kufika alpha centauri kwa wiki mbili inamana una safiri kwa speed kubwa zaidi ya mwanga........that cannot be possible mkuu
mmmh....lakini mkuu through wormhole wameweza kufika kwenye galaxy hizo japo wenye dunia hii wanagoma kutuambia..
Kuhusu kutoka nje ya mfumo wa sayari yetu( solar system) imekuwa simple sana baada ya kustudy picha halisi ya jinsi universe ilivyojiweka katika sehemu zake..
Kupitia system ya spiral analysis ambayo ilitafutiwa ufumbuzi kupitia Fibonacci sequence ambayo ndo imekuja kuibua siri nzima ya jinsi mfumo mzima wa viumbe au sayari zote katika kila galaxy..
wamekuja wakagundua kuwa mpangilio wa vitu vyote ndani ya galaxy ya milky way ni sawa sawa na mpangilio ule ule katika galaxy za Andromeda na zingine
kupitia fibonacci calculations tunakuja kuconclude kuwa all living things in this universe are formed in spirally form that form a shape like spiral ...
Na ukiangalia kweli formation ya uzao wa kila kitu kinachopatikana kwenye universe hii kipo katika mfumo wa fibanacci structural( hapa mpaka uwe unasoma mfumo wa universe ndo utaendana na mimi kuhusiana na fibonacci sequence aplications)
,
Mtoto akiwa tumboni anakuwa ameoccupy fibanacci spiral shape,konokono anakuwa na spiral shape,angalia mimea yote ikiwa inaanza kutoa maua inaexihibit fibonacci spiral shaped,..
karibia kila aina ya formation ya kila kitu ipo katika mfumo wa fibonacci sequence...
Ukiwa mfuatiliaji sana wa Fibonacci's number utakuja kugundua kuwa the whole galaxies zinaocupy the same fibonacci formation sequence kiasi kwamba formation ya intersteller,galaxies,excess norble gases and other things kwenye kila galaxy ipo sawa kwa galaxy zote..
kwa hiyo tukija kugusia namna ya kufika huko kwenye galaxy zingine,ni simple sna kupitia time space machine ambapo tutatumia wormhole kama chombo kinachosafiri kwa haraka zaidi kuliko hizo roketi na sourcer tunazotegemea...
Ikumbukwe kuwa kupitia wormhole tutafika kwa speed kubwa sana zaidi ya speed ya mwanga (3,000,000 km/s) yani kilometer milion 3 kwa sekund moja..
wormhole itasafiri kwa speed kubwa zaidi ya mwanga ..
Kupitia wormhole transportation ,tutakuwa na uwezo wa kuingia galaxy nyingine kupitia galaxy moja hadi nyingine,,.
yani unajikuta unatumia dk 45 kutoboa galaxy ya Andromeda kupitia milky way galaxy..
Things are coming to terify the world ..keep watching how technology is going to fantasy the world and the universe itself...
Kuna kampuni moja kubwa snaa duniani ambalo ndo linasimamia hayo mambo ya kutengeneza space craft zitakazotumika kutufikisha kwenye kituo cha anga za mbali cha SPACE X ambapo tukifika huko tutachukua wormhole na kusafiri kwenda galaxy moja hadi nyingine...
Space X wamefikia pakubwa sana japo everything is put under secret kwa minajiri wanaoijua wao...
Kuna siri nyingi zishaaanza kuvuja kuhusu CERN project kuhusisha utengenezaji wa vifaaa vitakavyotumika kuunda wormhole ,,..japo wanajihusisha pia na uchunguzi wa Anti matter but wanajihusisha pia na namna watakavyokuja kugundua hizo wormhole kupitia madini maalumu.
Hii dhahabu na almasi inayotafutwa duniani kote kila kukicha usifikiri inatumika kutengenezea saa za mkononi na mikufu ya akina Lady Gaga na Rihanna ,hapana ina mambo yake...
Inasemekana lakini kuwa eti madini yanayohitajika kuunda hiyo wormhole space machine miongoni mwao ni dhahabu na almasi...
Sijalitafutia ufumbuzi vizuri kuhusu jambo hilo..
bado nadig mambo make wenye dunia hawataki kuweka mambo hadharani..
kwa hiyo mwisho niseme kuwa kusafiri hadi kufika galaxy nyingine inawezekana kabsaa...
sasa kama wameweza kubaini idadi ya galaxy zote pamoja na system za intersteller zote itakuwaje washindwe kufika huko..mbaya zaidi picha ya universe yote waliipigaje kama hawawezi kufika huko....
Kuna watu wanarisk maisha ili kila kitu kiende poa kwa hiyo sio kila jambo linawekwa wazi...
Kuna siri nzito sana juu ya uchimbaji wa dhahabu na Almasi pamoja na madini unayoyajua wewe...
Tuendeleeni kuwa wapole tu make mambo ni mazito...