Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
utuletee mrejesho na wengine twende, tehAisee ntajaribu hii.. Iko simple sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utuletee mrejesho na wengine twende, tehAisee ntajaribu hii.. Iko simple sana
Pilipilinini hii?
doh! problems how come inakuwa boosterPilipili
Hata mimi imenishangaza na umeona hiyo bei yake? £5doh! problems how come inakuwa booster
dunia ina mambo hii si mchezo, ukifanikiwa kumaliza kiroba walau kimoja cha chumvi unakuwa umekutana na vimbwanga vya kutoshaHata mimi imenishangaza na umeona hiyo bei yake? £5
Mazoezi, epuka vyakula vya mafuta, epuka kutiatia mara kwa mara, epuka punyeto.
Ila yamepanda bei tayari from buku to buku tanoMpendwa ukiyaona huko naomba unichukulie..Ntachelewa kuamka..Naweza nisiyakute
Usisahau kuleta mrejesho na ushuhuda wa viagra ya tikitimaji na ndimu.!!Aisee ntajaribu hii.. Iko simple sana
***Lemon ni nini?
viagranini hii?
hizo pilipili nazo ni viagraviagra
Ha ha ha ha! LOL!Kupambazuke tu haraka niwahi engo kuchukua vitendea kazi
Ndugu hiyo tiba mpk mtu apone kabisa tatizo lake inachukua muda gani?Alichokiandika ndugu ni ukweli uliowazi(sio nimejaribu,nijambo ninalolitumiaga kama chakula tiba).
Jambo la kufanya ni dogo sana,tikiti ukilishalikata nusu unachukua kijiko na kuanza kupakua manyama nyama ya ndani pamoja na ile nyama nyeupe,mimi huwa nayasaga na brenda ili nipate rojo iliyo sawia. Then utaratibu wa kuchemsha kama ndugu alivoeleza hapo juu. Ikipoa unainywa sasa.