swetuska na swty hat wote hawajambo mpz tunaku ham
watoto wanafanya nini hapa wakati mojawapo ya masharti ya hii kitu lazima uwe umefikia the age of majority?!!
we sema tu hawatasoma......
Kumbuka kwamba JF ina teknolojia ya kugudnua wanachama wake wenaotumia jina zaidi ya moja, lakini haina teknolojia ya kuzuia watoto wadogo kuwa wanachama.
Baada ya kusema hayo ndugu mtangazaji, naomba kutoa hoja kwani itifaki imezingatiwa!! π
Lulu mambo? Nasikia Mkuranga kuna gesti/hoteli ya Tibaigana inaitwa Bureta.....!!! π Ni kweli na je ni nzuri?
Lulu mambo? Nasikia Mkuranga kuna gesti/hoteli ya Tibaigana inaitwa Bureta.....!!! π Ni kweli na je ni nzuri?
wewe ndugu ni hatari sana.utuachiepo na wenzio siku moja moja ,lolπMbona hujibu PM yangu sasa??
leo sijui nimelize ham kabisa maana nina mpango wa kuimaliza hata ile nyingine.....
ntaanza na twinushka na sweetheart wikend hii, don worry!!!
great if u r all gud!!!
maliza Twinuska bana kwann kitu gani?
πππ
Hivi, mkulu, huyu "afande manyota" ana gest ngapi hapa jijini tu tukianzia? duh!
aaaaaaah ati nyie ndo wateja wake maarufu nini?? kwa nini leo mnaulizana nyumba za wageni na nyie wenyeji mjini hapa???
Leo kuna njia ya Msalaba.sijui inafanyikia gesti?siye wageni, umesahau leo ijumaa? lol
Leo kuna njia ya Msalaba.sijui inafanyikia gesti?
Leo kuna njia ya Msalaba.sijui inafanyikia gesti?
yaani wameikamia ijumaa hii kuspendi gesti hauzi labda 'mkigango' huyu ataongoza njia ya msalaba huko!!
πππ
hivi wapendwa, kuna mahali maalum pa njia ya msalaba? he!
Mahali popote penye vituo 14 panafaa.hivi wapendwa, kuna mahali maalum pa njia ya msalaba? he!
kashang'ae feri
kashang'ae feri