How rich is Kenya?

How rich is Kenya?

Tetemeko sio njaa, na tetemeko halitokei kila mwaka, njaa kwenu ni sawa na pete na chanda.

Dunia haijui mambo ya County, dunia inajua nchi ya Kenya ambamo Mamilioni ya raia wake hukumbwa na baa la njaa kila mwaka na makumi kadhaa hufa.

Na uzuri zaidi ni your own local media which publicise the news to the world, nisingejua habari hiyo kama nisingesoma kupitia media zenu, na hao waandishi wenu wanalaumu serikali yenu kwa kuzembea juu ya suala hilo ambalo limekuwa ni chronic, hawalaumu County na magavana wake.
Kwhyo km tetemeko haliji kila mara ndio rais hafai kutoa msaada sio[emoji23][emoji23]
Umeona vile magu alivyokua bahili na mkaidi sana..huwezi mlinganisha mtu ambae ana njaa na yule ambae tetemeko lime muharibia makaazi pamoja ni vitu vyake vyote..

Huyo njaa ndio wa kwanza anayetaka kushughulikiwa wale sio wale ambao wana njaa lkn wana sehemu ya kuishi pampja na mofugo..

Ndio manake uhuru kw huruma akatuma KDF kw haraka sana kuleta misaada..
Ubinadamu ni kumsaidia mtu ambae hana mbele wala nyuma katika haya maisha na hajui ataanzia wapi cz akili imevurugika kw kupoteza karibia kila kitu..

Lkn eti ishu ya turkana uhuru ni km kwanza anamshangaa gavana kw sababu kazi ya kuwahamasisha wale jamaa wabadilishe life style ni jukumu lake wala sio la serikali kuu
 
Mtu mwenye akili atazungumzia tatizo la njaa, njaa inayokumba watu KILA SIKU kwa mamilioni ya watu na wengine hufa kutokana na hiyo njaa.

HUWEZI kulinganisha shida za tetemeko zilizotokea kwa mara ya kwanza kwa baadhi tu watu, Kenya KILA SIKU ni njaa tu.
Screenshot_20201122-084341.png
 
Mtu mwenye akili atazungumzia tatizo la njaa, njaa inayokumba watu KILA SIKU kwa mamilioni ya watu na wengine hufa kutokana na hiyo njaa.

HUWEZI kulinganisha shida za tetemeko zilizotokea kwa mara ya kwanza kwa baadhi tu watu, Kenya KILA SIKU ni njaa tu.View attachment 1634169
Kila siku leo wamekufa wangapi[emoji23][emoji23]
Hapa huwezi pindisha kitu, tayari nimesha prove km magu ni mkaidi..tetemeko limeathiri watu na kashindwa kuwasaidia kw ukaidi wake, etil haliji kila siku hku wengine wakiachwa bila makaazi..

Nawapongeza sana kdf na lile shirika la wale jamaa waliotinga kusaidia
 
Good assertions, but this should go together with the welfare of the citizens.
Yaani waTzn wana uhakika wa kushindia maembe,mihogo na madafu basi lakini ni maskini wakutupwa hakuna cha welfare yoyote hapo
 
Kila siku leo wamekufa wangapi[emoji23][emoji23]
Hapa huwezi pindisha kitu, tayari nimesha prove km magu ni mkaidi..tetemeko limeathiri watu na kashindwa kuwasaidia kw ukaidi wake, etil haliji kila siku hku wengine wakiachwa bila makaazi..

Nawapongeza sana kdf na lile shirika la wale jamaa waliotinga kusaidia

Mjeuri ni Magu au mjeuri na mkabila ni Uhuru anayeshindwa kulisha watu wa Turkana kila mwaka licha ya kuwa na uwezo wa kuwalisha???. Kwanza ondoa boriti jichoni mwako ili uweze kuona vyema na ndipo uondoe kibanzi kwa jicho la mwenzako (jichoni kwa mwenzako).

Hao kdf inatakiwa kila mwaka wawe wakipelekwa huko Northern Kenya kukabiliana baa la njaa kwa millions of kenyans na haikuwa busara kuwaleta huku ambapo watu 440 waliathirika na 17 walikufa kwenye tetemeko, wewe hujui charity starts at home??!, shida hasa niionayo ni ukabila.

Angalia huyo mkenya anayejitambua anavyoisema serikali ya Kenya kuhusu baa la njaa:-
Screenshot_20201125-190032.png
 
Yaani waTzn wana uhakika wa kushindia maembe,mihogo na madafu basi lakini ni maskini wakutupwa hakuna cha welfare yoyote hapo

kama wewe unashindia maembe mabichi usijedhani ni kilio cha wote hicho.

mihogo ni chakula.
madafu ni kinywaji na chakula safi sana.

ndio maana tukisema umasikini wa chini ya $1.9 ni viwango vya mzungu,sisi tuna viwango vyetu kama hivyo vya mtu kukosa mpaka mihogo anakaa kama kiunzi anajifia[emoji20][emoji20][emoji19].
 
