mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 256
Duh! Kweli hali hii ni hatarii...................tbs mpo hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Its too bad, most of us dont know even a tbs approved food products contain some
ingredients that are not stated in the attached label and may be carcinogenic. It is therefore possible for us
to buy fake food products not only from china but also from SA and worldwide by trusting tbs label and TFDA as well as products from other trusted countries.
. How many worker are there in TFDA and TBS offices and their branches as
compared to the number of food product requiring their investigation before granting (tbs) approval. And who is sure whether after their approval the products continue being at it quality and as we are praising "rushwa" corruption who dares to perform post marketing survaillance of approved food products, let say after 5 years1
So dont worry about fake eggs cause there are many fake products you are using waiting for cancer and death!
Nowadays no natural products anymore
Nakushauri Ule Matunda Fresh yanayotoka hapo hapo bongo iwe yanatoka katika soko la Kariakoo au kisutu au Tandika au Tandale lakini yawe hayo Matunda ni fresh ule Mayai ya hapo hapo kwetu bongo Mayai ya kuku wa kienyeji usile kitu kinachotoka Dukani cha nchi za nje hivyo vyote vyakula vinakuwa ni Feki Uwe Muangalifu kula vyakula Sio kila unachokikuta Dukani wewe unanunuwa na kula angalia kimetengenezwa wapi ikiwa nje ya nchi usinunuwe huo ndio ni ushauri wangu. Mnasemaje Wakuu Wenzangu wa JFSasa nile nini nishaurini.....
Nilikuwa natumia maziwa ya NIDO baadae yakagundulika kuwa na melamine; NIKAACHA
Nilikuwa nakula ma-apple ya sauzi (ya dukani) ikaja kugundulika kuwa yanakuwa-embeded kwenye wax ili yasiharibike au kuliwa na wadud; NIKAACHA
Nilikuwa nakunywa uji wa soya zikaja kugundulika zina kiwango kikubwa cha oestrogen hormone; NIKAACHA
Nilikuwa napenda sana mchicha na mboga nyingine fresh kutoka sokoni ikaja kugundulika nyingi zinakuwa zimenyunyiziwa organophosphates (madawa ya kuua wadudu) pungufu ya siku 14 kabla ya kuvunwa hivyo zinakuwa na sumu hizo zinazoweza kusababisha kansa; NIKAACHA
Nilikuwa nakunywa redbull nikaja kushtukia zinasababisha matatizo ya moyo; NIKAACHA
Nilikuwa nakula kuku-broiler nikaja kuambiwa wanakuzwa kwa hormones zinazojikusanya kwenye miili yao na husababisha madhara kwa binadamu; NIKAACHA
Niliamua kula kuku wa kienyeji ikaja kuelezwa kuwa wengi wame-accumulate poisons na toxins hasa pesticides kutokana na kula wadudu waliopuliziwa sumu kwenye bustani za mboga na pia kuku hawa wanakula mabaki mengi sana ya sumu kwenye majalala: NIKAACHA
Nilikuwa nakula nyama-choma (mbuzi na ng'ombe) nikaja kuambiwa kuwa zinakuwa na kiasi kikubwa cha purines zinazosababisha gout; NIKAACHA
Nilikuwa napenda sana mayai, nayo sasa yamekuwa tena feki!!!!!!!!!!!!!!!
NISHAURINI, NILE NINI JAMANI, KILICHOTHIBITIKA KUWA SALAMA?
![]()
kuku atatoa mayai mangapi kwa siku na kiwanda chao kinatoa mangapi? the problem of Chinese the like money too much, they like factious things, abnormal perfomance, kila kitu out of reality. Wachina wanataka extra-ordinary perfomance katika kila kitu. Sasa kwenye biashara anataka achume kuliko kuliko kawaida. Hata hao tuliowakaribisha bongo tuwe makini sana.hawa jamaa this too much sasa.mbona process kubwa kushinda ya kufuga kuku wa mayai?
mie nimewaogopa kabisa hawa wachina lol hata nikipishana nae nadhani anakuwa feki original yake kabaki china
When I about it the first time nilisoma kua ni mwanachuo alikua anafanya PhD on replication ya mayai kwa mtindo huo.
Hayo mayai yako cheaper and easier to carry around kuliko mayai ya kawaida.
Alivokua anataka yeye ni kupata sponsor to help him produce eggs of various shape and sizes, various flavor too.
Ukitaka yai la watu 4 unanunua tu moja la size kubwa. Ukitaka spanish omelette unanunua tu spanish egg, linakuja na viungo etc.
Mkuu, wakati ule (like 5 years ago) ilikua ni kiutafiti but now naona imesha kua commercial. Please look at this video, zinatisha...kumbe ilikuwa ni kiutafaiti zaidi..... wabongo tutabaki kulalamika tu .. china fake... huku wakituacha nyuma saaana kimaendeleo