How TNA and IEBC conspired to steal the Kenyan Election 2013!!!

Duh hawa ndiyo viongozi wa Kenya,hawa ndiyo viongozi wetu wa Tanzania watakaoingia nao mikataba ya EAC.Afrika ina laana gani mbona kila siku inazalisha viongozi mafedhuli.Nyerere,Mandela,Nkrumah mbona hawazaliwi tena.

Ni Mandela tu mwenye afadhali! hao wengine ni madikteta tu!
 
You could have shown us how they conspired to steal. The way the data are given it is difficult to know how they planned to steal.
 
Huu uchaguzi kama umeharibiwa kiasi hiki HAUWEZI tena kurekebishwa!

Kama ukitakiwa kuwa fair inabidi kwanza waliohusika kuuharibu wote wakatazwe kugombea then process ianze upya kabisa...

Mkuu nilionya wiki moja/mbili kabla jirani zetu hawajapiga kura kwamba wawe wangalifu "robot zisije kuwapigia kura" maana yangu ilikuwa ni hii hii iliyokuja kutokea i.e data entry Clerks wanapewa accesss za dbases SERVERS zote na kuingiza madudu yao under Supervisors watch, hivi walikuwa hawajuhi kila event iliyokuwa inatokea inakuwa recorded on servers log na kuwekewa timestamp!! alafu kitu kilicho nifurahisha zaidi ni kile cha server ku-record na MAC Address badala ya kutegemmea IP address ambazo zinaweza kubadirika anytime - MAC address ndio inakujulisha kwa asilimia mia ni laptop/notebook/pc gani/hipi ilitumika ku-upload data kwenye SERVERS.

Walijiamini kupita kiasi, huu ni ushahidi ambao Dunia itawashangaa kweli kweli, kama wanaweza kuwa na ujasiri wa kuweka hidden queries kwenye dbase ya ku-maintain 600K votes lead at all times 4 Kenyatta na kuhakikisha kura zilizo haribika zinaongezeka exponentially actually walikuwa wameweka lengo kura zilizo haribika ziwe close to a million baada ya kumaliza upigaji kura.

Kilicho washtua ni pale Barozi wa Uingereza alipo sema kwamba: katika kujumlisha kura na zile zilizo haribika zitajumuhishwa, jamaa kusikia hilo wakaona lo! Pamoja na ujanja wao kura zilizo haribika zikijumuhiswa hakuna ambaye atavuka 50.01% hivyo itawalazimu wananchi wapige kura kwa mara ya pili - kitu ambacho kundi la kina Rutto walikuwa hawataki kabisa; baada ya kung'amua kwamba haitakuwa simple kuibuka washindi kama watategemea upigaji kura kwa njia ya electronic ndio wakaja na mbinu mpya/mbadala kwa kusingizia kwamba Electronic Voting System ime-crash ghafla hivyo itawalazimu ku-resort 2 manual tallying ambayo walijuwa fika kwamba ni rahisi kwao kuchezea kura na kupunguza idadi ya kura zilizo haribika, kumbuka wakati walipokuwa wanatumia njia ya electronic kura zilizo haribika zilikuwa zinakaribia kufikia 500K, walipo tumia njia ya manual kura zilizo haribika ghafla zikapungua na kuonekana ni 80K kumbuka mwanzo walisema kura zilizo haribika ni 500K, sasa swali - kwa nini walipunguza kura zilizo haribika kwa kiwango kikubwa, jibu ni kwamba walifanya hivyo baada ya kushtukia comment za Barozi wa Uingereza wakaona kura zilizo haribika zikiwa nyingi alafu zikajumuhishwa na kura zilizo pigwa watakosa ushindi - michezo ya kuigiza tu, nafikili hizo ndizo zilikuwa mbinu za wizi wa kura za mwaka 2007. Mimi ndio uchambuzi/maoni yangu, wasilazimishe mambo/ushindi Taifa lao ni la muhimu sana kuliko kuliko watu binasi, binadamu watatoeka lakini Taifa lao litabaki milele wasikubari kugombea/kunyanganyana fito wakati wanajenga nyumba MOJA i.e Taifa la Kenya.
 
