Mchawi mwandamizi
Senior Member
- Jan 17, 2020
- 117
- 335
Hapo naona garden tu aisee, nyumba sijaona, .... garden ni kama make-up,inapendezesha hata visivyopendeza.Kwema wadau? Nyumba kama hii inaweza cost shilingi ngapi? Nimeipenda sana nataka kuijenga...
Anyone who can estimate the cost for building a house like this in Dar es salaam?
With much thanks in advance
Mbona kwenye hicho kipande cha picha inaonekana kuwa ground siyo level yaani kuna slope kwa nyuma ndiyo maana kuna kile kijinyuchumba kwa chini unlike mlimani city?Ni kama zile villa za Mlimani City
Itakuwa utakatifu Ume kurudia😀🤣Nimeona bhana😃😃, mwanzo alikua hajaweka picha😅
Amen 🤗... ila wewe jamaa akili zako🤣🤣🤣Itakuwa utakatifu Ume kurudia😀🤣
siyo ghorofa ni nini?Hilo sio ghorofa mkuu
hakika! hata mimi yamenikuta hivi sasa.Manyumba makubwa ya hivyo hayafai. Ukitaka kujua ubaya wake Mungu akupe maisha marefu watoto wako wakue na kuanza maisha yao. Ndio utajua namaanisha nini?
Time fanyaje tena, Wana daresalaam nyie🤣😀🤣Amen 🤗... ila wewe jamaa akili zako🤣🤣🤣
Wadaslam akina mleta mada...me wa mkoani huku😃😃Time fanyaje tena, Wana daresalaam nyie🤣😀🤣
Hiyo inayo had basement nduguBut 250m mbona kama nyingi sana mkuu?
Siku hizi una dharau sana🤣Mbona siioni😃😃🤒
Sio kweli🤔🤔Siku hizi una dharau sana🤣