How President Magufuli Transformed Tanzania's Roads into the Best in East Africa - The Architect of Tanzania Highways

Barabara zenyewe hazimalizi mwaka zinamomonyoka.
Hizo Barabara au biskuti
 
Upuuzi,roads zipi hizo ambazo Ali transform ? 😂😂
 
M Mwongo wewe!
Aliye asisi transformation ya the National Highway system ni Rais Benjamin William Mkapa.
Lazima aenziwe kwa hilo.
Kwanza alianza kwa kuisuka TANROADS na kutengeneza sheria za ku fund transformation hiyo.
Mkapa vile vile alianzisha Road Fund.
Kuanzisha Road Fund kutokana na tozo ya fuel ilikuwa ubunifu mkubwa uliofanya kazi y ujenzi wa barabara kuwa endelevu.

Magufuli alikuwa bulldozer tu wa utekelezaji.
 
Mwulize mamako, unavyowekaga makalio kwenye gari unapitiaga juu ya biskuti? Huoni hata aibu ulivyo mpumbavu?
Kaka natumai wewe ni mtu mzima .
Sikutukana Wala kuleta matusi .
KWANINI UNITUKANE??
HII INAJULISHA WEWE NI ILLITERANT USIEWEZA MIJADALA BADALA YA MATUSI.
Usini quote Tena naku block
 
Hata wakati wa Kikwete JPM ndiye alikuwa waziri wa ujenzi alijijengea sifa ya kujenga mabarabara na miundo mbinu. huwezi kumkwepa JPM wakati wowote ule.
 
Kila kiongozi aliyepita alifanya part yake...
Full stop

Ova
 
Your arguments are true in case of Construction sector, but on other side of the coin, John Pombe Magifuli (JPM) was :-
Chief Kidnapper.
Chief Abducter.
Chief Assassin.
Mega Murderer.
Chief Poisoner.
Chief Satan.
Chief of the Hell!
All in all, he was Crook and the Most Evil-President in this Continent of Africa.
Therefore, all roads infrastructures in which he constructed were useless.
 
Barabara ipi mpya aliyoijenga magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…