How long shall they kill our prophets While we stand aside and look? Mtaendelea kuua manabii wetu hadi lini?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Sasa tuseme yatosha. Watetezi wa rasilimali zetu wanabambikiwa kesi za uhaini, ili kuhalalisha mauzo haramu ya nchi yetu kwa Mabedui.

Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu.

Jela ni nini? Kuogopa jela ni ushenzi. Wakati ni huu wa kujikomboa
 
Ni ngoma gani ya bob hiyo!?
 
Mtaishia kuandika porojo za kujifariji mitandaoni Hadi 2030 😆😆😆😆
 
Sasa tuseme yatosha. Watetezi wa rasilimali zetu wanabambikiwa kesi za uhaini, ili kuhalalisha mauzo haramu ya nchi yetu kwa Mabedui.

Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu.

Jela ni nini? Kuogopa jela ni ushenzi. Wakati ni huu wa kujikomboa
Luck Dube
Victims
 
Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom