How long can you last without sex?

How long can you last without sex?

Mimi kila asubuhi tukiwa tunaoga tu ni haki yetu kwa hiyo hakuna kupeana masiku au ma miaka.
 
Umepiga hodi lakini? maana naona umeingia moja kwa moja chumbani!!

I dont remember going thru huu utaribu wa kubisha hodi ( am greatful for that) au haukuwepo mie nilivojiunga??
 
ha ha ha nimeangalia tarehe hapo ya kujiunga kwako nikakumbuka nilikua na uthru siku hiyo!!
 
na Kaizer naye alikuwa wapi?? na Goeff na Iribini je??
 
Mkulu Keizer akija atajibu hili!! Leo weekend hakuna kucrake vichwa!!
hata asipojibu poa tu, leo ni siku ya mambo laini laini bana...........no stress
after all Kimey leo mimi naenda kuniniii maana imekuwa kitambo sana bana!!!!
 
Ndio wapi huko?
 
ha ha ha bado jibu la thread hii hujatoa maana "kitambo" katika nyanja ipi......kwa wana geologia wanakwambia "early age" ni kama miaka milioni !! so specific...kitambo ni one day, week, month or year?
 
Dah! Naona kumekucha! Hivi leo siku gani vile?
 
Back
Top Bottom