HOW MANY GALAXIES IN UNIVERSE?

the universe is still expanding....ni ngumu kupredict how the bigger it is...but Scientists measure the size of the universe in a myriad of different ways.

uchunguzi huo wa kubaini jinsi universe ilivyoevolve ni kupitia hizo microwave speed background walipima jinsi zinavoespand .

They can measure the waves from the early universe, known as baryonic acoustic oscillations, that fill the cosmic microwave background. They can also use standard candles, such as type 1A supernovae, to measure distances.

However, these different methods of measuring distances can provide answers.

How inflation is changing is also a mystery. While the estimate of 92 billion light-years comes from the idea of a constant rate of inflation, many scientists think that the rate is slowing down. If the universe expanded at the speed of light during inflation, it should be 10^23, or 100 sextillion.

lakini pia bado kuna utafiti unaendelea kufanyika lakini lazima ujue kuwa According to NASA, scientists know that the universe is flat with only about a 0.4 percent margin of error (as of 2013).

And that could change our understanding of just how big the universe is.

"This suggests that the universe is infinite in extent; however, since the universe has a finite age, we can only observe a finite volume of the universe," NASA says on their website. "All we can truly conclude is that the universe is much larger than the volume we can directly observe."
 
mkuu embu
mkuu embu endelea kufuatilia aisee , kumbe mambo ndio yako hivyo?
 
Aliyeichukua alikua amesimama wapi??
Maana kutoka nje ya galaxy yetu kupiga picha huyo mpiga picha alitakiwa kuanza safari ya kwenda nje miaka takribani laki moja(100000) iliyopita ili afike sasa hivi..
mfano mdg tu mkuu, una uwezo wa kuona nyota ngapi usiku kwa macho yako bila kutumia kifaa chochote? then ukishapata jibu jiulize telescope yenye nguvu ilioko space inaweza ikaona vitu vingapi
 
ni kweli na ndio maana astronomers wana image za galaxies nyngne ila si ya milkway maana ili kupata ya milkway inabd uchukue ukiwa nje ya galaxy yetu kitu ambacho hakiwezekani
 
Nani alikwambia kanisa katoliki lina telescope station bora duniani?
We jamaa ukatoliki umekuchanganya akili, kuna VATT na yenyewe sio kitu ni telescope ndogo tu. Aliyewaletea dini waafrika aliwaumiza sana, yaani mmekua mazezeta.
Mbona una waruka wewe....!!!


Ndio! Namaanisha Telescope bora kabisa...

Pita google ujielimishe

Vatican Advanced Technology Telescope
 
mfano mdg tu mkuu, una uwezo wa kuona nyota ngapi usiku kwa macho yako bila kutumia kifaa chochote? then ukishapata jibu jiulize telescope yenye nguvu ilioko space inaweza ikaona vitu vingapi
Tunaongelea picha mtoa maada aliyoiweka akasema ni ya milkway galaxy...sasa ndio mdau mmoja akauliza wameipataje picha hii??
 
Lakini hiyo telescope si ipo ndani ya Galaxy yenyewe itawezaje kujichukua..pia tambua kuwa telescope haichukui images bali ni kwa ajili ya kutazama anga za mbali
mkuu telescope zinchukua mpk images, ni kweli telescope inkuwa ndani ya galaxy yetu hvyo haiwez kuchukua images za gaalaxy yetu bali huchukua images za galaxies nyngne km Andromeda n.k hebu cheki macho yako yana uwezo wa kuona nyot ngapi usiku? sasa nyota ya karibu zaid itachukua zaidi ya miaka ishirini kwa kuifikia kwa technogy zilizopo sasa, sasa km macho yako yanaona object ilio mbali hivi kwe universe je sophticated telescope itaona nyota ilioko mbali kiasi gani? jribu kufikiria tu
 
Kwa mfano wakisafiri kwa velocity ya light kutoka Sayari tuliyopo mpaka Sayari nyengine. Kwa kasi hiyo hiyo ya light tukatoka mpaka kwenye Solar System ya kwetu, na kwa kasi hiyo hiyo ya light tukatoka mpaka kwenye Galaxy ya kwetu.

Hiyo, imekaaje?
alpha centauri iko four light years away from us, hii ina maana km una safiri kwa speed ya mwanga basi itakuchukua miaka minne kufika nyota ilioko karibu nasi ukiacha jua, sasa galaxy km andromeda inakadiriwa iko almost 2 million light years away from earth ikimmanisha kuwa itakuchukua miaka million mbili kufika huko km unaenda kw speed km ya mwanga hvyo speed ya mwanga hapa nu useless hvyo inbd utumie dha mode of transport km mkuu mmoja alisema kutumia wormholes ambayo kwa sasa tech hio bado haiwez kutumika na ina changamoto kibao
 
Tunaongelea picha mtoa maada aliyoiweka akasema ni ya milkway galaxy...sasa ndio mdau mmoja akauliza wameipataje picha hii??
aisee! haiwezekani kuchukua picha ya galaxy yetu wenyew labda aje mwenyew kutumbia
 
universe haina mwanzo wala mwsho mkuu
 
Hichi kitu ulichoongelea hapo mwisho nimekifuatilia vizuri kwenye vitabu viingi tu kama GENERAL AND SPECIAL RELATIVITY cha albert einstein (hii ni baada ya kuona hicho kioja cha dinosaur ikanibidi ni relate na na relativity) ila naona hakiingii akilini .
Imagine hiki ktu kwa mfano wewe upo side A na mtoto wako mwenye miaka 5 yupo side B mtoto wako ameshikilia mpira kisha akakurushia ule mpira yaani akarusha kutokea side B kwenda side A ambapo wewe ndiyo upo. ule mpira ukatumia miaka 20 mpaka kukufikia wewe that means ukichukua hadubini ukaangalia mpira ulipotokea yaani side B bado utamuona mtoto wa miaka 5?
 
Mimi naona tunachokiona tukitumia hadubini sio nyota bali ni mwanga wa nyota za zamani ambao unaendelea kuja ....kuhusu mfano wa mtoto na baba chukulia mipira mingi (kama miale ya mwanga) ikarushwa continously kwa miaka 2o siku itakapo fikia distance fulani ukiangalia kwa darubini utaiona inaendelea kuja wakati in reality ilirushwa miaka 20 iliyopita
 
Anhaa hapo nimekupata mkuu hiki kitu ndo kile wanakiita ghost stars sio?
 
Kupitia kwenye black hole mpaka leo haijawezekana...

Ila kutoka kwenye galaxy moja kwenda nyingine utawezekana... kinachotatiza ni umbali mkubwa sana sana sana... uliyopo kuzifikia hizo galaxies...

Tazama " Through the warmhole" with Morgan Freeman...

How unaweza pitia "How the Universe works"


Cc: mahondaw
 
Kwa nn ume-exclude Pluto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…