lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,359
[emoji3] [emoji3]Haina madhara Mkuu, msije mkatuharibia Dunia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3]Haina madhara Mkuu, msije mkatuharibia Dunia?
Wewe Tesla na mambo yako haya utatuharibia Dunia.[emoji3] [emoji3]
the universe is still expanding....ni ngumu kupredict how the bigger it is...but Scientists measure the size of the universe in a myriad of different ways.Mkuu, idadi ya galaxies zote wamezijuaje? Space telescope miaka iliyopita walisema Galaxies zipo 120 billion, baadae (2016) wakasema zipo 2 trillion, ambayo ni zaidi ya idadi waliyokuwa wanaifikiria.
Edwin Hubble baada ya kugundua milk way si galaxy pekee katika universe astronomers wakajikita zaidi katika uchunguzi. Na zile galaxies tunazoziona ni mwisho wa teknolojia binadamu tuliyonayo. Kwa maana teknolojia tuliyokuwa nayo kuhusu uchunguzi wa universe, ndiyo ukomo wa maarifa yetu kuhusu universe. Ndiyo maana kadri muda unavyozidi kwenda na teknolojia inavyokuwa kubwa na ugunduzi wa galaxies nyengine zinaongezeka. Swali linalobakia, ulimwengu wetu ukubwa wake upoje; How big is big?
mimi sio tesla...[emoji4] [emoji4]Wewe Tesla na mambo yako haya utatuharibia Dunia.
mkuu embu endelea kufuatilia aisee , kumbe mambo ndio yako hivyo?mmmh....lakini mkuu through wormhole wameweza kufika kwenye galaxy hizo japo wenye dunia hii wanagoma kutuambia..
Kuhusu kutoka nje ya mfumo wa sayari yetu( solar system) imekuwa simple sana baada ya kustudy picha halisi ya jinsi universe ilivyojiweka katika sehemu zake..
Kupitia system ya spiral analysis ambayo ilitafutiwa ufumbuzi kupitia Fibonacci sequence ambayo ndo imekuja kuibua siri nzima ya jinsi mfumo mzima wa viumbe au sayari zote katika kila galaxy..
wamekuja wakagundua kuwa mpangilio wa vitu vyote ndani ya galaxy ya milky way ni sawa sawa na mpangilio ule ule katika galaxy za Andromeda na zingine
View attachment 833140
kupitia fibonacci calculations tunakuja kuconclude kuwa all living things in this universe are formed in spirally form that form a shape like spiral ...
Na ukiangalia kweli formation ya uzao wa kila kitu kinachopatikana kwenye universe hii kipo katika mfumo wa fibanacci structural( hapa mpaka uwe unasoma mfumo wa universe ndo utaendana na mimi kuhusiana na fibonacci sequence aplications)
,
Mtoto akiwa tumboni anakuwa ameoccupy fibanacci spiral shape,konokono anakuwa na spiral shape,angalia mimea yote ikiwa inaanza kutoa maua inaexihibit fibonacci spiral shaped,..
karibia kila aina ya formation ya kila kitu ipo katika mfumo wa fibonacci sequence...
Ukiwa mfuatiliaji sana wa Fibonacci's number utakuja kugundua kuwa the whole galaxies zinaocupy the same fibonacci formation sequence kiasi kwamba formation ya intersteller,galaxies,excess norble gases and other things kwenye kila galaxy ipo sawa kwa galaxy zote..
View attachment 833143
kwa hiyo tukija kugusia namna ya kufika huko kwenye galaxy zingine,ni simple sna kupitia time space machine ambapo tutatumia wormhole kama chombo kinachosafiri kwa haraka zaidi kuliko hizo roketi na sourcer tunazotegemea...
Ikumbukwe kuwa kupitia wormhole tutafika kwa speed kubwa sana zaidi ya speed ya mwanga (3,000,000 m/s) yani meter milion 3 kwa sekund moja..
wormhole itasafiri kwa speed kubwa zaidi ya mwanga ..