Hapo kwenye nyekundu nd'o umemaliza mchezo. Ndio maana jamaa wa IEBC wanakataa forensic auditing ifanywe na
pia wamegoma nahizo MAC numbers ambazo CORD tayari wanazo. Kesho mahakamani itakua kazi maana hii ishu tayari
ipo....kwamba clerks wa TNA walikua na access ya data base ya IEBC na walikua na uwezo wa kubadili matokeo
to suit themselves.
 
Dah!hii anlysis ni nzuri sana hata kutumika kwenye koti ya juu!!ila naomba ndugu yangu ruttashubanyuma asome hapa kuliko kuwa anajenga hoja za siasa za kusikia kwatu wa mtaani!
 
Last edited by a moderator:

Dah!hii anlysis ni nzuri sana hata kutumika kwenye koti ya juu!!ila naomba ndugu yangu Rutashubanyuma asome hapa kuliko kuwa anajenga hoja za siasa za kusikia kwa watu!
 
SUPREME COURT imeona forensic auditing ina matatizo ya kuchelewesha kesi, maombi yameletwwa yamechelewa mno na CORD wameshindwa kuonyesha ni nani ataifanya, kwa muda upi na kwa mahakama itanufaika vipi.
 
Dah!hii anlysis ni nzuri sana hata kutumika kwenye koti ya juu!!ila naomba ndugu yangu Rutashubanyuma asome hapa kuliko kuwa anajenga hoja za siasa za kusikia kwa watu!

La kunifuarahisha kila nilichoweka humu jamvini kinatokea vivyo hivyo. Utaziita khoja za kisiasa lakini SUPREME COURT ya Kenya inazifanyia kazi na CORD ndiyo wameishia kabisa hawana bao. It is a question of less than three days and all the anguish of waiting will be over. usisahau kuja kuniomba radhi kwenye hili.
 
Huyo jamaa anaonyeshwa anaiingia kwenye server, yeye ameingia je hapo? ni muongo huyu jamaa. Unless yeye ndo alikuwa mfanyakazi wa IEBC ndo anaiingia kwenye comp kirahisi rahisi namna hiyo.

Kama ni hack, hack hawezi login remotely kirahisi namna hiyo.
 
Hapo kwenye nyekundu nd'o umemaliza mchezo. Ndio maana jamaa wa IEBC wanakataa forensic auditing ifanywe na
pia wamegoma nahizo MAC numbers ambazo CORD tayari wanazo. Kesho mahakamani itakua kazi maana hii ishu tayari
ipo....kwamba clerks wa TNA walikua na access ya data base ya IEBC na walikua na uwezo wa kubadili matokeo
to suit themselves.

Si kweli hapo juu kuhusu mac address, naomba usitupotoshe hapo, mac address can change at any given time t.

http://www.youtube.com/watch?annota...&feature=iv&src_vid=01R1KLProuo&v=sfAWXuCfCqI
 
Changing Your MAC Address In Window XP/Vista, Linux And Mac OS X
(Sometimes known as MAC spoofing)

First let me explain a few things about MAC addresses. MAC stands for Media Access Control and in a sense the MAC address is a computer's true name on a LAN. An Ethernet MAC address is a six byte number, usually expressed as a twelve digit hexadecimal number (Example: 1AB4C234AB1F).

IPs are translated to MAC address by a protocol called ARP (Address Resolution Protocol). Let's say a computer with and IP of 192.168.1.1 wants to send information to another computer on the LAN that has an IP of 192.168.1.2 . First 192.168.1.1 will send out a broadcast to all stations on the LAN asking who has the IP 192.168.1.2. Then the box that has 192.168.1.2 will respond to 192.168.1.1 with it's MAC address which is cached in 192.168.1.1's ARP table for later use. To put this in Socratic Dialog form (with just a touch of Stallone):

Host 1 (192.168.1.1): Yo everyone on the LAN (FF:FF:FF:FF:FF:FF), who has the IP 192.168.1.2? My MAC is DE:AD:BE:EF:CA:FE so you can respond back to me.
Host 2 (192.168.1.2): Hello DE:AD:BE:EF:CA:FE, I have IP 192.168.1.2 and my MAC address is 12:34:56:78:90:12 so you can send your IP packets to me.

