Duh hawa ndiyo viongozi wa Kenya,hawa ndiyo viongozi wetu wa Tanzania watakaoingia nao mikataba ya EAC.Afrika ina laana gani mbona kila siku inazalisha viongozi mafedhuli.Nyerere,Mandela,Nkrumah mbona hawazaliwi tena.
Huu uchaguzi kama umeharibiwa kiasi hiki HAUWEZI tena kurekebishwa!
Kama ukitakiwa kuwa fair inabidi kwanza waliohusika kuuharibu wote wakatazwe kugombea then process ianze upya kabisa...
Mkuu nilionya wiki moja/mbili kabla jirani zetu hawajapiga kura kwamba wawe wangalifu "robot zisije kuwapigia kura" maana yangu ilikuwa ni hii hii iliyokuja kutokea i.e data entry Clerks wanapewa accesss za dbases SERVERS zote na kuingiza madudu yao under Supervisors watch, hivi walikuwa hawajuhi kila event iliyokuwa inatokea inakuwa recorded on servers log na kuwekewa timestamp!! alafu kitu kilicho nifurahisha zaidi ni kile cha server ku-record na MAC Address badala ya kutegemmea IP address ambazo zinaweza kubadirika anytime - MAC address ndio inakujulisha kwa asilimia mia ni laptop/notebook/pc gani/hipi ilitumika ku-upload data kwenye SERVERS.
Walijiamini kupita kiasi, huu ni ushahidi ambao Dunia itawashangaa kweli kweli, kama wanaweza kuwa na ujasiri wa kuweka hidden queries kwenye dbase ya ku-maintain 600K votes lead at all times 4 Kenyatta na kuhakikisha kura zilizo haribika zinaongezeka exponentially actually walikuwa wameweka lengo kura zilizo haribika ziwe close to a million baada ya kumaliza upigaji kura.
Kilicho washtua ni pale Barozi wa Uingereza alipo sema kwamba: katika kujumlisha kura na zile zilizo haribika zitajumuhishwa, jamaa kusikia hilo wakaona lo! Pamoja na ujanja wao kura zilizo haribika zikijumuhiswa hakuna ambaye atavuka 50.01% hivyo itawalazimu wananchi wapige kura kwa mara ya pili - kitu ambacho kundi la kina Rutto walikuwa hawataki kabisa; baada ya kung'amua kwamba haitakuwa simple kuibuka washindi kama watategemea upigaji kura kwa njia ya electronic ndio wakaja na mbinu mpya/mbadala kwa kusingizia kwamba Electronic Voting System ime-crash ghafla hivyo itawalazimu ku-resort 2 manual tallying ambayo walijuwa fika kwamba ni rahisi kwao kuchezea kura na kupunguza idadi ya kura zilizo haribika, kumbuka wakati walipokuwa wanatumia njia ya electronic kura zilizo haribika zilikuwa zinakaribia kufikia 500K, walipo tumia njia ya manual kura zilizo haribika ghafla zikapungua na kuonekana ni 80K kumbuka mwanzo walisema kura zilizo haribika ni 500K, sasa swali - kwa nini walipunguza kura zilizo haribika kwa kiwango kikubwa, jibu ni kwamba walifanya hivyo baada ya kushtukia comment za Barozi wa Uingereza wakaona kura zilizo haribika zikiwa nyingi alafu zikajumuhishwa na kura zilizo pigwa watakosa ushindi - michezo ya kuigiza tu, nafikili hizo ndizo zilikuwa mbinu za wizi wa kura za mwaka 2007. Mimi ndio uchambuzi/maoni yangu, wasilazimishe mambo/ushindi Taifa lao ni la muhimu sana kuliko kuliko watu binasi, binadamu watatoeka lakini Taifa lao litabaki milele wasikubari kugombea/kunyanganyana fito wakati wanajenga nyumba MOJA i.e Taifa la Kenya.
Dah!hii anlysis ni nzuri sana hata kutumika kwenye koti ya juu!!ila naomba ndugu yangu ruttashubanyuma asome hapa kuliko kuwa anajenga hoja za siasa za kusikia kwatu wa mtaani!Mkuu nilionya wiki moja/mbili kabla jirani zetu hawajapiga kura kwamba wawe wangalifu "robot zisije kuwapigia kura" maana yangu ilikuwa ni hii hii iliyokuja kutokea i.e data entry Clerks wanapewa accesss za dbases SERVERS zote na kuingiza madudu yao under Supervisors watch, hivi walikuwa hawajuhi kila event iliyokuwa inatokea inakuwa recorded on servers log na kuwekewa timestamp!! alafu kitu kilicho nifurahisha zaidi ni kile cha server ku-record na MAC Address badala ya kutegemmea IP address ambazo zinaweza kubadirika anytime - MAC address ndio inakujulisha kwa asilimia mia ni laptop/notebook/pc gani/hipi ilitumika ku-upload data kwenye SERVERS.
