How To Make A Counterfeit Egg, China Style

How To Make A Counterfeit Egg, China Style

Its too bad, most of us dont know even a tbs approved food products contain some
ingredients that are not stated in the attached label and may be carcinogenic. It is therefore possible for us
to buy fake food products not only from china but also from SA and worldwide by trusting tbs label and TFDA as well as products from other trusted countries.
. How many worker are there in TFDA and TBS offices and their branches as
compared to the number of food product requiring their investigation before granting (tbs) approval
. And who is sure whether after their approval the products continue being at it quality and as we are praising "rushwa" corruption who dares to perform post marketing survaillance of approved food products, let say after 5 years1
So dont worry about fake eggs cause there are many fake products you are using waiting for cancer and death!
Nowadays no natural products anymore

We need a very strong TFDA, TBS and responsible Ministry to constantly check importation as well as goods and products in the market. We need to equip them with best knowledge and give them necessary exposures from other developed countries. Lastly, these staffs need to be well motivated so that they don't fall easily on bribes, etc.
 
Sasa nile nini nishaurini.....

Nilikuwa natumia maziwa ya NIDO baadae yakagundulika kuwa na melamine; NIKAACHA

Nilikuwa nakula ma-apple ya sauzi (ya dukani) ikaja kugundulika kuwa yanakuwa-embeded kwenye wax ili yasiharibike au kuliwa na wadud; NIKAACHA

Nilikuwa nakunywa uji wa soya zikaja kugundulika zina kiwango kikubwa cha oestrogen hormone; NIKAACHA

Nilikuwa napenda sana mchicha na mboga nyingine fresh kutoka sokoni ikaja kugundulika nyingi zinakuwa zimenyunyiziwa organophosphates (madawa ya kuua wadudu) pungufu ya siku 14 kabla ya kuvunwa hivyo zinakuwa na sumu hizo zinazoweza kusababisha kansa; NIKAACHA

Nilikuwa nakunywa redbull nikaja kushtukia zinasababisha matatizo ya moyo; NIKAACHA

Nilikuwa nakula kuku-broiler nikaja kuambiwa wanakuzwa kwa hormones zinazojikusanya kwenye miili yao na husababisha madhara kwa binadamu; NIKAACHA

Niliamua kula kuku wa kienyeji ikaja kuelezwa kuwa wengi wame-accumulate poisons na toxins hasa pesticides kutokana na kula wadudu waliopuliziwa sumu kwenye bustani za mboga na pia kuku hawa wanakula mabaki mengi sana ya sumu kwenye majalala: NIKAACHA

Nilikuwa nakula nyama-choma (mbuzi na ng'ombe) nikaja kuambiwa kuwa zinakuwa na kiasi kikubwa cha purines zinazosababisha gout; NIKAACHA

Nilikuwa napenda sana mayai, nayo sasa yamekuwa tena feki!!!!!!!!!!!!!!!

NISHAURINI, NILE NINI JAMANI, KILICHOTHIBITIKA KUWA SALAMA?

icon8.png
 
Nyie watu wa mijini mna kaazi kwelikweli, mnashindwa hata kufuga kuku 10 wa kienyeji na ng'ombe mmoja wa maziwa? mpaka mchicha mnanunua supermarket!!! uyoga feki mbona ulishaingia bongo kitambo!! POLENI
 
Wenzetu hawa wengi wao ni wasomi wanajua sayansi mpaka kimewawezesha kutengeneza vitu feki kama hivyo ni kosa la jinai lkn kwa huku TZ hata akili ya kutengeneza sindano hakuna jamani tuamke kisayansi jamani!
 
Sasa nile nini nishaurini.....

Nilikuwa natumia maziwa ya NIDO baadae yakagundulika kuwa na melamine; NIKAACHA

Nilikuwa nakula ma-apple ya sauzi (ya dukani) ikaja kugundulika kuwa yanakuwa-embeded kwenye wax ili yasiharibike au kuliwa na wadud; NIKAACHA

Nilikuwa nakunywa uji wa soya zikaja kugundulika zina kiwango kikubwa cha oestrogen hormone; NIKAACHA

Nilikuwa napenda sana mchicha na mboga nyingine fresh kutoka sokoni ikaja kugundulika nyingi zinakuwa zimenyunyiziwa organophosphates (madawa ya kuua wadudu) pungufu ya siku 14 kabla ya kuvunwa hivyo zinakuwa na sumu hizo zinazoweza kusababisha kansa; NIKAACHA