Mjeuri ni Magu au mjeuri na mkabila ni Uhuru anayeshindwa kulisha watu wa Turkana kila mwaka licha ya kuwa na uwezo wa kuwalisha???. Kwanza ondoa boriti jichoni mwako ili uweze kuona vyema na ndipo uondoe kibanzi kwa jicho la mwenzako (jichoni kwa mwenzako).

Hao kdf inatakiwa kila mwaka wawe wakipelekwa huko Northern Kenya kukabiliana baa la njaa kwa millions of kenyans na haikuwa busara kuwaleta huku ambapo watu 440 waliathirika na 17 walikufa kwenye tetemeko, wewe hujui charity starts at home??!, shida hasa niionayo ni ukabila.

Angalia huyo mkenya anayejitambua anavyoisema serikali ya Kenya kuhusu baa la njaa:-View attachment 1634629
Eeee kabisa charity starts at home, anapaswa aanze na gavana wa turkana km hela anazitumiaje na wakati anajua kwake kuna matatizo ya hapa na pale..

Kdf ipo under serekali kuu wala sio county, kwhyo shida za counties inategemea ipoje ipoje
 
kama wewe unashindia maembe mabichi usijedhani ni kilio cha wote hicho.

mihogo ni chakula.
madafu ni kinywaji na chakula safi sana.

ndio maana tukisema umasikini wa chini ya $1.9 ni viwango vya mzungu,sisi tuna viwango vyetu kama hivyo vya mtu kukosa mpaka mihogo anakaa kama kiunzi anajifia[emoji20][emoji20][emoji19].
Kwhyo kenya hakuna madafu sio
 
Eeee kabisa charity starts at home, anapaswa aanze na gavana wa turkana km hela anazitumiaje na wakati anajua kwake kuna matatizo ya

Sasa umekubali kwamba shida ipo kwa serikali kuu (Rais) kushindwa kuwasimamia magavana wa Counties, kumsimamia Gavana ili adhibiti njaa inayotokea kila siku na kila mwaka, nadhani shida inaanza na ukabila unaowasumbueni.

Nataka ujue kwamba inapotangazwa juu ya njaa nchini Kenya, watu huangalia Serikali ya Kenya na wala hatuangalii serikali za counties kwasababu serikali kuu ndiyo inao wajibu Mkuu kwa raia wote, mfano haiwezekani pakatokea mauaji makubwa kama ya ugaidi halafu tuseme ni kazi ya Gavana na county yake kupambana na ugaidi.

Sasa mnatakiwa kudhibiti kwanza njaa nchini kwenu ndipo mje hapa kutamba kwamba kenya inao uchumi wa tatu kwa ukubwa in sub saharan Africa.

An economic progress of a country should reflect human welfares otherwise it is a failed economy which is possessed for a few people.
 
Naona bado unaumwa kwamba kenya ina uchumi wa tatu kwa ukubwa kusini mwa jangwa la Sahara. Pole sana mzee. Tuko karibu kuovertake Morocco very soon. Wewe ngoja tu
 
Kama ingalikuwa ni suala la kuumwa kwanini nisiumwe juu ya uchumi wa USA au china??, nije kuumwa juu ya Kenya petty economy usioweza hata kuwaondolea njaa milions ya watu wake kila mwaka!!!, Very hilarious 🤣.

Uchumi bora ni ule unaokidhi shida za watu wake (its contibutors) na uchumi mbaya (the show case economy) ni ule usiokidhi shida za watu bali upo tu kwa ajili ya maonyesho na majigambo.
 
kama wewe unashindia maembe mabichi usijedhani ni kilio cha wote hicho.

mihogo ni chakula.
madafu ni kinywaji na chakula safi sana.

ndio maana tukisema umasikini wa chini ya $1.9 ni viwango vya mzungu,sisi tuna viwango vyetu kama hivyo vya mtu kukosa mpaka mihogo anakaa kama kiunzi anajifia[emoji20][emoji20][emoji19].
Wewe umeona washindia maembe na madafu walivyo na hali mbaya? wanasura za simanzi mda wote na hata bando hawana la kuingia kwenye mitandao
 
Hahaha. Cc Geza Ulole huyu jamaa amekudharau sana. Julnd Geza ni msomi. Najua kwa sababu quality ya mawazo yake iko juu sana. Anawaza kama msomi na anajua mengi so yeye ni msomi
Geza ulole wakati mwingine huweka elimu pembeni na kuingiza ushabiki.
 
Back
Top Bottom