HOW TO DUMP SOMEONE ''after having committed myself into serious relationship''

it hurts me telling sm1 ''IT'S OVER''-(...hata kama ni kazi za nje)
 
Jamani si kijana katoka kuoa juzijuzi hapa??
Sasa mbona hali imekuwa hivi?
Au alikuwa anadhani ndoa ni majaribio?
AU UNA MAPAMBANO MENGINE YA NJE??
 
Kumbe wengi wapo wanaoteseka na hili jambo... kweli huwa inakera kama sio kuudhi pale unapomweleza mtu halafu anakufanyia visa ilimradi akuharibie kwa makusudi
 
Inakera zaidi unapom'delete' toka phonebook, addressbook lakini kichwa kinakataa kufuta info zake.
 
Jamani nyie kumbe mko group kubwa kiasi hii mna maswahiba mazito hivo ..mbona mnapenda kuvunja mioyo ya wenzenu ..
ingekuwa ndo mnafanyiwa nyie mngejisikiaje ????
sijui na mie nipo humu???😕
 
considering the fact kwamba i am now SERIOUSLY committed myself to me,my life,my family and i

can someone please give me tips on HOW TO DUMP A GUY(external works).......?!

ahsanteni sana

WELCOME TO JF PHASE II

Even if you didn't put things very clear, you may follow these steps:

1. If you are dumping him parmanently, then do as this;

a) Face your intended choice (expected boyfriend); if any, and in a honesty way, tell him all about your affair with the guy; for how long you being in a ralation, reason(s) for loving & then dumping him, what you did & didn't with the guy, what did you learned from him etc.

b) Do not intertain bagaining with a guy you are dumping, just decide and never think back.

c) Stop a close friendship with his relatives and other friends, especially those who knew your relationship.

d) Completely delete him and his contacts from your facebook, and never notify him of any change on yours.

BUT:

2. If you you are dumping him temporarily, just thinking to get him back later (sometimes):

a) Do not let any body know about the issue

b) Sit down with him and just have a discussion on this, with genuine reasons for that

c) Maintain honesty communication with him until the time you get back again.

However, in a real situation, this is not an issue to discuss provided you are serious. The way you get into a relationship, is the same way you can get out, unless you are cheater......!
 
Hapa unafutwa ushauri za kutoumiza wale tulijikomit kwao! FL How can someone be dumped conviently?
 
Even if you didn't put things very clear, you may follow these steps:

BUT:

2. If you you are dumping him temporarily, just thinking to get him back later (sometimes):

a) Do not let any body know about the issue

b) Sit down with him and just have a discussion on this, with genuine reasons for that

c) Maintain honesty communication with him until the time you get back again.

However, in a real situation, this is not an issue to discuss provided you are serious. The way you get into a relationship, is the same way you can get out, unless you are cheater......!

Ok,mhhh! Now I understand!
Kweli kuishi ni kujifunza. G, kabla ya yote jaribu kufikiria unataka ku-dump permanerntly au kuji-brekisha ufurahie ndoa kisha urudi tena kwake baadae. maana cheatings nyingi sana zinakuwa na ma-ex!

Jamani nyie kumbe mko group kubwa kiasi hii mna maswahiba mazito hivo ..mbona mnapenda kuvunja mioyo ya wenzenu ..
ingekuwa ndo mnafanyiwa nyie mngejisikiaje ????
sijui na mie nipo humu???😕

Kwani hii picha ni yako?
 
Jamani si kijana katoka kuoa juzijuzi hapa??
Sasa mbona hali imekuwa hivi?
Au alikuwa anadhani ndoa ni majaribio?
AU UNA MAPAMBANO MENGINE YA NJE??
hujaelewa mada kaka!hata hawa hapa wanajua kuwa nimeoa juzi,lakini angalia michango yao:

Kumbe wengi wapo wanaoteseka na hili jambo... kweli huwa inakera kama sio kuudhi pale unapomweleza mtu halafu anakufanyia visa ilimradi akuharibie kwa makusudi

Inakera zaidi unapom'delete' toka phonebook, addressbook lakini kichwa kinakataa kufuta info zake.

