How long to wait?...

How long to wait?...

nimemmka na bwana(Yesu)mm mazingira yakiruhusu tu basi anapewa mda haijalishi as long as anatakiwa kupewa pple sy the ealia ze beta au nakosea?
Mahabaaa kajukuu. Jambo? Afu hujanambia kale kamjamaa kazaa chema kenzako ulikabania muda gani kabla hujakapa tunda?

Umeamka na nani? Nawewe huwa unatoa muda gani kumpa mashalaa anayekudeti (siyo pamanenti rileshenship, nadhani umenielewa kama unajua kusoma katikati ya mistari)
 
nimemmka na bwana(Yesu)mm mazingira yakiruhusu tu basi anapewa mda haijalishi as long as anatakiwa kupewa pple sy the ealia ze beta au nakosea?
Dah! Ngoja nikuPM kwa ajili ya logistics. You knoo woram seyying?
 
Furahi Day, siku niipendayo tangu nikiwa sekondari.........!!![/QUOTE]

mbona ulikawia hivo kuipenda siku nzuri kama hii jamani????

mimi hata kabla sijazaliwa yaani kama mchaga na mbege!!!
 
mbona ulikawia hivo kuipenda siku nzuri kama hii jamani????

mimi hata kabla sijazaliwa yaani kama mchaga na mbege!!!

Dah! Basi kama ni hivyo nilichelewa kuanza mambo mengi sana, mengine ni PG 18 siwezi kuyasema hapa kuna watoto! 🙂
 
utawajua tuuu!!!! hapo kiu tayari.....
hw long can u last without that ka-thing????????????????????
Please dont ask me this question! Kwa afya yangu tafadhali.
 
Mamushka? Kwa nini unanifanyia hivi lakini?

Hata wewe unavonifanyia sio vizuri tena sipendagi na unajua hilo basi tu makusudi ili unirushe roho!!!! I dont like wat u r doing to me

Please dont ask me this question! Kwa afya yangu tafadhali.

hahaaa nimemuuliza tu Kimey, wachaga wengine are excluded in this (Kimey hata Dec hakupata wasaa)
 
utawajua tuuu!!!! hapo kiu tayari.....
hw long can u last without that ka-thing??????[/QUOTE]
ha ha ha kama Xpin alivyosema kwa afya zetu lets be quite!!
 
Dah! Basi kama ni hivyo nilichelewa kuanza mambo mengi sana, mengine ni PG 18 siwezi kuyasema hapa kuna watoto! 🙂

watoto wanafanya nini hapa wakati mojawapo ya masharti ya hii kitu lazima uwe umefikia the age of majority?!!

we sema tu hawatasoma......
 
swetuska na swty hat wote hawajambo mpz tunaku ham
eeeeh kwenye hw long can one last without haya mavituz!!!

hw are sweetushka!!!! and my sweetheart???
 
Back
Top Bottom