Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Mngenishtua mapema mpwa sasa kuna ishu Moro pale inanisubili naenda kufanya kitubio pale.
Dah..nimekusoma over..ndo revenge nini ya wakati ule
al batar!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mngenishtua mapema mpwa sasa kuna ishu Moro pale inanisubili naenda kufanya kitubio pale.
............itakuwa ngumu kutufikia sisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiusijali baba c unajua kuna chama kimezaliwa?hawatuweziiiiiiiiii
Jamani hivi kwenda kutafuta mashamba ni dhambi? Au kwa kuwa tutalala gesti?![]()
Utakunywa fanta ngapi mamushka?
Lita kadhaa za fanta? You cant be serious
😀😀😀!!!!
Hehehehe ni bora uende na shemeji mpwa![]()
![]()
Sio dhambi mpwa kulala guest lakini inategemea utalala na nani.
Cant obey my thirsty! Natangulia kwa ankal.hommie mbona unagonga ikulu namna hiyo! Serengeti mmbili za kuanzia zinakusubiri!
Hapa nina kamba za manila, wako wapi nikawagee?Hehehehehe hii kitu kuna wabaya wetu ina wapain sana ngoja wajinyonge tu.
Mamushka ntahitaji written explanations hapo!hata mkuu wa kaya ni mbaya wetu we Fide wewee ndo maana huendi Mkuranga wewe tena afadali tukajimwaye huko na B wangu, maana na wewe mmh!!!
One end hapo SBL na end nyingine KAPONGO bar! Thats my boy!!!Nipo kwenye mchakato wa kuweka pipe from this end to that end.....itakua sio lita tena ni mijilita....
Hehehehe ni bora uende na shemeji mpwa![]()
![]()
Sio dhambi mpwa kulala guest lakini inategemea utalala na nani.
Dah..nimekusoma over..ndo revenge nini ya wakati ule
al batar!
Ama kweli mwalimu wa fasihi nimepata. Kila siku napata neno jipya kwenye ''vokabulari'' yangu ya Kiswahili Fasaha!
Ila itabidi niku PM mwalimu uniambie maana ya hilo neno hapo kwenye red!
Naona bht kakugongea SENKSI kwa sababu ya hiyo sentensi yako kwenye red hapo.....watu wazushi kweli! 🙂![]()
Umenisoma mpwa! nsha do the needfulOne end hapo SBL na end nyingine KAPONGO bar! Thats my boy!!!
SI WAMESEMA tuna IQ ndogo😀😀Kumbe na wewe hujui kusoma katikati ya mistari?
Naona bht kakugongea SENKSI kwa sababu ya hiyo sentensi yako kwenye red hapo.....watu wazushi kweli! 🙂![]()
ntakwambia tu hata ukiwa Mkurunga inside ze gest hausi, in ze bed with sm1 or alone I will do
SI WAMESEMA tuna IQ ndogo😀😀
nadhani mpaka hapa SAFARI IMEKUFA!(wahanga ni wengi mno kwenye hili😀)Huko msisahau vyeti vyenu vya ndoa maana wanaruhusiwa kulala walio funga ndoa.
Huko msisahau vyeti vyenu vya ndoa maana wanaruhusiwa kulala walio funga ndoa.
Hehehehe dah ile ipo kiuchumi zaidi.
Vp Mkuranga lini kwani?
hapana!lakin UTAAMINI VIPI SASA?kwani kakaake we unafanyang il kitu yenye inashushanga ma -IQ???