McDeedanny
Member
- Apr 14, 2013
- 56
- 7
Nawasalimu ndugu zangu nkiamini ni wazima wa Afya,Mimi ni mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza chuoni ni nimekumbana na hii hali ya kwenda kujitaftutia NOTES pekee yako,sasa Ma Leturer wamekuwa wakitupa vitini vyenye reffernce ya vitabu tofauti sasa kuachana na library Je kwenye Internet ni mamna gani naweza kupata vitabu kupitia internet,nauliza kwasababu nshajaribu kutafuta kwenye google na sehemu nyngne ila skuelewa chakufanya.nawakilisha wandugu