komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwhyo km tetemeko haliji kila mara ndio rais hafai kutoa msaada sio[emoji23][emoji23]Tetemeko sio njaa, na tetemeko halitokei kila mwaka, njaa kwenu ni sawa na pete na chanda.
Dunia haijui mambo ya County, dunia inajua nchi ya Kenya ambamo Mamilioni ya raia wake hukumbwa na baa la njaa kila mwaka na makumi kadhaa hufa.
Na uzuri zaidi ni your own local media which publicise the news to the world, nisingejua habari hiyo kama nisingesoma kupitia media zenu, na hao waandishi wenu wanalaumu serikali yenu kwa kuzembea juu ya suala hilo ambalo limekuwa ni chronic, hawalaumu County na magavana wake.
Umeona vile magu alivyokua bahili na mkaidi sana..huwezi mlinganisha mtu ambae ana njaa na yule ambae tetemeko lime muharibia makaazi pamoja ni vitu vyake vyote..
Huyo njaa ndio wa kwanza anayetaka kushughulikiwa wale sio wale ambao wana njaa lkn wana sehemu ya kuishi pampja na mofugo..
Ndio manake uhuru kw huruma akatuma KDF kw haraka sana kuleta misaada..
Ubinadamu ni kumsaidia mtu ambae hana mbele wala nyuma katika haya maisha na hajui ataanzia wapi cz akili imevurugika kw kupoteza karibia kila kitu..
Lkn eti ishu ya turkana uhuru ni km kwanza anamshangaa gavana kw sababu kazi ya kuwahamasisha wale jamaa wabadilishe life style ni jukumu lake wala sio la serikali kuu