How is Life Treating you? (Maisha yanakufanyaje Huko ulipo sasa hivi?)

Kiuchumi: Sina hela kabisa.
Kiafya: Mi Mzima ila kuna maumivu napata kwenye kifua nikihema kwa nguvu.
Kimahusiano: Nimeachwa. TENA.
Kielimu: Nina supp kadhaa.
Kikazi: Nina kesi kama 4 hivi kazini na polisi.
Mkuu huu mwaka ukitoboa ukafanye ibada kuu kwa Mungu unaemwamini maana balaa hasa hapo kwenye cases.
 
Kiuchumi: bora kuliko nashkuru mungu

Kikazi: zinaenda fresh


Afya : kifafa cha ulevi, plus bado nazipiga tu

Kimahusiano : najipenda Mimi


Kijamii: najijali Mimi
 
Write your reply...nipo misungwi tu kijijini huku nimejifungia kwa bibi baada ya kutoroka na mil 2 ya kampuni flani ya masuala ya agriculture
 
I don't know may be i need to reflect and find my self!
 
Write your reply...nipo misungwi tu kijijini huku nimejifungia kwa bibi baada ya kutoroka na mil 2 ya kampuni flani ya masuala ya agriculture
misungwi nsumbugu au sio[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…