Kupitia wormhole transportation ,tutakuwa na uwezo wa kuingia galaxy nyingine kupitia galaxy moja hadi nyingine,,.
yani unajikuta unatumia dk 45 kutoboa galaxy ya Andromeda kupitia milky way galaxy..
Things are coming to terify the world ..keep watching how technology is going to fantasy the world and the universe itself...
Kuna kampuni moja kubwa snaa duniani ambalo ndo linasimamia hayo mambo ya kutengeneza space craft zitakazotumika kutufikisha kwenye kituo cha anga za mbali cha SPACE X ambapo tukifika huko tutachukua wormhole na kusafiri kwenda galaxy moja hadi nyingine...
Space X wamefikia pakubwa sana japo everything is put under secret kwa minajiri wanaoijua wao...
Kuna siri nyingi zishaaanza kuvuja kuhusu CERN project kuhusisha utengenezaji wa vifaaa vitakavyotumika kuunda wormhole ,,..japo wanajihusisha pia na uchunguzi wa Anti matter but wanajihusisha pia na namna watakavyokuja kugundua hizo wormhole kupitia madini maalumu.
Hii dhahabu na almasi inayotafutwa duniani kote kila kukicha usifikiri inatumika kutengenezea saa za mkononi na mikufu ya akina Lady Gaga na Rihanna ,hapana ina mambo yake...
Inasemekana lakini kuwa eti madini yanayohitajika kuunda hiyo wormhole space machine miongoni mwao ni dhahabu na almasi...
Sijalitafutia ufumbuzi vizuri kuhusu jambo hilo..
bado nadig mambo make wenye dunia hawataki kuweka mambo hadharani..
kwa hiyo mwisho niseme kuwa kusafiri hadi kufika galaxy nyingine inawezekana kabsaa...
sasa kama wameweza kubaini idadi ya galaxy zote pamoja na system za intersteller zote itakuwaje washindwe kufika huko..mbaya zaidi picha ya universe yote waliipigaje kama hawawezi kufika huko....
Kuna watu wanarisk maisha ili kila kitu kiende poa kwa hiyo sio kila jambo linawekwa wazi...
Kuna siri nzito sana juu ya uchimbaji wa dhahabu na Almasi pamoja na madini unayoyajua wewe...
Tuendeleeni kuwa wapole tu make mambo ni mazito...
mfano mdg tu mkuu, una uwezo wa kuona nyota ngapi usiku kwa macho yako bila kutumia kifaa chochote? then ukishapata jibu jiulize telescope yenye nguvu ilioko space inaweza ikaona vitu vingapiAliyeichukua alikua amesimama wapi??
Maana kutoka nje ya galaxy yetu kupiga picha huyo mpiga picha alitakiwa kuanza safari ya kwenda nje miaka takribani laki moja(100000) iliyopita ili afike sasa hivi..
ni kweli na ndio maana astronomers wana image za galaxies nyngne ila si ya milkway maana ili kupata ya milkway inabd uchukue ukiwa nje ya galaxy yetu kitu ambacho hakiwezekanindio zinachukuliwa na telescope lkn hakuna picha ya jumla ya galaxy yetu halisi.. ni kana kwamba unauwezo wa kwenda juu mita 100 hlf unaambiwa upige picha dunia nzima!(yote itokee kwenye picha). sehemu baadhi ni halisi lkn sehemu nyengine ni work of art.
Mbona una waruka wewe....!!!Nani alikwambia kanisa katoliki lina telescope station bora duniani?
We jamaa ukatoliki umekuchanganya akili, kuna VATT na yenyewe sio kitu ni telescope ndogo tu. Aliyewaletea dini waafrika aliwaumiza sana, yaani mmekua mazezeta.
