Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
kumbe na wewe masaki ni mmoja ya wanaomsumbua pearl,eeeh!?😕
Heeeh! Kumbe Pearl anasumbuliwa, mbona sina taarifa!? Leo tuna safari ya Mkuranga mkuu!
Nahisi meneja mauzo wa TBL mkoa wa Pwani atapata promosheni kazini kwa mauzo ya wikiendi moja tu! Makoo yenye uwezo wa ''gridi'' ya taifa yanakwenda huko! Watajibeba leo!