Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ukizingatia nimesahau mawani yangu. Nabata ushungu balahi!hahahaha yaani Binamu mie naumwa kichwa kila nikiingia labda baadae tutazoea haya maisha wajua mwanzo mgumu
Hili sijui kama ntalizoea na haya mahangover yangu. Tusubiri tuone.