how to heal from a breaking relationship?

Ndo maana yake.

Then ujifunze kuwa sisi wanaume ni mabazazi kwenye mapenzi. Asilimia 90 ya tunayowaambia ni uongo, na malengo yetu ni kumega tunda. Unless mwanaume amekuoa, tena kwa heshima zote na kukuweka ndani, na kukuheshimu kama mkewe, then usimwamini mwanaume yeyote, kama sisi tusivyowaamini nyie...
 

but Kaunga my dearest likishatokea what will you do? are you going to die out of hypertension just because of love? we need to trust ourselves madame. tujitambue kisha tukubaliane na matokeo na kuamini tunachokiface. mm sidhani kama kuna sababu ya kuendelea sana kuumia asababu ya penzi ambalo tayari limeshavunjika?
 
Last edited by a moderator:

Unajua siku izi hata madada poa nao wanaekt kuwa wanapenda kwa hisia. So ni ngumu kutofautisha kama hisia anazoonyesha mdada ni za kweli au anaekt tu. Na jingine ni kuwa 85% ya wanawake wanapenda ela za wanaume, sio wanaume wenyewe...
 
Tupo pamoja...
true love ni mwanao na wazazi wako, mwingine yeyote ni kujidanganya.

Akikuletea za kuleta anza mbele kabla hajakuprovoke akuburuze kwa gari kama Nasra hadi ufe.

lakini sasa kwenye mausianano hata ya wapenzi yapo ya kweli kabisa ila inategemeana tu na mnapendana kwa vipi.
 
Ukiona umeshindwa kabisa kuvumilia bi gfsonwin, Kaunga KOKUTONA, Freema Agyeman Yummy, cacico, BADILI TABIA, Catherine Roulette na ndugu zangu platozoom Kaizer Erickb52 Mtambuzi na Bishanga basi fanya maamuzi magumu ya kihehe. Lakini usisahau kumuaga aliyekumwaga ili maamuzi yako naye yamuumize kama alivyokuumiza.

 
Last edited by a moderator:

Unaongelea hao walioowa na unawasifia? Hao ndo mabazazi kabisa tena hawaeshimu ndoa zao, wana nyumba ndogo full then ni wasumbufu sana sana.
 
Unajua siku izi hata madada poa nao wanaekt kuwa wanapenda kwa hisia. So ni ngumu kutofautisha kama hisia anazoonyesha mdada ni za kweli au anaekt tu. Na jingine ni kuwa 85% ya wanawake wanapenda ela za wanaume, sio wanaume wenyewe...

kwangu mimi Tuko nimejifunza kupenda kuzuri ni kupenda kiuhalisia kwa kutumia akili na wala siyo moyo. hebu jiulize moyo huwa mnyonge siku zote na daima hujenga chumba ama wodi ya maumivu nafsini lakini ukipenda kwa akili basi itachukulia kama changamoto na kukutafutia alternative.
 
Last edited by a moderator:
lakini sasa kwenye mausianano hata ya wapenzi yapo ya kweli kabisa ila inategemeana tu na mnapendana kwa vipi.

hakuna kitu kama mapenzi ya kweli kati wa wapenzi; mapenzi yote yako kwa sababu kwa mfano, haja za kimwili, kupata watoto na familia, kulea, heshima kijamii, pesa na mali, urembo wa sura na tabia. Hebu jiulize mapenzi ya kweli nini, na kama yapo mbona watu wanaachana?

Wangapi umeona wamependa hadi wakabadilisha majina lakini mwisho wa siku wanagombana na kuachana kwa chuki kabisa.

Mapenzi ya kweli ni toka kwa aliyekuzaa na uliyemzaa tu; hata mkigombana vipi hakuna kuachana.
 
Kweli kabisa....
 
platozoom hii like ni kwamba umeiseti kila post ya Asprin uigonge? hapa mimi naomba kitufe cha dislike mnake ni ushauri mbaya kabisa.

kujeruhiwa doesn,t mean end of life wala hakubadilisha ukweli kwamba wewe ni mwanadamu, and so far maisha hayaja maaanishwa kwa wale ambao hawajajeruhiwa bana maisha ni kwa wote the ishu here is struggle utoke ulipo.
 
Last edited by a moderator:
Unaongelea hao walioowa na unawasifia? Hao ndo mabazazi kabisa tena hawaeshimu ndoa zao, wana nyumba ndogo full then ni wasumbufu sana sana.

Wakati naandika post yangu, nilipoandika ..."na kukuheshimu kama mkewe"... ilikuwa nimeandika pia ..."na anaiheshimu ndoa yake"... Then Nilidelete kipengele cha kuheshimu ndoa, maana hapo pagumu. Tuishie tu kuwa anakuheshimu kama mkewe... usijali ana nyumba ndogo ngapi, but anakuheshimu...
 

lakini ma dearest kwani hata wale ambao wanakufa wakiwa kwenye ndoa do you want to tell me kwamba wao walikuwa hawapendani? ama je walijilazimisha kuendelea kuish ama walipendana kwa uhalisia? sitaki kuamini kwamba bado kuna watu ambao hawataki kuamni kuna mapenzi ya kweli.
 


There you are....

Kuhusu mapenzi ya kweli, hakuna kitu kama hicho toka kwa mtoto wa mwenzio na habari ndio hiyo
 

Ni kweli kabisa mdada. Kiuhalisia ni kuwa kupenda kunaambatana na nguvu kubwa sana ya hisia (moyo). Na hapo ndipo mtu uwe makini, ujifunze kuishinda hiyo hisia (moyo). Maana ukijifanya we mtaalamu wa kuendekeza hisia katika mapenzi, kwanza unakaribisha hali ya kuchokwa na kudharauliwa na mwenza wako, pili unajiweka katika risk kubwa sana ya kuumia vibaya siku ukitendwa.
 
Acha wivu nenda kagonge LIKE pale..... Usikompliketi sana maisha bana! Maisha ni mafupi enjoy!!

 
The thing is, huchagui kuumia lkn it happens. Na msisitizo wangu, ni kuwa hakuna formular ya kuheal kikubwa ni kujitambua, kuukubali ukweli japo ni mchungu sana na kumove on; how do u move on it depends na mtu na mtu.

Asprin needs some alcohol, some need to be reassured kuwa wanathamani (kwa kuanza mahusiano mapya), some need to reflect (time) etc. N to me better way ni ile inayowork kwako.
 
Kweli kabisa....

hiyo mbona yaweza kuvumilika hata kama ni mwenzi wako? kwani CT akifanya haya utamfunganisha na virago? tena nikwambie siku hizi wanawake tumeamka aisee labda kwa winch nyumbani kwetu hatung'oki ng'o? yani ndani nshaingia atoke huyu anayetaka but mm kabisaaa ndani sitoki aisee.
 

now you have said it clear ma dear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…