How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

Hakuna chochote Brunel Uni, ni ya kawaida sana, sema ulitoka utopoloni ndio ilikutisha...
Halafu wewe uliyepita tu unifundishe maskani yangu kuwa Brunel iko Uxbridge?
Kuna Uxbridge town, Cowley village, Yiewsley village, na West Dryton town,
Brunel Uni haiko Uxbridge, ulikaririshwa mporimpori wewe,
Mkaazi wa maeneo hayo anajua iko Cowley, kwa wageni mnarahisishiwa kuijumuisha na Uxbridge ili msipotee...
Endelea Kula vumbi huku ukiteseka na wajanja wanavyopiga hela kwenye huo mradi wewe unaleta shobo za project management

 
Huwa husomi au kusikiliza road map ya miaka 5? Road map inatengenezwa na Rais?

Useless mind,labda uniambie kwamba wakati wa utekelezaji watu ndio hawaelewi kwa kutoambiwa kwamba tumachofanya huwa kikewekewa dira kwenye mpango na muelekeo wa Nchi kwa miaka 5 na assessment inafanyika hivyo.
 
Sijaangalia video na sijui walichofanya lakini sina Shaka hata kidogo angefanya Jiwe ungekuja ku intellectualise hapa kumtetea.
 
Unakuta mtu ni project manager bachelor degree kasomea business administration ndo tatizo linapoanzia hapo

Project manager anatakiwa awe na background ya engineering
 
Njoo uombe wewe hiyo kazi ya MD ufanye wewe. Haya ndio yale mambo ya mtu kuona kuishi UK tayari ni qualification fulani na kila kitu anajua.
 
The minister's body language speaks of how not sure he is on what he trying to tell!
Just another lie on top of the first lie!

K
Let's keep on watching!
 
work Breakdown structure unayoingolea ni ipi moan kama unalalamika


Project hiyo ilikuwa inafanyika kisela Sasa lazima Work program inayoaandaliwa izingatie mambo mengi na siyo ya kisiasa

Ukiangalia katikati ya mistari Huna hoja ya msingi
 
 
Project Management gain unayoiongelea
 
Inaonekana nimetumia lugha mbovu sana kwenye hii mada inayokwaza wasomaji.

For that I apologise my bad kwa aliekerekwa.

Kuelezea WBS ni mtihani kwa sasa ila much easier to google it on what it entails.?
Mtu ana PMP unamwambia akasome google
 
Ukitaka kwenda Brunel unashuka kituo gani cha karibu kwa train?

Ukipata jibu utajua kipo eneo gani.

Sijasema Brunel ni top University but it among the top on engineering degrees hiyo ndio main specialisations yake, course zingine unaingia kirahisi tu.
 
Bodii nzima ya Tanesco are wrong, including the contractors involved who are willing to accomodate the proposed changes? You just go by the book, like what the Quran tells you what to and not to do?
 
Bodii nzima ya Tanesco are wrong including the contractords involved who are willing to accomodate the proposed changes?
Waziri na mkurugenzi ndio vilaza sijasema TANESCO nzima. Yaani we unakuwa up to date na mradi wako a month after halafu unasema unafanya mambo kisayansi.
 
Waziri na mkurugenzi ndio vilaza sijasema TANESCO nzima. Yaani we unakuwa up to date na mradi wako a month after halafu unasema unafanya mambo kisayansi.
Maamuzi yanafanywa na Tanesco nzima mkuu, bodi yote. Huwezi jua, labda kuna legal clauses kwenye mikataba yao ambayo inawaruhusu Tanesco kufanya mabadiliko yoyote ya project husika «at whim» as you say.
 
work Breakdown structure unayoingolea ni ipi moan kama unalalamika


Project hiyo ilikuwa inafanyika kisela Sasa lazima Work program inayoaandaliwa izingatie mambo mengi na siyo ya kisiasa

Ukiangalia katikati ya mistari Huna hoja ya msingi
Issue ya msingi hapa sio conundrum ya ‘kuku na yai‘ kipi kimetangulia.

Project kubwa kama hiyo inakuwa na management structure yake na system of communication.

Kwa upande wa contractor ukienda egypt head of projects kwenye hiyo kampuni anajua hatua za mradi ulipo probably each week ata kama Tanzania ajafika kuna mechanism za ku update kazi often.
 
Umeleta hili suala hapa, hautaeleweka,.
Haya ni mambo huwa tunajadili kule kwenye platform za professionals LinkedIn.

Hapa utaanza kubishana na wahasibu, walimu, manesi n.k ambao hawajui chochote kuhusiana na Project /Construction Management.
 
Mkuu unaelewa maana ya "White elephant projects"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…