How remembers this?

How remembers this?

Karibu tu share matukio yaliyowahi kuwa ya kihistoria nchini kwetu.
p070113ck-0153.jpg

Obama Tanzania
 
Ni mfumo uliopo nchini kwetu huu dah 🥲
Haikupaswa kwa kweli, maana tumejinasibu nchi yenye mihimili na kila mhimili unajitegemea hamna ulio juu ya mwenzake ingawa kuna ule ulio jichimbia sana.
 
Back
Top Bottom