Walijiamini kupita kiasi, huu ni ushahidi ambao Dunia itawashangaa kweli kweli, kama wanaweza kuwa na ujasiri wa kuweka hidden queries kwenye dbase ya ku-maintain 600K votes lead at all times 4 Kenyatta na kuhakikisha kura zilizo haribika zinaongezeka exponentially actually walikuwa wameweka lengo kura zilizo haribika ziwe close to a million baada ya kumaliza upigaji kura.
Kilicho washtua ni pale Barozi wa Uingereza alipo sema kwamba: katika kujumlisha kura na zile zilizo haribika zitajumuhishwa, jamaa kusikia hilo wakaona lo! Pamoja na ujanja wao kura zilizo haribika zikijumuhiswa hakuna ambaye atavuka 50.01% hivyo itawalazimu wananchi wapige kura kwa mara ya pili - kitu ambacho kundi la kina Rutto walikuwa hawataki kabisa; baada ya kung'amua kwamba haitakuwa simple kuibuka washindi kama watategemea upigaji kura kwa njia ya electronic ndio wakaja na mbinu mpya/mbadala kwa kusingizia kwamba Electronic Voting System ime-crash ghafla hivyo itawalazimu ku-resort 2 manual tallying ambayo walijuwa fika kwamba ni rahisi kwao kuchezea kura na kupunguza idadi ya kura zilizo haribika, kumbuka wakati walipokuwa wanatumia njia ya electronic kura zilizo haribika zilikuwa zinakaribia kufikia 500K, walipo tumia njia ya manual kura zilizo haribika ghafla zikapungua na kuonekana ni 80K kumbuka mwanzo walisema kura zilizo haribika ni 500K, sasa swali - kwa nini walipunguza kura zilizo haribika kwa kiwango kikubwa, jibu ni kwamba walifanya hivyo baada ya kushtukia comment za Barozi wa Uingereza wakaona kura zilizo haribika zikiwa nyingi alafu zikajumuhishwa na kura zilizo pigwa watakosa ushindi - michezo ya kuigiza tu, nafikili hizo ndizo zilikuwa mbinu za wizi wa kura za mwaka 2007. Mimi ndio uchambuzi/maoni yangu, wasilazimishe mambo/ushindi Taifa lao ni la muhimu sana kuliko kuliko watu binasi, binadamu watatoeka lakini Taifa lao litabaki milele wasikubari kugombea/kunyanganyana fito wakati wanajenga nyumba MOJA i.e Taifa la Kenya.
Dah!hii anlysis ni nzuri sana hata kutumika kwenye koti ya juu!!ila naomba ndugu yangu Rutashubanyuma asome hapa kuliko kuwa anajenga hoja za siasa za kusikia kwa watu!Mkuu nilionya wiki moja/mbili kabla jirani zetu hawajapiga kura kwamba wawe wangalifu "robot zisije kuwapigia kura" maana yangu ilikuwa ni hii hii iliyokuja kutokea i.e data entry Clerks wanapewa accesss za dbases SERVERS zote na kuingiza madudu yao under Supervisors watch, hivi walikuwa hawajuhi kila event iliyokuwa inatokea inakuwa recorded on servers log na kuwekewa timestamp!! alafu kitu kilicho nifurahisha zaidi ni kile cha server ku-record na MAC Address badala ya kutegemmea IP address ambazo zinaweza kubadirika anytime - MAC address ndio inakujulisha kwa asilimia mia ni laptop/notebook/pc gani/hipi ilitumika ku-upload data kwenye SERVERS.
Walijiamini kupita kiasi, huu ni ushahidi ambao Dunia itawashangaa kweli kweli, kama wanaweza kuwa na ujasiri wa kuweka hidden queries kwenye dbase ya ku-maintain 600K votes lead at all times 4 Kenyatta na kuhakikisha kura zilizo haribika zinaongezeka exponentially actually walikuwa wameweka lengo kura zilizo haribika ziwe close to a million baada ya kumaliza upigaji kura.
