How to find a text book on internet?

How to find a text book on internet?

McDeedanny

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
56
Reaction score
7
Nawasalimu ndugu zangu nkiamini ni wazima wa Afya,Mimi ni mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza chuoni ni nimekumbana na hii hali ya kwenda kujitaftutia NOTES pekee yako,sasa Ma Leturer wamekuwa wakitupa vitini vyenye reffernce ya vitabu tofauti sasa kuachana na library Je kwenye Internet ni mamna gani naweza kupata vitabu kupitia internet,nauliza kwasababu nshajaribu kutafuta kwenye google na sehemu nyngne ila skuelewa chakufanya.nawakilisha wandugu
 
Mie huwa nna andika jina la kitabu na mwishoni nnamalizia na neno pdf.

Mfano " genetics pdf"
baada ya hapo nnakifungua/kudownload.
 
Vitabu vingi sana nimedownload kupitia torrent websites. Its very simple... Download torrent program kama bittorrent, utorrent au tixati. Then search for the books through the torrent program and download. Mfano inaweza ikakupeleka kickass.com ukaona book unayotaka kudownload u click the upside down U sign/magnet symbol n then download inaanza. For optimum download speed no of seeders should be equal to or exceed leechers. Ukiwa bado unadownload wewe ni leecher... Ukimaliza unakua ni seeder unless u turn it off. Ni ustaarabu kuendelea kuseed ili wenzio nao waweze kudownload kirahisi.
 
Mimi hua nahisi suala la vitabu ni kununua, yani vinavyopatikana online ni vichache labda uwe umejiumga kwenye library zao kuna malipo unalipa kisha unaweza soma vitabu mbalimbali kwa muda ambao umelipia huduma hiyo.
 
Mimi hua nahisi suala la vitabu ni kununua, yani vinavyopatikana online ni vichache labda uwe umejiumga kwenye library zao kuna malipo unalipa kisha unaweza soma vitabu mbalimbali kwa muda ambao umelipia huduma hiyo.


Kuna vitu vizuri kwenye Internet ambavyo mtu anaweza asivigundue maisha yake yote japo vipo.
Kuna wakati naweza kuwa na title ya kitabu au CBT video nisiipate online. Halafu baada ya muda nagundua chanzo kipya na kupata nilichokuwa nakitafuta kwa miezi.

Chanzo kipya cha vitabu nilichokibamba karibuni: en.bookfi.org
Kuna posti nimeweka hapa ukitaka vyanzo vingine.
 
search hizo web kwe google bookzz,bookfi then andika jina la kitabu unachtaka kwe ile sehem ya kusearch
 
Back
Top Bottom