You can see the ARP table of a box by dropping out to a command prompt and typing "arp –a" in Windows or just "arp" in Linux. ARP can also work the other way by a host on the LAN sending its MAC address to another machine on the LAN for preemptive caching unless the host is configured to not accept un-requested ARP replies.

A person might want to change the MAC address of a NIC for many reasons:

  1. To get past MAC address filtering on a router. Valid MAC addresses can be found by sniffing them and then the deviant user could assume the MAC of a valid host. Having two hosts on the same network can cause some network stability problems, but much of the time it's workable. This is one of the reasons why MIC Address filtering on a wireless router is pointless. An attacker can just sniff the MAC address out of the air while in monitor mode and set his WiFi NIC to use it. Interestingly, a lot of hotels use MAC filtering in their "pay to surf" schemes, so this method can be an instant in for cheap skate road warriors.
  2. Sniffing other connections on the network. By assuming another host's MAC as their own they may receive packets not meant for them. However, ARP poisoning is generally a better method than MAC spoofing to accomplish this task.
  3. So as to keep their burned in MAC address out of IDS and security logs, thus keeping deviant behavior from being connected to their hardware. For example, two of the main things a DHCP server logs when it leases an IP to a client is the MAC address and host name. If you have a wireless router look around on it's web interface for where it logs this info. Luckily there are tools to randomize this information (MadMACs).
  4. To pull off a denial of service attack, for instance assuming the MAC of the gateway to a sub net might cause traffic problems. Also, a lot of WiFi routers will lock up if a client tries to connect with the same MAC as the router's BSSID.
Linux
 
Si kweli hapo juu kuhusu mac address, naomba usitupotoshe hapo, mac address can change at any given time t.

Change (Spoof) Your MAC address in Windows 7 (Wired/Wireless) *READ DESCRIPTION* - YouTube

Sijapoteza mtu maana sie mimi nilieleta hoja...address the person concerned unless you have other issues.
I support what Bukyanagandi said maana lazima kama kulikua na any changes 'digital footprints' will be present
as supportive evidence. That was a the point I was making and the fact that IEBC wamegoma na hizi MAC
addresses.
 
Samahani, quotation iko wrong quoted, plz take my apologies. Mie nilikuwa naaminisha zaidi huyo wa mac address na akaweka as de-facto evidence. I could spoof your mac address na kui-configure comp yangu kwa mac address yako, and thus, mitigation could have been achieved and other light touches get buffered.
 
Dah!hii anlysis ni nzuri sana hata kutumika kwenye koti ya juu!!ila naomba ndugu yangu ruttashubanyuma asome hapa kuliko kuwa anajenga hoja za siasa za kusikia kwatu wa mtaani!

Mkuu Kiiza, Rutta kalabishoma timwikulokolana!!
Rutta mjanja sana atakwambia kwani nani kashika makali - Kibaki au Raila i.e ni kiasi cha jamaa kunyanyua simu na kumbwambia Jaji - Jaji eh! Kesho J'mosi chunga sana hama zako au zetu....
 
Rais wa nchi pamoja na makamu wake wanapoingizwa madarakani na 'TISS' ya Kenya kwa nguvu kiasi hiki matokeo yake nchi hufikia mahala kama hivi Rais Kikwete alivyotufikisha hivi sasa.

Wakenya Mkishangaa ya Uhuru Kenyatta na wizi wa kura kwa kila namna hivi kwa msaada wa 'Jaji Lewis Makame' wenu huko basi hivi karibuni wenzetu mtayaona ya Kikwete yakitanda taifa lenu kila mahala.

