How much can this house be?

How much can this house be?

Kwema wadau? Nyumba kama hii inaweza cost shilingi ngapi? Nimeipenda sana nataka kuijenga...

Anyone who can estimate the cost for building a house like this in Dar es salaam?

With much thanks in advance
Hapo naona garden tu aisee, nyumba sijaona, .... garden ni kama make-up,inapendezesha hata visivyopendeza.
 
Mkuu hapo kuna kipande cha picha ya nyumba. Kupata cost estimate kwenye hicho kipande cha picha ni ngumu sana/ haiwezekani
Ni kama zile villa za Mlimani City
 
Japo mimi sio building economist. Ila huo mjengo haucost that much. Upo simple sana na seems to be wakizamani!

Ukipata ardhi ya bei ya chini huko kwenu uswahilini uzaramoni na bila kucomplicate contractor, nauhakika mkuu utauotesha chini ya 250m.
 
Manyumba makubwa ya hivyo hayafai. Ukitaka kujua ubaya wake Mungu akupe maisha marefu watoto wako wakue na kuanza maisha yao. Ndio utajua namaanisha nini?
 
Kwa kutumia picha huwezi kupata makadilio mazuri chief, utapata makadilio ya kubashiri tu kama ulivyoona watu wengi wamebashiri tofauti tofauti kulingana na mtazamo wa namna wanavyoona picha
Ungekua na vipimo angalau vya urefu na upana ni rahisi kidogo kupata makadilio yanayokaribia uhalisia
 
Manyumba makubwa ya hivyo hayafai. Ukitaka kujua ubaya wake Mungu akupe maisha marefu watoto wako wakue na kuanza maisha yao. Ndio utajua namaanisha nini?
hakika! hata mimi yamenikuta hivi sasa.

Wanavyosema wakenya - kimeniramba!
 
Back
Top Bottom