Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuna kuua mwili, kuua roho na kuua fikraWamemuua nani tena?
Wewe ni Bosi kweli au ngùchiro tu wa Mbagala?
Ni ngoma gani ya bob hiyo!?Sasa tuseme yatosha. Watetezi wa rasilimali zetu wanabambikiwa kesi za uhaini, ili kuhalalisha mauzo haramu ya nchi yetu kwa Mabedui.
Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu.
Jela ni nini? Kuogopa jela ni ushenzi. Wakati ni huu wa kujikomboa
Mtaishia kuandika porojo za kujifariji mitandaoni Hadi 2030 😆😆😆😆Sasa tuseme yatosha. Watetezi wa rasilimali zetu wanabambikiwa kesi za uhaini, ili kuhalalisha mauzo haramu ya nchi yetu kwa Mabedui.
Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu.
Jela ni nini? Kuogopa jela ni ushenzi. Wakati ni huu wa kujikomboa
Huyu wa kufungwa tu:
Luck DubeSasa tuseme yatosha. Watetezi wa rasilimali zetu wanabambikiwa kesi za uhaini, ili kuhalalisha mauzo haramu ya nchi yetu kwa Mabedui.
Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu.
Jela ni nini? Kuogopa jela ni ushenzi. Wakati ni huu wa kujikomboa
Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu.[emoji419][emoji375]Sasa tuseme yatosha. Watetezi wa rasilimali zetu wanabambikiwa kesi za uhaini, ili kuhalalisha mauzo haramu ya nchi yetu kwa Mabedui.
Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu.
Jela ni nini? Kuogopa jela ni ushenzi. Wakati ni huu wa kujikomboa
Tulimchaguwa alipogImbea na Magufuli mara ya kwanza na mara ya pili.Tuna Rais wa mchongo haijawahi kutokea
Ni luck DubeNi ngoma gani ya bob hiyo!?
Nyuma ya keyboard?Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni bob Marley ....Lucky dube hana uwezo wa kuandika ngoma ya hivoLucky dube aliimba hiyo mistari kwenye ngoma yake ya victims
Ni bob Marley unaitwa.. Redemption songNi luck Dube
Victims