Tanzania hakuna meritocracy, viongozi wengi wanafikia hapo kwa Majungu, Fitna na Wizi, hivi huyu Waziri wa tanesco ni nchi gani Dunia hii angeweza kuwa Waziri hata tu a group leader of any project ? Hata Mafiosini wale wanaopanda vyeo siyo kwa ufanisi bali ni Fitna na Majungu.
Huyu Kiongozi wenu hatoshi kabisa na hivyo hata anaowachagua pia hawatoshi ni Fitna, Majungu na Visasi badala ya ufanisi.
Magufuli (RIP) alijaribu angalau kutengeneza meritrocracy alianza kuondoa waliopata kazi kwa vyeti feki, kuteua Wasomi Ma PhD holders kuongoza institutions kaingia huyu hajaona umuhimu katangaza kurudisha kazini walioghushi vyeti, Mafisadi walioiba na kuharibu mashirika kawarudisha wote, walioshiriki kwenye dowans kawateua ma board members wa tanesco watu ambao walikuwa wanashiriki kuibia na kuuwa tanesco wamepewa kuisimamia, pure evil!