Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
hahaaaa Bala anauliza je na Fidel atakuwepo huko????
aah B kilimo kwanza mna matrekta au ndo jembe la mkono??
yaani B, unauliza mbege uchagani? theme ya Kilimo Kwanza ni matrekta, tena sasa ya leo ni brand new, kilimo cha 'mkono' ni when it is absolutely necessary, sawa B!
haya kajiandae..Fidel anakuja pia mwabie kabisa B, ila naye anakuja na trekta lake anamalizia usajili tu mwambia B asiwe na wasi wasi
Ila geoff hawezi kuja, bado suti yake ina upanga..