How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

Umeenda so deep.
Ila hujamuelewamtoa mada, yeye shida yake ipo kwa MD TANESCO tu..... mradi wenyewe kuanzia tendering process, hadi upatikanaji wa mkandarasi ni zoezi questionable hadi leo, makampuni lukuki yenye uzoefu wa miaka mingi na financial powers walitaka kufanya huu mradi kwa gharama hizo hizo, kilichofanyika anajua Magu. Matokea yake, mkandarasi akicheleweshewa fedha kidogo tu, kazi zinalala, subcontractors hawalipwi kwa wakati, etc.
 
Bwana matusi. Hata hiyo WBS unayoongelea inaelekea umekariri tu. Hivi huwezi kutoa maoni yako bila matusi? Inaelekea wewe ni kati ya watu wasiojua vitu vizuri lakini wanataka kujionyesha kwamba wanajua.
Inaonekana nimetumia lugha mbovu sana kwenye hii mada inayokwaza wasomaji.

For that I apologise my bad kwa aliekerekwa.

Kuelezea WBS ni mtihani kwa sasa ila much easier to google it on what it entails.?
 
Mie hata sielewi unaongelea nini mwaya.... ila nadhani kwa project yeyote kunaenda na evaluation how things are going na kufanya adjustment when neccessary,
 
Nani kakwambia hajui kinachoendelea?

Kila kitu kina level yake, yeye kama MD pale sio mtendaji, ni msimamizi wa mradi, yeye ana deliverables zake, sio kujua kila kitu, unataka ajue kuna Dereva anaitwa Juma amebeka cement toka Dangote Mtwara yuko njiani anaenda Rufiji???? big no.

Ukikuwa utaelewa.
 
Inaonekana nimetumia lugha mbovu sana kwenye hii mada inayokwaza wasomaji.

For that I apologise my bad kwa aliekerekwa.

Kuelezea WBS ni mtihani kwa sasa ila much easier to google it on what it entails.?
Consultant wa mradi na main engineer wa huo mradi ni huyo huyo Arab contractor soma tena post yako do the research uone nani mwenye tatizo.

If you have a different consultancy firm enlightened us please.
 
Mie hata sielewi unaongelea nini mwaya.... ila nadhani kwa project yeyote kunaenda na evaluation how things are going na kufanya adjustment when neccessary,
Muhimu hapo ni wewe kusema uelewi naongelea nini. So let me leave you with that ignorance.

Vinginevyo serikali aiwezi kujitapa mkandarasi alikuwa anamapungufu wakati walisaini WBS kabla ya kuanza kazi, either watoe sababu za msingi za technical issues au delayed consideration issues za kubadili mambo wanayodai.

Vinginevyo any changes to the project WBS ni mambo ya kulipana fidia au kushitikiana kuvunja mkataba.
 
sijui ni mtu wa aina gani watu wote wanajaribu kukuelimisha unakuwa mzito kuelewa, sasa kama kiswahili nacho kinakupiga chenga sijui tukusaidie vipi?
 
Na wewe ukiacha unazi utajadili hoja tunazungumzia the progress of the project ambazo M.D is a month behind, whereby he is supposed to be up to date.

Sasa habari za dereva zimekuja vipi, halafu kuna wasomaji wa hii mada wanakasirika nikiita watu viazi.
 
unazi upi?

kwa utulivu kabisa hebu niambia how is the M.D a month behind.

Yani nielimishe kivipi M.D yupo nyuma mwezi mmoja.

Yani niambie huo mwezi mmoja ni upi? maana wote tumemsikia akitoa status ya february, na leo tuko march. Nna shauku kubwa ya kujua how he is a month behind.
 
sijui ni mtu wa aina gani watu wote wanajaribu kukuelimisha unakuwa mzito kuelewa, sasa kama kiswahili nacho kinakupiga chenga sijui tukusaidie vipi?
Macho yangu sio mazuri ya kukuwekea appropriate image ya supervision matrix maana kukuekezea what it is supposed to serve in project ni hadithi ndefu.

Lakini project supervision matrix ata mkurugenzi akiwa yupo anajua mradi upo hatua gani given the information grid designed.

Yaani kitendo cha M.D kusema hajui what is going on until a month after ni upuuzi wa hali ya juu.
 
We are past the month of March. he’s about nearly a month behind ndio maana nikakuuliza do you even how a supervision matrix is supposed to be updated to ensure clients are updated the project evolves.

Ina maana hujui unalipia shuguli gani or even what is being done in your own project as the organisation M.D
 
bado hudadadavua how M.D yupo mwezi mmoja nyuma, nataka sikia ni mwezi gani huo ambao yupo nyuma.
 
bado hudadadavua how M.D yupo mwezi mmoja nyuma, nataka sikia ni mwezi gani huo ambao yupo nyuma.
Amesema ana facts of the work done until February, whereby anatakiwa kujua what is being done tommorow if you are gonna speak in front of the camera.
 
unajua majukumu ya MD wewe?

hizo mambo unazoongelea zinaishia huko huko field, TANESCO wana mtu wao huko anayeoversee progress, sio MD. Ndio maana kwa MD wataenda report mara moja kwa mwezi au mara moja kwa week.
 
Amesema ana facts of the work done until February, whereby anatakiwa kujua what is being done tommorow if you are gonna speak in front of the camera.
seems hujui organisation structure na distribution ya responsibilities.
 
unajua majukumu ya MD wewe?

hizo mambo unazoongelea zinaishia huko huko field, TANESCO wana mtu wao huko anayeoversee progress, sio MD. Ndio maana kwa MD wataenda report mara moja kwa mwezi au mara moja kwa week.
Note the emphasis ‘supervision matrix’ ndio maana project management module ikafundishwa kwenye business management degrees.

As an M.D unatakiwa kuwa na abc za hayo mambo sio kuropoka tu
 
Mhandisi njaa.Unajifnya unajuuuuuuA !!! Lugha unayotumia kuwasilisha ujumbe imejaa dharau na kibri na hii inakufanya upoteze sifa ya usomi kama ni kweli umeenda shule.Vingine utakuwa umehudhuria shule tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…