HOW MANY GALAXIES IN UNIVERSE?

Mkuu hizi hadithi za wazungu ni nzuri sana lakini uongo mkuu u ndani yake.
Wanatuumiza sana vichwa kutufikirisha vitu ambavyo havipo!!?
Tujaribu kujiuliza namba ya gallaxy au nyota wameitoa wapi? Na je kama wanadanganya ulimwengu sisi ukweli huo tunathibitisha vipi? Umejiuliza pia "picha ya universe yote waliipigaje"? Mimi nikujibu tu, hawajapiga bali wametengeneza imagination yao wakaichora taswira yao kwa computer tu, so hizi ni COMPUTER GENERATED IMAGES tu. Hamna zaidi.
 
mmmh.. mambo haya nayo ni uongo mtupu. Siamini hii picha kwani hamna camera ya kuweza kupiga eneo kubwa kama la hadithi zao za gallaxy. Dunia yetu hatujamaliza kuitafiti mambo ya juu tutayawezea wapi!!!
ushasikia kitu kinaitwa telescope?
 
Hivi universe iko ndani ya shell au nje ya shell /ukuta
If no universe is unlimited
If yes mwisho kuna shell/ukuta flani hivi ?
 
I like this
 
Mie huko kwenye kuchambua au kujadili galaxy ni mbali sana, tuanze na vitu vidogo vidogo tu, kuna jumla ya sayari ngapi?
 
Mkuu nyota bilion 400!!!!
Nani au kifaa gani kimezihesabu mkuu? Hizi ni fiction za maudhi sana unajua!!
Ona, wanasema kila nyota ni Jua, kwa majua million 4 tungepona mkuu!!?
Wazungu waongo wa kuudhi sana *****!!!
Kila nyota ni jua?
Umechanganya boss,jua ni Moja ya nyota zilizo karibu na dunia (thru solar system) huwez kuungua coz kuna large distance between dunia yetu na hizo nyota zingine ,hope it make sense
 
hzo pcha huchukuliwa na telescope mkuu
Aliyeichukua alikua amesimama wapi??
Maana kutoka nje ya galaxy yetu kupiga picha huyo mpiga picha alitakiwa kuanza safari ya kwenda nje miaka takribani laki moja(100000) iliyopita ili afike sasa hivi..
 
Nani alikwambia kanisa katoliki lina telescope station bora duniani?
We jamaa ukatoliki umekuchanganya akili, kuna VATT na yenyewe sio kitu ni telescope ndogo tu. Aliyewaletea dini waafrika aliwaumiza sana, yaani mmekua mazezeta.
 
Nimekuelewa sana" mkuu" kama ndio hivyo kweli dunia haiwezi kuwa mahala salama pakuishi'' maana hayo madini yatakuwa yanatafutwa kivyovyote vile" ikibidi hata kuhatarisha maisha ya watu""..... na hivyo vyombo vya kwenda huko huwa vinatumia nini" iliviweze kuruka angani "'?
 
Kuna zillion na zillion na zillion za galaxies.
 
Mkuu nyota bilion 400!!!!
Nani au kifaa gani kimezihesabu mkuu? Hizi ni fiction za maudhi sana unajua!!
Ona, wanasema kila nyota ni Jua, kwa majua million 4 tungepona mkuu!!?
Wazungu waongo wa kuudhi sana *****!!!
hahaaa
 
ili uweze kupita anga letu la milky way galaxy kuingia galaxy nyingine ni lazima chombo chako uki coat na madini flan unless kitayeyuka fasta kutokana na reaction za metal na surounding gases za anga za huko...ndo mana nasema kuna siri nzito juu ya madini yanayochimbwa ...

inasemekana kuwa kwenye galaxy nyingine kuna high civilization zaidi kuzidi iliyopo hapa kwenye milky way ....lengo kubwa ni kuadvance kufikia civilization kama za huku Niburi ..
 
Aliyeichukua alikua amesimama wapi??
Maana kutoka nje ya galaxy yetu kupiga picha huyo mpiga picha alitakiwa kuanza safari ya kwenda nje miaka takribani laki moja(100000) iliyopita ili afike sasa hivi..
hahaaa hoja za humu zinachekesha mnooo" hiyo miaka 100000 ukirudi duniani" siutajikuta unaishi peke yko
 
Nani alikwambia kanisa katoliki lina telescope station bora duniani?
We jamaa ukatoliki umekuchanganya akili, kuna VATT na yenyewe sio kitu ni telescope ndogo tu. Aliyewaletea dini waafrika aliwaumiza sana, yaani mmekua mazezeta.
aiseee" waliotultea dini" walaanike kwakweli" maana ndio chanzo cha .chuki na maugomvi yasiyo kwisha
 
hahaaa hoja za humu zinachekesha mnooo" hiyo miaka 100000 ukirudi duniani" siutajikuta unaishi peke yko
Hahaa yaani ni shida... kutuma chombo nje ya solar system tu unahitaji miaka 36.. sasa nani aliipiga picha ya universe na solar system[emoji23] [emoji23]
 
naam nikweli" haya madini hayaishii kwenye vito tu na ujenzi wa mabomu" kuna ya ziada zaidi kama hayo uyasemayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…