how to heal from a breaking relationship?


Kama mbwai mbwai.......au sio Asprin
 
Last edited by a moderator:
Matokeo utayaadmit, lakini kwa wengine kumuondoa mtu moyoni is a big issue. Watu wanapenda bwana 100% in love, yeye hajiachii hata % moja.

Kwa hali hiyo lazima aje ateseke sana. Kwenye mapenzi jipe 50% na yeye mpe 50% ili ukiachwa uone kawaida.

my dia tatizo wengne tukipenda tunajitoa mwili,akili na damu. hapo ndipo huwa pananigharimu. wat can i do jamani?
 
Acha wivu nenda kagonge LIKE pale..... Usikompliketi sana maisha bana! Maisha ni mafupi enjoy!!


Mate yanachezacheza kumdomo.........that is fantastic kwa kweli .....Pamoja saana (source AshaDii)
 
Last edited by a moderator:
my dia tatizo wengne tukipenda tunajitoa mwili,akili na damu. hapo ndipo huwa pananigharimu. wat can i do jamani?

Ndo maana nakwambia take 50 na mpe 50. Mimi nimejifunza hilo kutokana na kutendwa.
 
gfsonwin,hapo kwa red yaani natamani ungekua unaniona jinsi nilivyoshikwa na hasira ya gafulaaa.......daah basi tu aiseee
Tatizo la upande wa pili yaani kwa lugha ingine wanaume hawajui urafiki wa kampani tuuuu wao muda wote wanawaza dudu!!!!! Hata kama wewe utaonyesha huna mpango wa kuwa nae kimapenzi lakini yeye atafanya kila jitihada aende kusiko.....hapo ndio ninapoishia kuwa na utata kwa kila mwanaume ninae kutana nae loooh

Natafuta rafiki wa kiume wa company tuuuuu......hahahaaaa uwiiiiii nafwaaaaa
 
Last edited by a moderator:
SEPARATION is a WOUND that no one can HEAL!
NO Smile watu wangekufa wengi THERE IS MUCH TIME TO START AFREASH BELIVE NOT.usije ukawa na wewe unang'anga'nia ukisema separation is a wound kama yule dada aliyeburutwa kwenye lami sikio likaisha lote na mgongo ukachubuka mpaka unauona uti wa mgongo ati .
 
Last edited by a moderator:
my dia tatizo wengne tukipenda tunajitoa mwili,akili na damu. hapo ndipo huwa pananigharimu. wat can i do jamani?
charminglady hebu kuwa mtu mzima ma dia, stop loving kwa kutumia moyo tumia akili yako bana. mbona life is simple? chumba cha moyoni reserve it for your kids jamani mweke mwenzio akilini mwako so jifunze kuangalia weakness zake zi admit zikague kama waweza kuzihimili if you cant usiumize akili if you can just proceed na upatapo baya ona kabisa kwamba hili nililitegemea kwamba laweza kutokea how should i go about it is another thing.

yaani kweli sijui mimi nimeumbwa watofauti ama?
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaha! Wife bana....haiwezekaniki eh? Labda uwe rafiki ya baba yako asee, maana hata makaka hatutabiriki LOL. Hata mie nakuunga mkono.

 

lol! vaa sura ya kaazi aisee mimi huwa nina marafiki wa kiume ambao tumeshibana sana kiasi kwamba they cannt propose anything to me ila kwenda tu brajec kunywa mvinyo, nikiwa na shosti wangu cacico hawa ndo kazi yao and we are happy sana tu. tena ni sehem nzuri san ya kurelease tension manake wakaka wanastori na matani sana.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! Wife bana....haiwezekaniki eh? Labda uwe rafiki ya baba yako asee, maana hata makaka hatutabiriki LOL. Hata mie nakuunga mkono.


kumbe wewe ndo uliyemmimbaga huyu mwanafunzi wangu eeh! nishakustukia Asprin yaani kova na vijana wake lazima wakuijilie sasa hivi
 
Last edited by a moderator:
mamie gfsonwin inabidi uniazime moyo wako kwa muda. kila cku niwe nachota maujuzi. btw jf imenisaidia sana nwdays. . . naishukuru saaaana!
 
Last edited by a moderator:
nafikiri kwangu yatosha hiyo suluhisho ni jinsi moyo ulivyolipokea jambo wengine hunywa bia zakutosha na mbuzi choma kazi imeisha pakikucha anatafuta pakuanzia wanawake ndio wagumu kukubali wanalia weeeeeee nakubembeleza ambayo haisaidii unapoteza nguvu na vicha.wacha mawasiliano naye nyamaza kimya move on
 

Shosti najitahidi kuweka sura ya mbuzi haswaaaa lakini waaaapi.......hebu nipe maujanja walau. Si kwamba sina washkaji wanaume ninao watoka enzi hizo wengi tu na matani ya hapa na pale ila wanajua kabisa hawapati kitu. Tatizo ni hawa wapya ambao tunakuta ukubwani ndugu yangu,ndo mgogoro mtupuuuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…