Ikulu si pa kukimbilia kwa juhudi za wizi kiasi hiki; asante sana Dr Job kwa kutuletea taarifa hii nyeti ajabu!!!
 
Si kweli hapo juu kuhusu mac address, naomba usitupotoshe hapo, mac address can change at any given time t.

Change (Spoof) Your MAC address in Windows 7 (Wired/Wireless) *READ DESCRIPTION* - YouTube

Mambo mengine bwana!!
Nilikuwa nimekaa kimya kwanza nikisubiri mahamuzi ya mahakama, mkuu labda nikukumbushe kwamba kinacho zungumziwa hapa ni kuhusu kufanya forensic Auditing ili kuweza kubaini ni kitu gani kilifanyika na ni nani au device zipi zilitumika na kwa wakati gani na nani muhusika. Akili za kawaida udhihilisha kwamba binadamu weledi awa-comment kwenye topic mpaka wa-digest ni kitu gani hasa kinazungumziwa na je, mleta hoja anaelewa vizuri anacho zungumzia au la? Tatizo ni kwamba kila binadamu yuko-wired kivyake ndio maana duniani kuna baadhi ya binadamu wana inbuilt traits za ubishi 4 the sake ya ubishi wala uhitaji elimu ya saikolojia ya kumfikia gwiji wa somo la saikolojia one Sigmund Frued kungamua hilo. Ukiona binadamu ambaye hawezi kutofautisha kati ya Physical Adddress na Logical Address alafu anakimbilia kwenye search engines za mtandaoni ku-prove a point, basi watu wenye akili zao wanajua uelewa wa mambo Fulani una walakini including interpretation yake – nasikitika kulisema hilo!! Hivyo mimi na baadhi ya wana JF wenye uwelewa wa kinacho zumgumziwa hapa hilo alikutushangaza sana!

Back 2 the point, Samahani mkuu hivi unayo zungumza hapa umejifunza Chuo gani au unatuletea uliyo copy RAW kutoka URL ya youtube!! – Unapo fikia hatua ya kutumia lugha hisiyo na staha eti mimi ni muongo sijui napotosha watu – unakurupuka tu bila ya kujiuliza hivi huyu mwenzangu anazungumzia MAC Address hipihapaambayo haiwezi kubadirishwa! – je nazungumzia Oringinal Address ambayo hiko hard-coded kwenye hardware au nazungumzia MAC Address ambayo hiko ACTIVE inayo tumiwa na drivers za Operating System na hiko written kwenye Registry KEY (zote hizo i.e OS/Registry Key hives ni software) Active MAC Address ndio inafanikisha clietkujiunga kwenye network – sasa unafikili wataalamu/wapelelezi wenye kujua mambo hawawezi kujua jinsi ya kung’amua Original MAC Address au kung’amua multiple entry za machines zinazotumia the same Active MAC Address ku-gain access to the DataBase Servers, na wakaweza ku-reset spoofed MAC Address ili waweze kung’amua a default i.e Original MAC Adddress ??

Narudia kusema kwamba mimi nilikuwa nazungumzia Oringinal MAC Address ambayo wapelezi ndio wanakuwa na interest nayo, hiyo ndio inatambulisha kwa asili mia machine/devices zipi zilifungwa kwenye network, uwezi repeateuwezi kubadirisha Original MAC Adddress ambayo hiko hard-coded kwenye NI controller ili eti usikamatwe/poteza ushahidi, salama yako labda ubadilishe network card kwenye PC au kuondoa motherboard yote kwenye laptop/notebook/Tablet na kuweka nyingine kutokana na Network Interface Controller kuwa hiko inbuilt kwenye motherboards za vifaa hivyo tajwa.

