Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
We jamaa utakuwa sijui na shida gani, hivi kamera ya simu yako imewezaje kupiga picha linyumba kubwa? Things zipo too advanced. Hivi hata NASA na knowledge ya nje ya dunia unaona waongo?Mkuu hizi hadithi za wazungu ni nzuri sana lakini uongo mkuu u ndani yake.
Wanatuumiza sana vichwa kutufikirisha vitu ambavyo havipo!!?
Tujaribu kujiuliza namba ya gallaxy au nyota wameitoa wapi? Na je kama wanadanganya ulimwengu sisi ukweli huo tunathibitisha vipi? Umejiuliza pia "picha ya universe yote waliipigaje"? Mimi nikujibu tu, hawajapiga bali wametengeneza imagination yao wakaichora taswira yao kwa computer tu, so hizi ni COMPUTER GENERATED IMAGES tu. Hamna zaidi.
Utakuwa huamini hata uwezo wa simu yako!