Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Mimi kila asubuhi tukiwa tunaoga tu ni haki yetu kwa hiyo hakuna kupeana masiku au ma miaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli comrade ngoja atazoea tuu!!hahaha..mkuu Kimey huyo mwache kuku mgeni!
Umepiga hodi lakini? maana naona umeingia moja kwa moja chumbani!!
ha ha ha nimeangalia tarehe hapo ya kujiunga kwako nikakumbuka nilikua na uthru siku hiyo!!I dont remember going thru huu utaribu wa kubisha hodi ( am greatful for that) au haukuwepo mie nilivojiunga??
Its nice kupewa kichwa bila miguu kuingia for a change!!(ingawa nyie wanaume hili huwa hamlikubali saaana.)
na Kaizer naye alikuwa wapi?? na Goeff na Iribini je??ha ha ha nimeangalia tarehe hapo ya kujiunga kwako nikakumbuka nilikua na uthru siku hiyo!!
na Kaizer naye alikuwa wapi?? na Goeff na Iribini je??
Baelezee mkuu!! ndo maana mkamsamehe!!Uliingia kama guest ndo maana😀
Baelezee mkuu!! ndo maana mkamsamehe!!
Uliingia kama guest ndo maana😀
Baelezee mkuu!! ndo maana mkamsamehe!!
Afu mwambie kabisa mkuu kwamba akiendelea tunampeleka kule kwa wiki 3 tuone itakuwaje?
Mkuu Keizer do the needfull!!hahaaaa nimewashinda hamna lolote
Afu mwambie kabisa mkuu kwamba akiendelea tunampeleka kule kwa wiki 3 tuone itakuwaje?
Mkuu Keizer do the needfull!!
Ya kukupeleka huko kwa week 3IPI HIYO NIDFUL??
Ya kukupeleka huko kwa week 3
Mkulu Keizer akija atajibu hili!! Leo weekend hakuna kucrake vichwa!!huko ni wapi mbona hamsemi???
hata asipojibu poa tu, leo ni siku ya mambo laini laini bana...........no stressMkulu Keizer akija atajibu hili!! Leo weekend hakuna kucrake vichwa!!
hata asipojibu poa tu, leo ni siku ya mambo laini laini bana...........no stress
after all Kimey leo mimi naenda kuniniii maana imekuwa kitambo sana bana!!!!
ha ha ha bado jibu la thread hii hujatoa maana "kitambo" katika nyanja ipi......kwa wana geologia wanakwambia "early age" ni kama miaka milioni !! so specific...kitambo ni one day, week, month or year?hata asipojibu poa tu, leo ni siku ya mambo laini laini bana...........no stress
after all Kimey leo mimi naenda kuniniii maana imekuwa kitambo sana bana!!!!
Na utashi pia... one can live entire lifetime without having it and enjoy livingIt depends on your IQ