How long to wait?...

How long to wait?...

Usiombe yakukute.....

ha ha ha sio mdumu tukiwa mgombani inawekwa kwenye drums na kutolewa kwa kata then unaria kwenye kitochi!! tukiwa mjini ipo kwenye crate inanywewa kwenye chupa!!

haywezi kunikuta kwa mfano leo nimeamua naenda kula raha sasa ya nini niende mkuranga mie kwenye masharti ya hivo???

heheee hayo ya mgombani Meku nayajua......vitochi duh!!!
 
Dah! Mpaka May msimu wa ngano utakuwa umeisha. Lakini usijali, ndizi hazina msimu.

Nadhani Kimey kakuelewa vema! Jasiri haachi asili

😀😀😀!!!!!
Hapo kwenye RED nimekusoma ila kwenye Blue mkuu inapokuja ishu ya business kama hiyo hata utumie kigiriki mkuu ntaelewa!!
 
wapwa nadhani huu muda unaruhusu kabisa kuhamia kaunta wakati tunasubiria kwenda mkuranga kilimo kwaza!
 
Hapo kwenye RED nimekusoma ila kwenye Blue mkuu inapokuja ishu ya business kama hiyo hata utumie kigiriki mkuu ntaelewa!!

heheeeeeeee haya bana!!!
 
wapwa nadhani huu muda unaruhusu kabisa kuhamia kaunta wakati tunasubiria kwenda mkuranga kilimo kwaza!

Uzuri wa mji wetu huu kuna baa zina kila kitu ''under one roof'', msosi, supu, nyama choma, mpiga kiwi, muuza magazeti, line za simu na of course vinywaji! 🙂

Kwa hiyo mpwa sema lanchi wapi? Ili tuanze kabisa kupasha kwa ajili ya safari ya Mkuranga?
 
yaani malijendi ni wabaya!SISI TUNATONGOZA WEEEEEEEEEEEEEEEE lakini wao WANAOA KABISA😀😀

icon10.gif
icon10.gif
 
me nimeambiwa mpaka miaka miwili iishe alafu ananichomoa mapene ile mbaya. simuelewi kabisa huyu demu
 
wapwa nadhani huu muda unaruhusu kabisa kuhamia kaunta wakati tunasubiria kwenda mkuranga kilimo kwaza!

B please pitia mi here so that I can 'jiandaaa'
 
kweli binamu!we angalia bht watu tumejituma weeeeeeeeeeeeeeee!lakini MKONGWE KALAMBA DUME😀😀

hahaaaaa Goeff weee moyo ulipenda kule kwa chapa ng'ombe jamani!!!
it wasnt my fault, it was my hearts fault!!!
 
Uzuri wa mji wetu huu kuna baa zina kila kitu ''under one roof'', msosi, supu, nyama choma, mpiga kiwi, muuza magazeti, line za simu na of course vinywaji! 🙂

Kwa hiyo mpwa sema lanchi wapi? Ili tuanze kabisa kupasha kwa ajili ya safari ya Mkuranga?

Lunch ya leo naifata kabisa "al Nyantare" pale wana mbuzi safi sana halafu ni along ze way to Mkuranga binamu! najua hapo unado ze nidiful

wapi Pearl?
 
Back
Top Bottom