Nilikuwa nakunywa redbull nikaja kushtukia zinasababisha matatizo ya moyo; NIKAACHA

Nilikuwa nakula kuku-broiler nikaja kuambiwa wanakuzwa kwa hormones zinazojikusanya kwenye miili yao na husababisha madhara kwa binadamu; NIKAACHA

Niliamua kula kuku wa kienyeji ikaja kuelezwa kuwa wengi wame-accumulate poisons na toxins hasa pesticides kutokana na kula wadudu waliopuliziwa sumu kwenye bustani za mboga na pia kuku hawa wanakula mabaki mengi sana ya sumu kwenye majalala: NIKAACHA

Nilikuwa nakula nyama-choma (mbuzi na ng'ombe) nikaja kuambiwa kuwa zinakuwa na kiasi kikubwa cha purines zinazosababisha gout; NIKAACHA

Nilikuwa napenda sana mayai, nayo sasa yamekuwa tena feki!!!!!!!!!!!!!!!

NISHAURINI, NILE NINI JAMANI, KILICHOTHIBITIKA KUWA SALAMA?

icon8.png
Nakushauri Ule Matunda Fresh yanayotoka hapo hapo bongo iwe yanatoka katika soko la Kariakoo au kisutu au Tandika au Tandale lakini yawe hayo Matunda ni fresh ule Mayai ya hapo hapo kwetu bongo Mayai ya kuku wa kienyeji usile kitu kinachotoka Dukani cha nchi za nje hivyo vyote vyakula vinakuwa ni Feki Uwe Muangalifu kula vyakula Sio kila unachokikuta Dukani wewe unanunuwa na kula angalia kimetengenezwa wapi ikiwa nje ya nchi usinunuwe huo ndio ni ushauri wangu. Mnasemaje Wakuu Wenzangu wa JF
 
The growth of science and biotech made human being to replace oginal food, mainly for business purposes if china did this,let them use for themselves,such kind of products can be harzadous to comsumers' bodily health.
 
hawa jamaa this too much sasa.mbona process kubwa kushinda ya kufuga kuku wa mayai?
kuku atatoa mayai mangapi kwa siku na kiwanda chao kinatoa mangapi? the problem of Chinese the like money too much, they like factious things, abnormal perfomance, kila kitu out of reality. Wachina wanataka extra-ordinary perfomance katika kila kitu. Sasa kwenye biashara anataka achume kuliko kuliko kawaida. Hata hao tuliowakaribisha bongo tuwe makini sana.

Mchina ukimwonyesha movie kama za akina Freeman Morgan hawezi kuangalia anataka the Lord of the Rings, Harry Potter na za namna hii. Kama ile mimovie yao ya mtu anaruka mita 300 juu na wanaanza kupigana hukohuko juu. Hawataki vitu real, wanashangaza.
 
mie nimewaogopa kabisa hawa wachina lol hata nikipishana nae nadhani anakuwa feki original yake kabaki china

huwa sinunui bidhaa zao zozote zile za kuweka mdomoni, kama ni zana tu za kawaida, naweza nunua, ila chakula chochote cha kichina nimeanza kuogopa naona kama kitaniumua...
 
its true man cheki ktk threat ile ya jogoo la china kutaga mayai.
 
When I about it the first time nilisoma kua ni mwanachuo alikua anafanya PhD on replication ya mayai kwa mtindo huo.
Hayo mayai yako cheaper and easier to carry around kuliko mayai ya kawaida.
Alivokua anataka yeye ni kupata sponsor to help him produce eggs of various shape and sizes, various flavor too.
Ukitaka yai la watu 4 unanunua tu moja la size kubwa. Ukitaka spanish omelette unanunua tu spanish egg, linakuja na viungo etc.
 
kumbe ilikuwa ni kiutafaiti zaidi..... wabongo tutabaki kulalamika tu .. china fake... huku wakituacha nyuma saaana kimaendeleo
 
kumbe ilikuwa ni kiutafaiti zaidi..... wabongo tutabaki kulalamika tu .. china fake... huku wakituacha nyuma saaana kimaendeleo
Mkuu, wakati ule (like 5 years ago) ilikua ni kiutafiti but now naona imesha kua commercial. Please look at this video, zinatisha...

Last edited by a moderator:
Hapo tatizo ni nini?, tunapaswa kujua kuwa wachina wako wengi hivyo wanafanya kila njia ili waweze kutosheleza mahitaji yao ya chakula.
 
Back
Top Bottom