentrate na Nai wangu..

Miaka ilipofika mitatu bila mtoto, nikalifanyia kazi wazo la Nai, nikaenda zangu kuchukua shombeshombe Pemba (how i met her, it's another story). Huyu ni kama alipata mimba siku ya harusi hivii...hahhahaa manaake alizaa miezi tisa kamili. Lakini Mungu sio Mzee Mkumba, baada ya kuoa, Nai alishika mimba mwezi mmoja tu mbele.. So alipishana na yule mke wangu wa pili mwezi mmoja tu kujifungua. Baada ya mwaka mmoja Nai akashika mimba nyingine na kuniletea toto la kiume (wa kwanza alikuwa wa kike). Kwa sasa nina watoto wanne, wawili wa kike na wawili wa kiume (kila mke mmoja akiwa na mtoto wa kike na kiume). Wanapendana sana na tunaishi kwa amani iliyopitiliza.
Wadau, nimejitahidi kufupisha ili nisiwachoshe.. and this marks the end of how I met my wife...!!.


Nzi Chuma, hadhuriwi na uvundo

kongole bro
 
11th of Nzi Chuma..

Nitaandika hii mpaka nifike mwisho..

Mwaka wa tatu wa chuo kwangu ulikuwa na ubusy kidogo, so sikuwa na time sana na mapenzi kiviile, muda mwingi nilikuwa chuo, nikirudi usiku sanaa geto nimechoka, naweka simu silent nalala. Nai alikuwa mwanamke mwelewa sana, hakusumbua, shida niliipata hapa kwa single mama, akiwa yupo pale usiku anapiga simu mpaka unajuta yaani..mpaka sometimes nikawa nazima simu..yeye muda wote anataka mapenzi tu!! Mwezi mmoja kabla ya UE huyu single mother nae akapata mimba yangu. Alifurahi sana, alinambia kumbe alihangaika muda mrefu sana kupata mimba nyingine, lakini mimi nimemuwezea. Kwangu sikuona shida, nilijua kwa sababu anafanya kazi na ametafuta mtoto kwa muda mrefu, atazaa tu na atalea.. Lakini haikuwa hivyo. Nilivyoondoka tu pale Moro baada ya kumaliza UE, wiki mbili tu nyuma akaniambia imeharibika, nikajua atakua ameshaitoa.

Niliendelea kuwasiliana na Nai na pia niliendelea kuhudumia mtoto kwa Sophy!. Sikukaa sana kitaa nikapata kazi katika mradi flani ambao walikuwa wanatulipa vizuri, hapo nikaamua kujitegemea rasmi na kuanza mipango ya kuanzisha family.. Moyoni mwangu aliishi Nai tu. Niliamini nitamuoa tu one day.. Baada ya kufanya kazi kwa miezi sita hapa jijini nikawa niko vizuri sana. Nikarudi home na kuwaeleza mikakati yangu juu ya kuanzisha familia, nikawaeleza kuhusu Nai na yote yaliyotokea. Vidume vikajitokeza kunisaidia, nikavipa map vikafika kuonana na wazazi wake Nai..naam mtu mzima dawa, hawakutoka patupu..nikapata mrejesho wa kulipa mahari, nikalipa na kumuoa Nai, mtu niliyempenda zaidi maishani mwangu..!!. Lakini Nai hakuwa na raha na ndoa yetu, alikuwa anajua kuwa hawezi kupata mtoto. Lakini mimi nilimpa moyo kwa kumwambia kuwa ni bora nimekuwa mimi ambaye ndio msababishaji wa yote haya ndiye niliyekuoa kuliko angekua mtu mwengine, angekunyanyasa sana.. Nilijitahidi kufanya kila niwezalo Nai awe na furaha katika ndoa, lakini sidhani kama nilifanikiwa kwa 100%.

Muda flani akaanza kunilazimisha nioe mwanamke mwengine ili nipate mtoto (hapa tulishakaa miaka miwili katika ndoa). Alihisi sina amani. Lakini mimi nilikomaa nae, kila daktari mtaalam wa Gynecology niliyemsikia nilionana nae, dawa nyingi zikitumika lakini bado hatukufanikiwa. Mwisho nikamweleza ukweli Nai kuhusu Sophy, akaniambia niwasiliane na Sophy ili Abdul aje hapa atufariji.. Nikawasiliana na Sophy, nikamueleza mpango wangu, hapo ndipo Sophy aliponibadilikia na kunieleza kuwa yule mtoto hakuwa wangu kabisa, ni kuwa tu baba yake hajiwezi kiuchumi ndo maana akanibambikia, na ndo maana kipindi cha ujauzito hakunishirikisha..lakini baada ya mtoto kuzaliwa wakahisi atakosa huduma muhimu ndo maana wakanibambikia. Hapo hamu ikaniishia, sikutaka kuujua undani sana wa huyo mtoto nikaamua kupotezea.. Nikaconcentrate na Nai wangu..

Miaka ilipofika mitatu bila mtoto, nikalifanyia kazi wazo la Nai, nikaenda zangu kuchukua shombeshombe Pemba (how i met her, it's another story). Huyu ni kama alipata mimba siku ya harusi hivii...hahhahaa manaake alizaa miezi tisa kamili. Lakini Mungu sio Mzee Mkumba, baada ya kuoa, Nai alishika mimba mwezi mmoja tu mbele.. So alipishana na yule mke wangu wa pili mwezi mmoja tu kujifungua. Baada ya mwaka mmoja Nai akashika mimba nyingine na kuniletea toto la kiume (wa kwanza alikuwa wa kike). Kwa sasa nina watoto wanne, wawili wa kike na wawili wa kiume (kila mke mmoja akiwa na mtoto wa kike na kiume). Wanapendana sana na tunaishi kwa amani iliyopitiliza.
Wadau, nimejitahidi kufupisha ili nisiwachoshe.. and this marks the end of how I met my wife...!!.


Nzi Chuma, hadhuriwi na uvundo
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Jamaa huyu hapa
IMG_20200320_233016_699.JPG
IMG_20200320_232946_784.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom