bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
mkulu umesahau na signature kabisa. Kisha hapo unakuta mtu ameshasign out hata saa nne usiku bado!
hahaaaa jamani weeee nakufa lol b!!! We si mseminarist wa nchi kavu lakini???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkulu umesahau na signature kabisa. Kisha hapo unakuta mtu ameshasign out hata saa nne usiku bado!
nakupongeza sana kwa KUJISHTUKIA😀😀😀Atakuja hapa geoff kudai kwamba "AMENISHTUKIA"...we subiri.....😀😀
B anaelekea pabaya!!! alafu hyu Masaki naona sio kampani nzuri huyu, mara chagulaga mara leo anataka mwnde mkuranga.......kama vile unavoscreen nyendo zangu vivyo hivo ntafanya kwako B!!!!!
nakupongeza sana kwa KUJISHTUKIA😀😀😀
(nina kesi na wewe,ULIKATAA MWALIKO WA BIA ZANGU!nitahakikisha unabadili AIDII😀😀)
nakupongeza sana kwa KUJISHTUKIA😀😀😀
(nina kesi na wewe,ULIKATAA MWALIKO WA BIA ZANGU!nitahakikisha unabadili AIDII😀😀)
heheeeeee jamani mie leo aaaaah!!!
naenda 'kujiandaa'
wakina Fide na Masaki walisema zem men dont like that xcuse, kuavoid inconviniences naenda kufanya preparation nw nw!!
Duh! Mara hii nimekuwa ''bad influence''?![]()
You dont have to win every Argument, Agree to Disagree!
Duh! Mara hii nimekuwa ''bad influence''?![]()
Kisingizio cha sasa hivi ni Kwaresima, cha ''kujiandaa'' kimepuzishwa kwanza!![]()
DUMELANG dumelaaaaaaaaaaaaaaa!......."Nenye, sungananye nenye ngapulipo likali"
HUYO MIMI NINAE TU!lazima akubali!tena mwambie asome hapa:
Mi nashangaa unapojali maslahi yangu hapa yeye bado tu hazingatii itifaki!
Nina vekesheni offer ya kwenda usukumani 'kuangalia' ngoma ya chagulaga,
leo tunaenda gesti ya afande huko mkuranga (Pearl do ze nidiful) tunaenda ku do ze nidiful..

kumbe na wewe masaki ni mmoja ya wanaomsumbua pearl,eeeh!?😕Kaizer una akili nyingi sana! Nimekugongea SENKSI! Halafu Pearl namwaminia kwa mambo yote yanayohusu ''logistics''. Mkuranga leo patakuwa hapatoshi!
Peal piga kabisa simu ufanye booking ya vyumba, kitimoto, nyama choma ya mbuzi na ndizi za kuiva tafadhali........!!! 🙂
Kaizer una akili nyingi sana! Nimekugongea SENKSI! Halafu Pearl namwaminia kwa mambo yote yanayohusu ''logistics''. Mkuranga leo patakuwa hapatoshi!
Peal piga kabisa simu ufanye booking ya vyumba, kitimoto, nyama choma ya mbuzi na ndizi za kuiva tafadhali........!!! 🙂
Kamanda kwenye RED hapo sikusikii kabsaa!! Mambo Vp? Lini tena Afaghanstan?
kumbe na wewe masaki ni mmoja ya wanaomsumbua pearl,eeeh!?😕
Nipo Mkeku leo ni weekend no stress!!Meku upo kumbe mbona umegeuka mpiga chabo ghafla???