Tunaongelea picha mtoa maada aliyoiweka akasema ni ya milkway galaxy...sasa ndio mdau mmoja akauliza wameipataje picha hii??mfano mdg tu mkuu, una uwezo wa kuona nyota ngapi usiku kwa macho yako bila kutumia kifaa chochote? then ukishapata jibu jiulize telescope yenye nguvu ilioko space inaweza ikaona vitu vingapi
mkuu telescope zinchukua mpk images, ni kweli telescope inkuwa ndani ya galaxy yetu hvyo haiwez kuchukua images za gaalaxy yetu bali huchukua images za galaxies nyngne km Andromeda n.k hebu cheki macho yako yana uwezo wa kuona nyot ngapi usiku? sasa nyota ya karibu zaid itachukua zaidi ya miaka ishirini kwa kuifikia kwa technogy zilizopo sasa, sasa km macho yako yanaona object ilio mbali hivi kwe universe je sophticated telescope itaona nyota ilioko mbali kiasi gani? jribu kufikiria tuLakini hiyo telescope si ipo ndani ya Galaxy yenyewe itawezaje kujichukua..pia tambua kuwa telescope haichukui images bali ni kwa ajili ya kutazama anga za mbali
alpha centauri iko four light years away from us, hii ina maana km una safiri kwa speed ya mwanga basi itakuchukua miaka minne kufika nyota ilioko karibu nasi ukiacha jua, sasa galaxy km andromeda inakadiriwa iko almost 2 million light years away from earth ikimmanisha kuwa itakuchukua miaka million mbili kufika huko km unaenda kw speed km ya mwanga hvyo speed ya mwanga hapa nu useless hvyo inbd utumie dha mode of transport km mkuu mmoja alisema kutumia wormholes ambayo kwa sasa tech hio bado haiwez kutumika na ina changamoto kibaoKwa mfano wakisafiri kwa velocity ya light kutoka Sayari tuliyopo mpaka Sayari nyengine. Kwa kasi hiyo hiyo ya light tukatoka mpaka kwenye Solar System ya kwetu, na kwa kasi hiyo hiyo ya light tukatoka mpaka kwenye Galaxy ya kwetu.
Hiyo, imekaaje?
aisee! haiwezekani kuchukua picha ya galaxy yetu wenyew labda aje mwenyew kutumbiaTunaongelea picha mtoa maada aliyoiweka akasema ni ya milkway galaxy...sasa ndio mdau mmoja akauliza wameipataje picha hii??
universe haina mwanzo wala mwsho mkuuMkuu, idadi ya galaxies zote wamezijuaje? Space telescope miaka iliyopita walisema Galaxies zipo 120 billion, baadae (2016) wakasema zipo 2 trillion, ambayo ni zaidi ya idadi waliyokuwa wanaifikiria.
Edwin Hubble baada ya kugundua milk way si galaxy pekee katika universe astronomers wakajikita zaidi katika uchunguzi. Na zile galaxies tunazoziona ni mwisho wa teknolojia binadamu tuliyonayo. Kwa maana teknolojia tuliyokuwa nayo kuhusu uchunguzi wa universe, ndiyo ukomo wa maarifa yetu kuhusu universe. Ndiyo maana kadri muda unavyozidi kwenda na teknolojia inavyokuwa kubwa na ugunduzi wa galaxies nyengine zinaongezeka. Swali linalobakia, ulimwengu wetu ukubwa wake upoje; How big is big?
Hichi kitu ulichoongelea hapo mwisho nimekifuatilia vizuri kwenye vitabu viingi tu kama GENERAL AND SPECIAL RELATIVITY cha albert einstein (hii ni baada ya kuona hicho kioja cha dinosaur ikanibidi ni relate na na relativity) ila naona hakiingii akilini .Mkuu imagine kwenye solar system yetu kuna sayari 8 ambazo zinalizunguka jua... kwenye galaxy yetu kuna stars kubwa zaidi ya jua kama milioni kadhaa na kwenye universe kuna galaxies za kutosha tu kama bil 100 na inatabiriwa kiwa zitadouble to bil 200 kadri ugunduzi wa telescope zenye nguvu zaidi unavyoendelea..
