Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mpare Mshana Jr sio wa kumwendeleza sana. Labda hiyo siku tuwe na mifupa ya kitimoto mifukoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mpare Mshana Jr sio wa kumwendeleza sana. Labda hiyo siku tuwe na mifupa ya kitimoto mifukoni.
Mi nakuangalia tu afu nacheka hihihiii
Achana na Asprin kuna AVR hizo ndo deal...asprin inashindwa hata na Panadol.njoo mama upate kitu roho yako itataka...upate raha ujihisi una elea mawinguni. Nimekuahidi hata mimba ntakupatia usitie shaka kabisa...nataka uamini kuwa kweli nakupenda.
Haha haha haaaaaaa hivi tunguri kwa kingereza zinaitwaje?
🤣😂Tongoury
TwonguriesHaha haha haaaaaaa hivi tunguri kwa kingereza zinaitwaje?
Aahahahahahhaaaa Babuuu
Wajua vile nikisikia zouk zako I just lean on your shoulders and kiss...
Halafu Babu nashangaa ghafla nasikia koo linaniwasha....