Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sasa tuseme yatosha. Watetezi wa rasilimali zetu wanabambikiwa kesi za uhaini, ili kuhalalisha mauzo haramu ya nchi yetu kwa Mabedui.
Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu, wageni wanataka kutufanya sisi watumwa kwenye shamba letu wenyewe tulilorithishwa na mababu zetu.
Jela ni nini? Kuogopa jela ni ushenzi. Wakati ni huu wa kujikomboa