HOW MANY GALAXIES IN UNIVERSE?

We jamaa utakuwa sijui na shida gani, hivi kamera ya simu yako imewezaje kupiga picha linyumba kubwa? Things zipo too advanced. Hivi hata NASA na knowledge ya nje ya dunia unaona waongo?

Utakuwa huamini hata uwezo wa simu yako!
 
Mbona una waruka wewe....!!!


Ndio! Namaanisha Telescope bora kabisa...

Pita google ujielimishe

Vatican Advanced Technology Telescope

VATT inaongoza nini sasa? Kutazama chura?
Unajua telescope wewe? Haipo hata top 20 unasema inaongoza? Labda inaongoza kijijini kwenu.
 
wangetafutwa wataalam wa mambo ya alhayat watumie majini nasikia huwa yanakasi sana katika kusafiri.
 
Katika Hadithi mojawapo katika Uislamu ni kwamba, Malaika Jibril aliomba akaone pale Mungu alipowaandalia waja wake wema kupumzikia milele baada ya kutoka hapa duniani, Mungu alimwambia huwezi.kufika huko kwani ni mbali sana, malaika alizidi kuomba bas akaruhusiwa na alisafiri miaka 2000 ya kimbingu ambapo kwa hapa duniani siku moja ya kimbingu ni miaka elfu 50, malaika yule hakufika akarudia njiani. Sasa kwa mantiki hio mie naamini kuwa Ukimwengu hauna mwisho tunaoweza kuufikia zaidi ya yule aliye uumba. Atukuzwe mbora wa waumbaji, aamin
 
Kwa hio kama siku moja ya mbingu ni miaka elfu 50 kwetu

365*50000=18250000
Kwahio 18250000*2000= 3.65 bilion ndio miaka ya dunia aliosafiri huyo malaika kama ni kweli.

Sifa zote njema ziwe kwake Mungu.
 
"The universe is much larger than the volume we can directly observe."

Nimeipenda hiyo na thanks for your explanation/ lecture about the size of our universe( in general).

Vipi kuhusiana na Astronomical unit(AU) na Parsec(PC)? I'm not an astronomer but I really want to know How these things work?
 
Kwa hio kama siku moja ya mbingu ni miaka elfu 50 kwetu

365*50000=18250000
Kwahio 18250000*2000= 3.65 bilion ndio miaka ya dunia aliosafiri huyo malaika kama ni kweli.

Sifa zote njema ziwe kwake Mungu.
Amiin. Kwa Mwenyeezi Mungu miaka bilioni sio kitu. Ndio maana huwa nakubaliana na wanasayansi wakitaja sijui kiumbe flani kilikuwepo miaka milioni 50 iliopita. Maana kwa mujibu wa Kitabu cha Quran nikiaminicho, binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuletwa na Mungu kuishi katika hii dunia.
 
Kwa hio kama siku moja ya mbingu ni miaka elfu 50 kwetu

365*50000=18250000
Kwahio 18250000*2000= 3.65 bilion ndio miaka ya dunia aliosafiri huyo malaika kama ni kweli.

Sifa zote njema ziwe kwake Mungu.
Pia tunaambiwa kuwa siku ya kiyama (Siku ya Hukumu) urefu wake ni sawa na miaka elfu 50 ya hapa duniani. Sie tokea Yesu hadi leo tuna 2000 tu. Ametakasika Mbora wa Waumbaji
 
Umuhimu wa elimu na upana wake tuendelee kuelimishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…