Usiombe yakukute.....
ha ha ha sio mdumu tukiwa mgombani inawekwa kwenye drums na kutolewa kwa kata then unaria kwenye kitochi!! tukiwa mjini ipo kwenye crate inanywewa kwenye chupa!!
halafu hawa ma-lijendi hawa.............!
Kumbe?????ππhalafu hawa ma-lijendi hawa.............!
Ni Lijendi bana!Tunaomba utambulisho tafadhali!
Hahahaha! mamushka for her sons!!!! LOLZ!umekata mzizi wa fitina lakini acha nikuonye tu, hicho si kizuizi kwa wapwaaaaaaaaaz aweza kupinduliwa in a twinkling of an eye!!!!!
vuta subira utamjua tu!Tunaomba utambulisho tafadhali!
Hapo kwenye RED nimekusoma ila kwenye Blue mkuu inapokuja ishu ya business kama hiyo hata utumie kigiriki mkuu ntaelewa!!Dah! Mpaka May msimu wa ngano utakuwa umeisha. Lakini usijali, ndizi hazina msimu.
Nadhani Kimey kakuelewa vema! Jasiri haachi asili
πππ!!!!!
wameshasikia pearl!vipi uzima wa afya yako leo dear?SEma sema sema haki yako maa waambie hao
yaani malijendi ni wabaya!SISI TUNATONGOZA WEEEEEEEEEEEEEEEE lakini wao WANAOA KABISAππKumbe?????ππLOLZ!
halafu hawa ma-lijendi hawa.............!
Hapo kwenye RED nimekusoma ila kwenye Blue mkuu inapokuja ishu ya business kama hiyo hata utumie kigiriki mkuu ntaelewa!!
wapwa nadhani huu muda unaruhusu kabisa kuhamia kaunta wakati tunasubiria kwenda mkuranga kilimo kwaza!
yaani malijendi ni wabaya!SISI TUNATONGOZA WEEEEEEEEEEEEEEEE lakini wao WANAOA KABISAππ
kweli binamu!we angalia bht watu tumejituma weeeeeeeeeeeeeeee!lakini MKONGWE KALAMBA DUMEππ
Tayari wameshanfanyizia. Hommie amekula dili na mamushka cheupemangala kasepa!mtu akikusumbua kwa CHEUSI MANGALA atakuwa mgomvi
wapwa nadhani huu muda unaruhusu kabisa kuhamia kaunta wakati tunasubiria kwenda mkuranga kilimo kwaza!
yaani malijendi ni wabaya!SISI TUNATONGOZA WEEEEEEEEEEEEEEEE lakini wao WANAOA KABISAππ
kweli binamu!we angalia bht watu tumejituma weeeeeeeeeeeeeeee!lakini MKONGWE KALAMBA DUMEππ
MIMI ni kijana wa siku nyingi kiongozi.sio kama wewe kijana wa juzi juzidah, yaani mpwa hadi karne hii unatongoza bana?
Uzuri wa mji wetu huu kuna baa zina kila kitu ''under one roof'', msosi, supu, nyama choma, mpiga kiwi, muuza magazeti, line za simu na of course vinywaji! π
Kwa hiyo mpwa sema lanchi wapi? Ili tuanze kabisa kupasha kwa ajili ya safari ya Mkuranga?