How long to wait?...

Karibu mwanachama mpya! We hakika ni mali yangu HALALI KABISA. (Avatar imezingatiwa)

nimeingiaje kwenye ile list biggy?? mie nina certificate yangu na Balantanda, legally married at bomani atii!!!!

hahaaa Avatar inaleta utata, afu naweee usiutumie ubiggy wako kuwanyanyasa wenzio huyo mwachiw basi Kaizer jamani
 
Duh! Hiyo kali, halafu gesti zenyewe za vijijini usikute chumba Shs. 5,000 kwa hiyo ninakuwa ndani ya bajeti kabisa!
Acha tu hii nshaishudia miaka nyuma kidogo kule Mtibwa kuna Guest ya Mlokole so jamaa wakatumia mbinu hiyo ila nite sasa sauti zika leta soo muhudumu si akawagongea akiwa na askari mlinzi yaani balaa tupu porini!
 
nimeingiaje kwenye ile list biggy?? mie nina certificate yangu na Balantanda, legally married at bomani atii!!!!

hahaaa Avatar inaleta utata, afu naweee usiutumie ubiggy wako kuwanyanyasa wenzio huyo mwachiw basi Kaizer jamani
kaizer anastahili ban
 
Nimeiona mpwa nami nimeitendea haki hii yuziful posti! Unanidai lita kadhaa za pombe.
Hii naiweka kwenye diary yangu mid May ntakua TZ lazima nizitafute lita zangu!! you know wat am saying!
 
Hahahaha!!!! Hehehehe!!!! Hihhihihihih!
Ngoje nicheke tena Hahahahaha! Hehehehe! Tehetehetehe! LOLZ!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duh! Hiyo kali, halafu gesti zenyewe za vijijini usikute chumba Shs. 5,000 kwa hiyo ninakuwa ndani ya bajeti kabisa!

dah yaani pesa yangu mwenyewe tena inipe karaha ya kumyatia mtu wangu mwenyewe aaaaah staki bana!!!!
 
nimeingiaje kwenye ile list biggy?? mie nina certificate yangu na Balantanda, legally married at bomani atii!!!!

hahaaa Avatar inaleta utata, afu naweee usiutumie ubiggy wako kuwanyanyasa wenzio huyo mwachiw basi Kaizer jamani
wa2 wanagawana nini jamani mbona sielewi..!
 
Hii naiweka kwenye diary yangu mid May ntakua TZ lazima nizitafute lita zangu!! you know wat am saying!

haaaaa lita za pombe, madumu kabisaa mseme hivo!!
 
hata mie nimekumiss kishenzi,im fine,hope u fine 2!

nimeingiaje kwenye ile list biggy?? mie nina certificate yangu na Balantanda, legally married at bomani atii!!!!

hahaaa Avatar inaleta utata, afu naweee usiutumie ubiggy wako kuwanyanyasa wenzio huyo mwachie basi Kaizer jamani

kaizer anastahili ban
Blue + Red Mamushka hatauliza kwanini umesema hommie akule ban! Invizibo, please do ze nidiful!
 
dah yaani pesa yangu mwenyewe tena inipe karaha ya kumyatia mtu wangu mwenyewe aaaaah staki bana!!!!
Usiombe yakukute.....
haaaaa lita za pombe, madumu kabisaa mseme hivo!!
ha ha ha sio mdumu tukiwa mgombani inawekwa kwenye drums na kutolewa kwa kata then unaria kwenye kitochi!! tukiwa mjini ipo kwenye crate inanywewa kwenye chupa!!
 
Blue + Red Mamushka hatauliza kwanini umesema hommie akule ban! Invizibo, please do ze nidiful!

mbona mie nilishachukuliwa long time,na shemu wenu pia ni jf member mkongwe
umekata mzizi wa fitina lakini acha nikuonye tu, hicho si kizuizi kwa wapwaaaaaaaaaz aweza kupinduliwa in a twinkling of an eye!!!!!
 
Hii naiweka kwenye diary yangu mid May ntakua TZ lazima nizitafute lita zangu!! you know wat am saying!
Dah! Mpaka May msimu wa ngano utakuwa umeisha. Lakini usijali, ndizi hazina msimu.

wa2 wanagawana nini jamani mbona sielewi..!
Hatugawani tena, Unamjua Rais wa Afrika Kusini?

haaaaa lita za pombe, madumu kabisaa mseme hivo!!
Nadhani Kimey kakuelewa vema! Jasiri haachi asili

wanagawana wanyange!!!!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…