Jamani nyie kumbe mko group kubwa kiasi hii mna maswahiba mazito hivo ..mbona mnapenda kuvunja mioyo ya wenzenu ..
ingekuwa ndo mnafanyiwa nyie mngejisikiaje ????
sijui na mie nipo humu???😕

Even if you didn't put things very clear, you may follow these steps:

1. If you are dumping him parmanently, then do as this;

a) Face your intended choice (expected boyfriend); if any, and in a honesty way, tell him all about your affair with the guy; for how long you being in a ralation, reason(s) for loving & then dumping him, what you did & didn't with the guy, what did you learned from him etc.

b) Do not intertain bagaining with a guy you are dumping, just decide and never think back.

c) Stop a close friendship with his relatives and other friends, especially those who knew your relationship.

d) Completely delete him and his contacts from your facebook, and never notify him of any change on yours.

BUT:

2. If you you are dumping him temporarily, just thinking to get him back later (sometimes):

a) Do not let any body know about the issue

b) Sit down with him and just have a discussion on this, with genuine reasons for that

c) Maintain honesty communication with him until the time you get back again.

However, in a real situation, this is not an issue to discuss provided you are serious. The way you get into a relationship, is the same way you can get out, unless you are cheater......!

I cant help on this!!
 
considering the fact kwamba i am now SERIOUSLY committed myself to me,my life,my family and i

can someone please give me tips on HOW TO DUMP A GUY(external works).......?!

ahsanteni sana

WELCOME TO JF PHASE II

Geoff, please clarify because ia m somehow lost... unataka ku-dump a guy? he!!

tafadhali fafanua, kisha washa tukutuku hadi pale RG uchape super rose kwa bili yangu
 
it hurts me telling sm1 ''IT'S OVER''-(...hata kama ni kazi za nje)
kutokana na messages zako za "more ethical" siwezi amini kwamba ulikua na accessories
 
considering the fact kwamba i am now SERIOUSLY committed myself to me,my life,my family and i

can someone please give me tips on HOW TO DUMP A GUY(external works).......?!

ahsanteni sana

WELCOME TO JF PHASE II

icon1.gif
Re: Break up

quote_icon.png
Originally Posted by Ngalikihinja
Did you say goodbye...??? Huyo kakuweka akiba kama tuwekavyo pesa benki halafu akikutaka tena hakuchukulii dirishani bali anakutolea kwenye ATM........... na amini usiamini UTAKUBALI TUUUU..............

GEOFF IS MARRIED!no way
quote_icon.png
Originally Posted by Charity

Heee! tena?😕 no komenti!

ONCE UPON A TIME!....if you can read btn the line....
AGAIN,GEOFF IS MARRIED

Vipi mkuu ni ile akiba uliyoambiwa nini, .....kakutolea kwenye ATM ndio unataka kumtosa! all the best
 
Lah we umeyataka mwenyewe ndugu. Kama vipi we komaa naye tu hana madhala huyo, madhala utayasababisha wewe mwenyewe!!
 
Kwanza nianze kwa kusema hii ndio thread ya kwanza kuchangia toka JF mpya ianze. Nawapongeza sana sana makambanda wote wa JF. Hongereni kwa kazi nzuri.

JF imekuwa ya ukweli ukweli na inatisha.

Mwisho Kamanda Geoff, sijakuelewa hapa kwenye thread yako mkubwa. Kwanini ummwage huyo wa kitambo?
 
Geoff, please clarify because ia m somehow lost... unataka ku-dump a guy? he!!

tafadhali fafanua, kisha washa tukutuku hadi pale RG uchape super rose kwa bili yangu
hehehe!mpwa bana....lakini hiyo offa hiyo nadhani itabidi IJIRUDIE

kutokana na messages zako za "more ethical" siwezi amini kwamba ulikua na accessories
MKUU HAPA maadili ndo nyumbani kwake....
 
Kwanza nianze kwa kusema hii ndio thread ya kwanza kuchangia toka JF mpya ianze. Nawapongeza sana sana makambanda wote wa JF. Hongereni kwa kazi nzuri.

JF imekuwa ya ukweli ukweli na inatisha.

Mwisho Kamanda Geoff, sijakuelewa hapa kwenye thread yako mkubwa. Kwanini ummwage huyo wa kitambo?
hehehehe!niendelee nae eeh!haya bana....NOTED
 
Back
Top Bottom