Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
Na utashi pia... one can live entire lifetime without having it and enjoy living
Mmmh! Kama hana matatizo yoyote basi atakuwa amejikosesha uhondo mkubwa sana kwenye maisha yake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na utashi pia... one can live entire lifetime without having it and enjoy living
Ndio wapi huko?
ha ha ha bado jibu la thread hii hujatoa maana "kitambo" katika nyanja ipi......kwa wana geologia wanakwambia "early age" ni kama miaka milioni !! so specific...kitambo ni one day, week, month or year?
LEO NI njia ya msalaba😀😀Dah! Naona kumekucha! Hivi leo siku gani vile?
bado sijawasoma!enewei...GOODMORNING
better DO THAT!pamoja na ukali wa maisha VIJANA TUNAJIMWAYAMWAYA kama kawaida!...leo tuko billioneaaz'club.KARIBUGoodmorning to you dear Goeff!!!
Ni asubuhi nyingine ya ijumaa mwanana kabisaaaa tunajipa vitu laini vya kulubriketi ugumu wa haya maisha!!!!
better DO THAT!pamoja na ukali wa maisha VIJANA TUNAJIMWAYAMWAYA kama kawaida!...leo tuko billioneaaz'club.KARIBU
kwa wenye wito wa ulei hapo.....si utawaMmmh! Kama hana matatizo yoyote basi atakuwa amejikosesha uhondo mkubwa sana kwenye maisha yake!
karibu!mshiki wa iribini MBWEMBWE TU!kila siku tunapita hatumuoni bwana😀😀😀heheee kwa mshiki wa Iribini Vivian??? I will be everywhere today!!!
Kwa wenye wito katika kiapo chao wanasemaje? "Sita do" au "sita oa/olewa"kwa wenye wito wa ulei hapo.....si utawa
bado sijawasoma!enewei...GOODMORNING
eeeeh mwanmke mbwembwe atii!!!karibu!mshiki wa iribini MBWEMBWE TU!kila siku tunapita hatumuoni bwana😀😀😀
Kwa wenye wito katika kiapo chao wanasemaje? "Sita do" au "sita oa/olewa"
eeeeh mwanmke mbwembwe atii!!!
hapa sijui huwa wasemaje, eti nyie waseminarist tusaidieni basi.....
hehehe!hommie MNOGE?....kuna tu-hiinza palaa,mweh!TUDUNG'UUUUeeeh Kamwene hommy! what's so special hapo Billioneaz? ugimbi unaletwa kweye gold rimmed glass ama?
HAPA utasababisha kaizer A-SIGN OFF🙂B unataka kukimbiza watu hapa eeh? wawe na early Friday?
B unataka kukimbiza watu hapa eeh? wawe na early Friday?
HAPA utasababisha kaizer A-SIGN OFF🙂
eeeh Kamwene hommy! what's so special hapo Billioneaz? ugimbi unaletwa kweye gold rimmed glass ama?
hehehe!hommie MNOGE?....kuna tu-hiinza palaa,mweh!TUDUNG'UUUU