Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
Yeah mimi siendi nipo kidini na kiimani zaidi mwezi wa toba huu.
Jamani hivi kwenda kutafuta mashamba ni dhambi? Au kwa kuwa tutalala gesti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mimi siendi nipo kidini na kiimani zaidi mwezi wa toba huu.
hapo kwa Red nimekusoma.....hakuna shaka kabsaa hujui kwamba huku northen part wese tunalichimba wenyewe....hakuna kuagiza kutoka sijui dubai au wapi!!
Hommie leave Pearl alone!
Pearl leave hommie alone.
Pearl dont leave hommie allone.
Thanks Mamushka! Hommie mgongee senksi mamushka kwa zis yuziful posti!
Duh asante sana Fidel kwa habari hizo njema kabisa! Kumbe na mwenyewe tayari tunaye!
hehehehe!kumbe ninacheza na timu TATU TOFAUTI kwenye uwanja mmoja??!...
nitawafunga tu
Niko kimaslahi zaidi mamushka! Stuka!
Kumbe na wewe hujui kusoma katikati ya mistari?hehehehe!kumbe ninacheza na timu TATU TOFAUTI kwenye uwanja mmoja??!...
nitawafunga tu
Jamani hivi kwenda kutafuta mashamba ni dhambi? Au kwa kuwa tutalala gesti?![]()
hehehehe!kumbe ninacheza na timu TATU TOFAUTI kwenye uwanja mmoja??!...
nitawafunga tu
Kumbe na wewe hujui kusoma katikati ya mistari?
Thanks Mamushka! Hommie mgongee senksi mamushka kwa zis yuziful posti!
Jamani hivi kwenda kutafuta mashamba ni dhambi? Au kwa kuwa tutalala gesti?![]()
dah...kiongozi..hawa wana wa Israeli saa nyingine kuwaelewa ni ngumu ujue...
dah...kiongozi..hawa wana wa Israeli saa nyingine kuwaelewa ni ngumu ujue...
Hehehehehe hii kitu kuna wabaya wetu ina wapain sana ngoja wajinyonge tu.
Nipo kwenye mchakato wa kuweka pipe from this end to that end.....itakua sio lita tena ni mijilita....ikiwezekana tutumie lita kadhaa tusogeze wikend
Masaki unatumia kinywaji gani?Ndio maana anaitwa Pearl yaani kwa kimatumbi ni Lulu........!!! 🙂
Nimeona hommie ila hujafanya logistics badoNimeshado ze nidiful
Utakunywa fanta ngapi mamushka?nimekusoma sana biggy!!!
Lita kadhaa za fanta? You cant be seriousikiwezekana tutumie lita kadhaa tusogeze wikend
USALULE! 😀😀😀!!!!Jamani hivi kwenda kutafuta mashamba ni dhambi? Au kwa kuwa tutalala gesti?![]()
hamna lolote waeshmaeli wakubwa nyie!!!!
Mpwa vipi twende tukaangalie mazingira!
hata mkuu wa kaya ni mbaya wetu we Fide wewee ndo maana huendi Mkuranga wewe tena afadali tukajimwaye huko na B wangu, maana na wewe mmh!!!
Masaki unatumia kinywaji gani?