Even i dont saw it
SnowBall yaani huyu Asprin na platozoom hawa itabidi niwatafutie clab ya michezo wakaondolee stress zao huko. manake hapa siwaelewi kabisa.Pole gfsonwin naona uzi umekwenda mrama!..
Back to ze topiki..kama alivyosema dadaangu Kaunga inategemea na Mmeachanaje?..Kuna break ups zengine kwa kweli zinahitaji 'rehabilitation' kabisa kwa sabb mnaachana ni a way ambayo akili inakuwa imechoka to the maximum..But all in all TIME IS BEST HEALER..Dont ever jump into another relationship b4 mind yako haijawa settled..ni muda gani ukae?..it depends na tragedy iliyokukuta!
Bado sitaki kuamini kama kuna formula ambayo inaweza kuwa universally applied kwa wahanga wa mapenzi ili ku'resume' maisha yao tena...Uzoefu wangu unaniambia kuwa 'unapokuwa kwenye stress za mapenzi including break ups..please don't ever live in isolation'...because isolation is the sister to loneliness which are the mothers to suicides!
ninakuambia inasaidia sana bunafsi nimecheka hivi hujawahi kuona mfano:mama alikimbiwa na baba au alipewa mimba akakataliwa ila anamjua baba watoto wanamuuliza baba yetu nani anawaambia alishakufa!!! kha ilhali anakatisha hapo mtaani kila siku?inasaidia kuondoa matarajio ya kitu maana kitu kikishakufa u have to forget about it gfsonwinkhaa! hii ya kwako nivea ni kiboko
SnowBall hivi sikuile ilikuwaje tenaBado sitaki kuamini kama kuna formula ambayo inaweza kuwa universally applied kwa wahanga wa mapenzi ili ku'resume' maisha yao tena...Uzoefu wangu unaniambia kuwa 'unapokuwa kwenye stress za mapenzi including break ups..please don't ever live in isolation'...because isolation is the sister to loneliness which are the mothers to suicides!
utaishia kubakwa kila sikugfsonwin,hapo kwa red yaani natamani ungekua unaniona jinsi nilivyoshikwa na hasira ya gafulaaa.......daah basi tu aiseee
Tatizo la upande wa pili yaani kwa lugha ingine wanaume hawajui urafiki wa kampani tuuuu wao muda wote wanawaza dudu!!!!! Hata kama wewe utaonyesha huna mpango wa kuwa nae kimapenzi lakini yeye atafanya kila jitihada aende kusiko.....hapo ndio ninapoishia kuwa na utata kwa kila mwanaume ninae kutana nae loooh
Natafuta rafiki wa kiume wa company tuuuuu......hahahaaaa uwiiiiii nafwaaaaa
For simple analysis majeruhi wa mapenzi ni wengi kuliko majeruhi wa ajali zote zilizotokea from 1995 up to date!
(source mimi)
Ni kweli kabisa mkuu