How to make natural viagra using only 2 ingredients

Mazoezi, epuka vyakula vya mafuta, epuka kutiatia mara kwa mara, epuka punyeto.
 
Kah sasa zile dawa madukani sizitadoda
 
Alichokiandika ndugu ni ukweli uliowazi(sio nimejaribu,nijambo ninalolitumiaga kama chakula tiba).
Jambo la kufanya ni dogo sana,tikiti ukilishalikata nusu unachukua kijiko na kuanza kupakua manyama nyama ya ndani pamoja na ile nyama nyeupe,mimi huwa nayasaga na brenda ili nipate rojo iliyo sawia. Then utaratibu wa kuchemsha kama ndugu alivoeleza hapo juu. Ikipoa unainywa sasa.
 
Ndugu hiyo tiba mpk mtu apone kabisa tatizo lake inachukua muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…