Labda nikufahamishe kitu - wengine humu atuzungumzi vitu kwa kubahatisha/kubabaisha naweza kuwa nimeandika in a watered down/lay language lakini hii haina maana kuwa sielewi ninacho zungumza - Je, umejaribu hata kujiuliza kwa nini IEBC walikataa forensic auditing ifanyike na pia waligoma na hizo MAC numbers ambazo CORD walikuwa tayari wanazo!! Wewe hiyo ya jamaa wa IEBC kukatalia kutoa vizibitisho hivyo muhimu ilikupa picha gani? Kwamba CORD ni mbumbumbu hawana akili za kutofautisha kati ya Active MAC address na Original MAC Address?? Kama IEBC wangekuwa na MAC Address kama za kwako ambazo una advocate humu, wakafanya makosa ya kupeleka vilap top vyao na MAC Address za kuchonga hapo ndipo wangeahibishwa na kukamatwa kiulaini, revisit paragraph ya pili kuhusu multiple entry kwa kutumia same MAC Address to gain access to the Database SERVERS, Hivi IEBC ingekuwa na ulazima gani wa kutumia Mashine nyingi zenye MAC Address moja ili zipate access kwenye SERVERS wakati ma Supervisors wao na Data entry Clerks tayari walikuwa na privilege za ku-access SERVERS na kubadirisha watakacho any time bila ya Supervisors wao ku-check data integrity.

Hivi inaingia akilini kweli kwamba IEBC wangeweza kufanya mambo ambayo yangeacha digital fingerprint zenye MAC Addresses Tables kwenye Routers/Gateway/computers i.e Tables zilizo kuwa populated kutokana na handshake za nodes zote zilizofungwa kwenye Domain moja lakini sites tofauti? table hizo zingeonyesha vile vile spoofed Active MAC Address, isitoshe matumizi ya (spoofed) Active MAC Address moja kwenye multiple computers/devices kwa ajili ya kufanikisha access kwenye Database Servers ingeonekana that is MATUKIO/event kama hizo zingeonekana kwenye log ya SERVERS na kuwekewa timestamp. Kwa kifupi IEBC hisingeweza kufanya uharifu wa kuja kukamatwa kirahisi. Swala zima wamehamua lihishe kistaarabu ili wadumishe amani lakini siyo kwamba CORD walishindwa kuwabana au kuwa shirikisha wataalamu walio bobea katika fani ya IT ambao wangewatoa WENZAO kamasi.
 
Unfortunately hiyo imeshatoka. Labda asubiri tena baada ya miaka mitano kama atakuwa bado ana ubavu.

Kenya wana Katiba na infrastructure nzuri sana kuliko Tanzania, lakini sasa hebu ona kuwa pamoja na yote hayo, bado wanafanya mambo ya aina hii. Inaonyesha kuwa katiba nzuri peke yake bila kusafisha mfumo wa utendaji kazi havitoshi kabisa katika kuwa na utawala wa kidemokrasia. Ni somo ambalo nadhani inabidi watanzania, hasa wale wa vyama vya upinzani waliangalie kwa makini sana. Bado tunahitaji kujijengea utaratibu mzuri wa kupiga na kuhesabu kura, vinginevyo tutaendelea kuwa tunatawaliwa na watu tusiowataka, mradi tu eti kwa vile walitangulia kuwapo madarakani.
 
Ab-Titchaz, Ngongo, mfianchi, Nyani Ngabu, ukwelikitugani, Mekatilili, ZeMarcopolo, Crucial Man,

This is how an election is stolen...and thats why the CORD counsel at the Supreme Court said this system was rigged to fail from the beginning.

I will hate to go back,,,to these things,,for they are now,,,part of Kenyas history.

But we have a country,,,this one which belongs to all of us.

In Kenya,,,everything has to have been caused by something or somebody.

But there is some tool,,,a god given one,,,free of charge called,,,common sense.

It is up on you,,,to make good use of it.

If one tells you that,,,,someone was flying in air,,,as a human being,,you are ought to
ask,,,,,how????????in capitals.

That is,,common sense at work,,,,upgraded one.

