How long can you last without sex?

How long can you last without sex?

ha ha ha bado jibu la thread hii hujatoa maana "kitambo" katika nyanja ipi......kwa wana geologia wanakwambia "early age" ni kama miaka milioni !! so specific...kitambo ni one day, week, month or year?

nilijibu kitamboooooo!!! soma kiarabu ikipidi utakuta jibu langu!!!
i have stayed as long as I wa supposed to na leo ndo ukingo......sasa wewe unataka kujua hw long ya nini bana!!!
 
bado sijawasoma!enewei...GOODMORNING

Goodmorning to you dear Goeff!!!
Ni asubuhi nyingine ya ijumaa mwanana kabisaaaa tunajipa vitu laini vya kulubriketi ugumu wa haya maisha!!!!
 
Goodmorning to you dear Goeff!!!
Ni asubuhi nyingine ya ijumaa mwanana kabisaaaa tunajipa vitu laini vya kulubriketi ugumu wa haya maisha!!!!
better DO THAT!pamoja na ukali wa maisha VIJANA TUNAJIMWAYAMWAYA kama kawaida!...leo tuko billioneaaz'club.KARIBU
 
better DO THAT!pamoja na ukali wa maisha VIJANA TUNAJIMWAYAMWAYA kama kawaida!...leo tuko billioneaaz'club.KARIBU

heheee kwa mshiki wa Iribini Vivian??? I will be everywhere today!!!
 
heheee kwa mshiki wa Iribini Vivian??? I will be everywhere today!!!
karibu!mshiki wa iribini MBWEMBWE TU!kila siku tunapita hatumuoni bwana😀😀😀
 
karibu!mshiki wa iribini MBWEMBWE TU!kila siku tunapita hatumuoni bwana😀😀😀
eeeeh mwanmke mbwembwe atii!!!
Kwa wenye wito katika kiapo chao wanasemaje? "Sita do" au "sita oa/olewa"

hapa sijui huwa wasemaje, eti nyie waseminarist tusaidieni basi.....
 
eeeeh mwanmke mbwembwe atii!!!

hapa sijui huwa wasemaje, eti nyie waseminarist tusaidieni basi.....

B unataka kukimbiza watu hapa eeh? wawe na early Friday?
 
Napenda sana kagemu haka...
Zikipita siku tatu sijapafomu gemu, napatwa na manundu.
 
hehehe!hommie MNOGE?....kuna tu-hiinza palaa,mweh!TUDUNG'UUUU

kwi kwi kwi kwi ! KAKALI MTWAAA VE! akamsevela kapurunduka!😀

Kamwene bht ndauli?

Nashauri bwana harusi wetu mpya apewe ulinzi mahsusi hasa akiwa jirani na hiyo billioneaz club!

Sitaki kuitiwa usuluhishi within 90 dayz at least hata ile suti nilotinga haijafutika upanga wake!
 
Back
Top Bottom