GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Ha ha ha.... Mkuu hbr za masiku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasie ananichokoza halafu atakimbilia ndani kujifungia....
Muelezee huyo....maana mimi nlitakaga peleka posa kwa akina kasie nioe age mate wangu....ila ndo hivyo naye ana hofu.
kwUmeona eeehhh kigagula muoga fisiii aahahahahaaaa
Njoo bana wee nipe uhakika tuu utaona siogopi tena aahahahahahahaaaa
Eid Mubarak Guddu.
Aahahahahahaa si unajua mchezo as kidali poo, nakuja nakuchokoza nakudalika halafu nakimbia mbio kujificha.
Sasa monolingual hivo unikimbize ila jifanye hunifikii hadi nifike eneo ninalojoficha. Halafu huko jifanye kama unajitafuta wee kumbe ushajua nilipo, ukinikamata sasa, hapo halali yako aahahahahhahaaaa
Hapa nshaanza kutimua mbio naelekea kujificha eeheheheheheee.
Tukijificha sehemu moja tutafurahi sana na unaweza ukadai tusionekane tena.... Umewahi kucheza kombolela mkajificha watu wakawatafuta mpaka wakakata tamaa na ikafika jioni wakaondoka?
Sure mi nataka kukuoa.siyo kama wanaume wanaotaka kukuchezea. Mimi sipo hivyo hujui tu moyo wangu unavyoenda kwa kasi kila napoona jina lako.kila napokukumbusha moyo hupoteza mapigo mpaka baada ya muda flani ndo unarud kwenye mapigo yake ya kawaida. Sema dada sema nikupe nini? Navyokupenda hata ukitaka mimba ntakupa.
kw
Niipeee niipeeee....
Ukinipaa ntaleewaaa....
Niipeee niipeeee....
Ukinipaa ntanogewaaa....
Gudduu..... Unajua unakuja kwa kasii, kumzidi sukari ya warembo Watu8
Huyo watu8 hajiamini ndo maana anakutongoza ukikubali anakuja na wenzie saba.... Anajua peke yake hawezi.njoo kwa gudume kwa mbegu.hugu ni man alone...ntakupa hata moyo wangu.acha mimba peke yake.... Sema utakacho hata ukitaka nikununulie mlima kilimanjaro uwe wako peke yako...ntafanya hivyo....ukitaka lile jengo pale karibu ma ferry liwe makazi yako ya kudumu ntakufanyia mchakato....
Mi nakuangalia tu afu nacheka hihihiiiAahahahahhahaaa huu ni mtongozo wa milenia aahahahahahaa
Nimehorojeka na kulainika
Nipelekee Guddu, nipelekee ambako sijafika, acha nitapetape niweweseke najua utanidaka na kunipaisha juu kama tai....
Maneno haya asiyasikie Le Big Sam Asprin maana hiyo vita yake Coronya cha mtoto.
Hili tongozo nalikopi naenda kulipesti huko uswaziiiSure mi nataka kukuoa.siyo kama wanaume wanaotaka kukuchezea. Mimi sipo hivyo hujui tu moyo wangu unavyoenda kwa kasi kila napoona jina lako.kila napokukumbusha moyo hupoteza mapigo mpaka baada ya muda flani ndo unarud kwenye mapigo yake ya kawaida. Sema dada sema nikupe nini? Navyokupenda hata ukitaka mimba ntakupa.
kw
Aahahahahhahaaa huu ni mtongozo wa milenia aahahahahahaa
Nimehorojeka na kulainika
Nipelekee Guddu, nipelekee ambako sijafika, acha nitapetape niweweseke najua utanidaka na kunipaisha juu kama tai....
Maneno haya asiyasikie Le Big Sam Asprin maana hiyo vita yake Coronya cha mtoto.