If you tell me that IEBC partnered with TNA to steal victory,,,as a Kenyan,,one
who lives and follows what happens in Kenya,,,then i'm left with so much,,,,,,
asking myself,,,,why and how.

The same IEBC,,, whose chairman,,,Mr Issac Hasan,,,the same man who went
through so many fires and waters to become the chairman,,,,,the same man who was
vetted in public in the glare of everybody ,,,,,the same man who was supported
by mostly the ODM people as the right person to head the IEBC,,,that
he had overseen some by-elections before and was seen as an angel, then,, to
become a devil,,,all of a sudden???????????

Some serious human being should tell us why he changed before telling us what
he did.

If you tell me that Kivuitu,,,the late chairman who was in charge of the 2007
elections,,,,that he was under the government directions,,,then,,,i will tell
you that it might have happened for a simple reason,,,,, that Kivuitu was
picked and appointed by the president.

But this time round,,,this is not the case.

Things are so different that many of us seems to have been overtaken by events
that we see,,,the old ways.

Tell me that TNA gave so much money so that Hasan could make their way into
government,,,,i will tell you that Hassan's salary is so large and that he is
not that poor.

Is it because of tribalism,,,,,he he he he,,,,,he is not a Kikuyu nor Kalenjin,,but
of Somali origin.

So why does he have to go out of his way and become the same Kenyan problem
instead of a solution???????????

Can someone tell us this before telling us what he did.

And,,,,,, what about the supreme court of Kenya's verdict???????

That the election were conducted freely and fairly,,,what about them?????

Were they,,,,equally compromised just as the IEBC was,,,,for them
to come to this verdict????????

We have to have a standard,,,,for all of us,,,,of seeing things the same
ways,,,,simply,,,,,, because we live in the same times.

Times when we made things out of nothing is all gone.

I had a hard time,,,,convincing my jubilee comrades,,,that
justice Mutunga was beyond tribalism and that he was
going to be fair,,,together with the other judges who went
through many waters before reaching where they are.

Many were of the thought that,,,because Mutunga was a
Mkamba just the vice president,,,,the running mate for
Raila,,,,,that he was going to go the CORDS ways.

But it never happened,,,,for cord had nothing to show
but doing the usual thing,,,maintaining the tradition of
crying foul when things goes wrong,,,,

This tradition will have to be killed and buried,,,,,,,, kwa
kaburi bila msalaba.

Shape up or be shaped out.
 
Ab-Titchaz, Ngongo, mfianchi, Nyani Ngabu, ukwelikitugani, Mekatilili, ZeMarcopolo, Crucial Man,

This is how an election is stolen...and thats why the CORD counsel at the Supreme Court said this system was rigged to fail from the beginning.

Mimi NENO langu kwa ndugu zetu wa KENYA ninataka wajue kwamba kama wameshiriki kubadilisha kura za mtu fulani kwa maslahi ya mtu fulani au kutumiwa kuiba kura kwa ajili ya kumnufaisha mtu fulani na ushindi huo si kwa maslahi ya WAKENYA kama walivyochagua basi wajue kwamba siku moja watajibu ikiwa ni hapa hapa duniani au siku ya mwisho dunia itakapokwisha na YESU atakapokuja kuchukuwa wateule wake wao nao watatoa majibu kwa walichofanya.

Hata hivyo siku hizi majibu hayakawii hapa duniani. Watalipwa na Mungu sawa sawa.
Uhuru Kenyatta na William Rutto wamefanya kila kilichowezekana ili wakwepe kwenda kwenye case inayowakabili ,Mahakamni lakini Mungu ndye ajajuwa yote juu ya hatma yao. Wao kwa sasa wameshinda na hawatakwenda Mahakami ulaya lakini kuna Mhukumu wa haki anawaona na atashughulika jinsi ajuavyo.

Mungu wabariki ndugu zetu wajuwe kwamba wamehangaikia sana mambo ya dunia hii ambayo yanapita lakini HAKI na KWELI vitadumu milele.
Asanteni
 
Back
Top Bottom