Kilicho washtua ni pale Barozi wa Uingereza alipo sema kwamba: katika kujumlisha kura na zile zilizo haribika zitajumuhishwa, jamaa kusikia hilo wakaona lo! Pamoja na ujanja wao kura zilizo haribika zikijumuhiswa hakuna ambaye atavuka 50.01% hivyo itawalazimu wananchi wapige kura kwa mara ya pili - kitu ambacho kundi la kina Rutto walikuwa hawataki kabisa; baada ya kung'amua kwamba haitakuwa simple kuibuka washindi kama watategemea upigaji kura kwa njia ya electronic ndio wakaja na mbinu mpya/mbadala kwa kusingizia kwamba Electronic Voting System ime-crash ghafla hivyo itawalazimu ku-resort 2 manual tallying ambayo walijuwa fika kwamba ni rahisi kwao kuchezea kura na kupunguza idadi ya kura zilizo haribika, kumbuka wakati walipokuwa wanatumia njia ya electronic kura zilizo haribika zilikuwa zinakaribia kufikia 500K, walipo tumia njia ya manual kura zilizo haribika ghafla zikapungua na kuonekana ni 80K kumbuka mwanzo walisema kura zilizo haribika ni 500K, sasa swali - kwa nini walipunguza kura zilizo haribika kwa kiwango kikubwa, jibu ni kwamba walifanya hivyo baada ya kushtukia comment za Barozi wa Uingereza wakaona kura zilizo haribika zikiwa nyingi alafu zikajumuhishwa na kura zilizo pigwa watakosa ushindi - michezo ya kuigiza tu, nafikili hizo ndizo zilikuwa mbinu za wizi wa kura za mwaka 2007. Mimi ndio uchambuzi/maoni yangu, wasilazimishe mambo/ushindi Taifa lao ni la muhimu sana kuliko kuliko watu binasi, binadamu watatoeka lakini Taifa lao litabaki milele wasikubari kugombea/kunyanganyana fito wakati wanajenga nyumba MOJA i.e Taifa la Kenya.
Hapo kwenye nyekundu nd'o umemaliza mchezo. Ndio maana jamaa wa IEBC wanakataa forensic auditing ifanywe na
pia wamegoma nahizo MAC numbers ambazo CORD tayari wanazo. Kesho mahakamani itakua kazi maana hii ishu tayari
ipo....kwamba clerks wa TNA walikua na access ya data base ya IEBC na walikua na uwezo wa kubadili matokeo
to suit themselves.
Dah!hii anlysis ni nzuri sana hata kutumika kwenye koti ya juu!!ila naomba ndugu yangu Rutashubanyuma asome hapa kuliko kuwa anajenga hoja za siasa za kusikia kwa watu!
Hapo kwenye nyekundu nd'o umemaliza mchezo. Ndio maana jamaa wa IEBC wanakataa forensic auditing ifanywe na
pia wamegoma nahizo MAC numbers ambazo CORD tayari wanazo. Kesho mahakamani itakua kazi maana hii ishu tayari
ipo....kwamba clerks wa TNA walikua na access ya data base ya IEBC na walikua na uwezo wa kubadili matokeo
to suit themselves.
Si kweli hapo juu kuhusu mac address, naomba usitupotoshe hapo, mac address can change at any given time t.
Change (Spoof) Your MAC address in Windows 7 (Wired/Wireless) *READ DESCRIPTION* - YouTube
Sijapoteza mtu maana sie mimi nilieleta hoja...address the person concerned unless you have other issues.
I support what Bukyanagandi said maana lazima kama kulikua na any changes 'digital footprints' will be present
as supportive evidence. That was a the point I was making and the fact that IEBC wamegoma na hizi MAC
addresses.
Dah!hii anlysis ni nzuri sana hata kutumika kwenye koti ya juu!!ila naomba ndugu yangu ruttashubanyuma asome hapa kuliko kuwa anajenga hoja za siasa za kusikia kwatu wa mtaani!
Si kweli hapo juu kuhusu mac address, naomba usitupotoshe hapo, mac address can change at any given time t.
Change (Spoof) Your MAC address in Windows 7 (Wired/Wireless) *READ DESCRIPTION* - YouTube
Ab-Titchaz, Ngongo, mfianchi, Nyani Ngabu, ukwelikitugani, Mekatilili, ZeMarcopolo, Crucial Man,
This is how an election is stolen...and thats why the CORD counsel at the Supreme Court said this system was rigged to fail from the beginning.