Sisi binadamu ndo kwanza tuna hustle kuijua vizuri mars iliyopo karibu yetu achilia mbali kutoka kwenye solar system yetu ambayo chombo chenye speed duniani kinaweza kutumia miaka 36 kutoka kwenye solar system..
Kuifikia nyota iliyoko karibu yetu unahitaji kitembea millions of light year ambapo unaweza kutumia miaka mingi sana..
Kwahio kwa maono yangu naona binadamu hatuwezi kutembelea galaxy nyingine...maana kufika tu nje ya galaxy yetu unaweza kutumia miaka zaidi ya life expectancy ya mwanadamu miaka zaidi ya milioni..
Na kwa taarifa yako nyota nyingi tuzionazo juu sasa hivi hazipo...yaani sisi tunaona past.. muda wa ule mwanga wa nyota kutufikia sisi ni miaka mingi sana kiasi kwamba zile nyota zilisha dissappear
Kungekuwa na viumbe wengine kwenye galaxy ya mbali wakatumia darubini kutuangalia wangekuwa wanaona past ..yaani wangekuwa wanaona ma dinosaur
Mimi naona tunachokiona tukitumia hadubini sio nyota bali ni mwanga wa nyota za zamani ambao unaendelea kuja ....kuhusu mfano wa mtoto na baba chukulia mipira mingi (kama miale ya mwanga) ikarushwa continously kwa miaka 2o siku itakapo fikia distance fulani ukiangalia kwa darubini utaiona inaendelea kuja wakati in reality ilirushwa miaka 20 iliyopitaHichi kitu ulichoongelea hapo mwisho nimekifuatilia vizuri kwenye vitabu viingi tu kama GENERAL AND SPECIAL RELATIVITY cha albert einstein (hii ni baada ya kuona hicho kioja cha dinosaur ikanibidi ni relate na na relativity) ila naona hakiingii akilini .
Imagine hiki ktu kwa mfano wewe upo side A na mtoto wako mwenye miaka 5 yupo side B mtoto wako ameshikilia mpira kisha akakurushia ule mpira yaani akarusha kutokea side B kwenda side A ambapo wewe ndiyo upo. ule mpira ukatumia miaka 20 mpaka kukufikia wewe that means ukichukua hadubini ukaangalia mpira ulipotokea yaani side B bado utamuona mtoto wa miaka 5?
Anhaa hapo nimekupata mkuu hiki kitu ndo kile wanakiita ghost stars sio?Mimi naona tunachokiona tukitumia hadubini sio nyota bali ni mwanga wa nyota za zamani ambao unaendelea kuja ....kuhusu mfano wa mtoto na baba chukulia mipira mingi (kama miale ya mwanga) ikarushwa continously kwa miaka 2o siku itakapo fikia distance fulani ukiangalia kwa darubini utaiona inaendelea kuja wakati in reality ilirushwa miaka 20 iliyopita
HahahhaaaaAlifanana na jiwe A.K.A mtembee kifua mberee
Kwa nn ume-exclude Pluto?Kuna Galaxies nyingi sana ndani ya Universe, hili Milk way galaxy ni mfano tuu, mfano wa Galaxy nyinginezo ni Andromeda Nebula na Adromeda Spiral kama sikosei hivi. Pia kuhusu nyota ndani ya Galaxy letu zipo nyingi sana huku Jua letu ikiwa ni mojawapo, mfano: Uy Scuti na Vy Canis Majoris ni nyota kubwa sana kiasi cha kuweza kujaza majua Milion na Million.... Sayari pia zipo nyingi ingawa mfumo wetu wa jua zipo nane (exclude pluto)